Unaweza kuwa right, lakini factors za kuwa hivyo ni nyingi!
Umeshaenda BoT, CRDB na makampuni/mashirika mengine ukaona uwiano wa wakristo na waislam? What if waislam wananyimwa nafasi zaidi, maana mikoa yanpembezoni ndio yote ukiondoa Dar, Dom na Arusha!
Huna haja ya kuchukia waislam na uislam, tunaweza kutofautiana lakini sio lazima tugombane! Kauli zako hapa zinaonesha chuki ya dhahiri, nadhani huku ni kukosa maarifa tu lakini sidhani kama kuna waislam waliowahi kukudhuru au kukudhuluku popote! Angalia jirani zako waislam na angalia unavyoishi nao, kweli wameshawahi kukubagua kwa dini yako?
Experience yangu sijawahi kunyimwa haki na mkristo kwa uislam wangu, au Mimi kufanya the same kwa imani tofauti nami!
Unapoenda kupata huduma au kutoa huduma huwa unaona tofauti za dini zinakuwa kikwazo kwa namna yeyote ile!
Watu wengi tunakuwa entrapped na propaganda za watu wanaopambana kwa ajili ya nafasi na huku kunakuwa sehemu ya kuchafuana!
Unfortunately most Christians huwa mnafikri waislam hawana uwezo, sijui ni makusudi au ndio kutokuelewa au dharau tu! Kiukweli kabisa waislam ni very tolerant, na Islam teachings zinasemaje utende haki hata kwa "kafir" pia hata mnyama, sisi haturuhusiwi hata kumuua mnyama anayekunywa maji, hata kama unawinda!those are our teachings, yes people are doing evil deeds in the name of Islam, but that is not Islamic teachings, even Jihad is when you fight holy war, kama uislam umekuwa provoked, tunaombwa tusikae nyuma, we have to fight in the name of Islam! Hatupaswi kuwa offenders!
Wapo waislam wanaoweza kupendelea wenzao, na hili sio la ajabu kwetu! Hili ni tatizo la kimfumo na kiuongozi hapa kwetu, ingawa wapo waislam wanafanya hayo lakini haimaaanishi kuwa wao ndio peculiar kiasi hicho!
Kuna makabila yenyewe yapo ktk ofisi kuanzia messenger hadi mkurugenzi, wapo mawaziri hadi mfagiaji na kuna ofisi, hata lugha ya ofisi yaweza kuwa ya kikabila!
Angalia tena, chunguza na jaribu kufikiri kabla ya kurusha shutuma!
Sitojibu sehemu yako ya kashfa na matusi!
Sidhani kama ni jukwaa sahihi kutukana!
Ila Mimi ni wa uswahilini nimetukana for decades nadhani sipo tena level hiyo, na jukwaa hili sio, hayo mambo ya watoto Facebook na insta! Hapa tunajadili hoja!
Ahsante kwa Maelezo marefu,ila huwezi pinga kuwa dau ni mdini maana alipoingia alianza kuwanyanyapaa wakurugenzi na MAMENEJA wakristu,wengi waliondoka wengine wakaishia kushushwa vyeo ili ku create nafasi kuwaweka waislamu,mfano ni kuondolewa DHRA na kumuajiri mpya ambaye hadi sasa hakuwahi kuleta cheti chake alichosomea shahada ya kwanza,kumuondoa mwanasheria mkuu wa shirika na kuajiri mwingine bila sababu za msingi na zaidi alitaka kumuondoa magori na kumpandisha msaidizi wa magori achukue nafasi ya magori na ndiko mtifuano ulikoanza na kupelekwa ubalozi hewa