UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

yaani mngemjua huyo kikula hata msingesema yote hayo, kwani anaishi kimagharibi na ameoa mkiristo, kiufupi hana mchango ktk uislamu ila jina lake ndio linamponza ndio mana wakiristo hampati usingizi kwa roho mbaya zenu.
..Kama wafuasi wa Ponda wasivyojua nani mume wa Ndalichako!?
 
Zamani,sio sana tulizoea kuwasikia Waislamu wakilalamikia Udini mashuleni na vyuoni na Wakristo wakiwabeza Waislamu kuwa ni walalamishi.

Hivi tunasikia kila kona ya nchi Wakristo wanapaza Sauti kwamba kuna Udini,tena wameanda mbili zaidi eti wanasema vyuoni kuna Udini.

Naona sasa Tanzania balance ya kidini inaanza kupatikana,wale waliokuwa wadini Udini wao unaanza kuondoka ndio wanalalamika sana hivi sasa japo bado ukristo umekithiri kwenye taasisi zote za serikali.

Wanajamvi naomba munisaidie hivyo bado ule utaratibi wa Baraza la shule kuwa siku ya Ijumaa tena muda wa Swala ya Ijumaa unaendelea.

Bado ule utaratibu wa kuweka ratiba za mitihani wakati swala ya Ijumaa unaendelea

Niwakumbushe tu ya kwamba mwaka jana Mtihani wa taifa wa NTA Level 5 kwa Clinical Officer na Clinical Assistance ratiba ilipangwa mpaka siku ya Idd ya Ramadhani,huu sio Udini!

Jamani haya matukio ya Udini kwa wakristo zidi ya waislamu katika taaisisi za Serikali na mengi jerani zetu wakristo acheni kupayuka,waislamu ni wavumilivu sana ndani ya nchi hii,siku uvumilivu ukiwaishia mota utawaka,na hizi kelele zenu nazani karibu moto utawaka.
 
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula amekiri kuwapo kwa suala la udini chuoni hapo.
Akizungumza na Tanzania Daima jana kuhusiana na malalamiko ya suala hilo, Profesa Kikula alisema hali hiyo inatokana na matakwa ya wanafunzi wenyewe.

“Unakuta wanafunzi wanataka kupangwa kutokana na shule walizotoka au wakati mwingine wengine hutaka kukaa chumba kimoja kwa kuwa tabia hazilingani... wengine ni wanywaji wa pombe, sasa inakuwa ni ngumu kuwaweka watu wenye tabia tofauti. Lakini pia suala hili la udini lilianza miaka mitatu iliyopita kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi,” alisema.

Hata hivyo, alisema yeye si mpangaji wa wanafunzi isipokuwa mkuu wa wanafunzi (Dean of Students) ndiye anayewajibika kupanga wanafunzi.

Awali wanafunzi chuoni hapo walimlalamikia Profesa Kikula kwa kupenyeza suala la udini chuoni hapo.

Mmoja wa wawakilishi wa wanafunzi aliyezungumza na Tanzania Daima, alisema hivi sasa hali ni mbaya chuoni hapo, kwani imesababisha mgawanyo kati ya Waislamu na Wakristo.

Mwakilishi huyo alisema hali hiyo inawaathiri kimasomo kutokana na wao kushindwa kujadili baadhi ya masomo kwa pamoja na kusema kuwa imefika mahala wanafunzi wametengewa mabweni ya kulala kutokana na dini zao.

“Wakati mwingine utasikia achana na hao makafikiri, mang’ong’o, kiuhalisia jambo hili ni baya sana, kwani athari zake ni kubwa na chanzo cha yote haya ni Profesa Kikula,” alisema mwanafunzi huyo.

Alieleza kuwa awali chokochoko hizo zilianzia kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi mwaka jana ambapo kulikuwa na namna ya kuingiza masuala ya udini na itikadi za vyama.

“Profesa Kikula hayuko pekee yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta masheikh chuoni, jambo ambalo sisi kama wanafunzi wenye imani ya Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba Rais Jakaya Kikwete alishughulikie suala hili,” alisema.

source:Tanzania Daima
[/Profesa Kikula hayuko pekee yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta masheikh chuoni, jambo ambalo sisi kama wanafunzi wenye imani ya Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba Rais Jakaya Kikwete alishughulikie suala hili,” alisema.]

Mweyewe IK ana UDINI waziwazi; Wiki ilopta kipindi cha redioni asubuhi laivu; baada ya kumaliza kuhojiwa na Mtangazaji wa Redio (Cloud au Wapo??) huhusu wanafunzi kufeli mtihani 2012 alinishangaza alipowaaga wasililizaji na mtangazaji kwa neno "Inshalla ah! "
Insha Allah,maana yake Mungu akipenda au God wills,hapo hakuna udini,ni sawa na kusema see you later,
 
Yaani hawa watu wakiona Mwislamu anaongoza mahali ni kelele kama za chura halafu wanatuma gazeti lao la Chadema Daima kwenda kupotosha mambo zaidi.Huu udini wenu unamwisho tu.Mbona hamzungumzia Udsm,Ifm,Mzumbe mmebaki Udom tu
Nadhan ungeacha kidogo ushabiki wa dini , ie toka nje ya box halafu uiangalie hii hali kwa jicho la kiuungwana. Mimi naumia sana ninapoona udini unavyoshamiri ktk nchi yetu, ambao na wewe unauona kam utaacha ubishi. Unajua ni vigumu kumchukia mkristo au mwislam huku kwetu bara sababu familia zetu zimechanganyika sana. Tusiangalie dini ya kiongozi tuwe waaminifu na tuhoji je anaperform au ni kiongozi legelege, je ana udhaifu gani kiongozi huyu hata kama dini yake ni tamu au chungu sisi tunaangalia performance sababu hayuko pale kutupeleka mbinguni ie lile sio kanisa au msikiti. Kama anashindwa kucontrol hisia za kidini za wanafunzi basi huyo hatufai. Haijalishi hata kama ni muumini mzuri wa dini yake, tunataka kiongozi shupavu anaeweza kutenganisha imani yake na kazi. kwake wanafunzi wote anapaswa kuwaona kama wanae na sio wengine rafiki na wengine adui kisa sio dwa dini yake. huu udini huu ndugu zangu tusipende kuushabikia sana sio kitu kizuri wazungu walioleta ukristo wao wametulia na waarabu walioleta uislam nchi zao kadhaa hazina amani wanakimbilia ulaya sasa sie tusijifanye tunauchungu nazo sanaaaa. Shime tupendane kama mwanzo hao wanaotuchochea wanataka wanyama wetu na madini yetu tu.
 
UDINI upo ndo maana mkuu wa chuo kakiri.udini udom hauishii kwa wanafunzi tu bali mpaka kwa watumishi ndo maana watumishi wengi waliposikia hilo suala limefika kwa umma wa watanzania walifurahi sana kwani kilio chao kilisikika.Huyo mh.NGAMIA aliyepinga napata wasiwasi pia hata kama taaluma yake ya habari alisoma vizuri coz huwezi kupinga bila uchunguzi.Halafu anasema anasoma hapa mbona sijawahi kumwona hata siku moja katika foleni BITES na kupigia mswaki katika masinki ya KICHINA yanayoshuka hovyo kama UYOGA? Acheni siasa katika majanga ya kitaifa SHAABANI MLACHA ndiye injinia wa haya mambo.
 
UDINI upo ndo maana makamu mkuu amekiri.Namshangaa huyo mh.NGAMIA anayetaka kubisha wakati hata hajui kitu kisa kiherehere cha kisiasa kinamtafuna.
 
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula amekiri kuwapo kwa suala la udini chuoni hapo.
Akizungumza na Tanzania Daima jana kuhusiana na malalamiko ya suala hilo, Profesa Kikula alisema hali hiyo inatokana na matakwa ya wanafunzi wenyewe.

“Unakuta wanafunzi wanataka kupangwa kutokana na shule walizotoka au wakati mwingine wengine hutaka kukaa chumba kimoja kwa kuwa tabia hazilingani... wengine ni wanywaji wa pombe, sasa inakuwa ni ngumu kuwaweka watu wenye tabia tofauti. Lakini pia suala hili la udini lilianza miaka mitatu iliyopita kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi,” alisema.

Hata hivyo, alisema yeye si mpangaji wa wanafunzi isipokuwa mkuu wa wanafunzi (Dean of Students) ndiye anayewajibika kupanga wanafunzi.

Awali wanafunzi chuoni hapo walimlalamikia Profesa Kikula kwa kupenyeza suala la udini chuoni hapo.

Mmoja wa wawakilishi wa wanafunzi aliyezungumza na Tanzania Daima, alisema hivi sasa hali ni mbaya chuoni hapo, kwani imesababisha mgawanyo kati ya Waislamu na Wakristo.

Mwakilishi huyo alisema hali hiyo inawaathiri kimasomo kutokana na wao kushindwa kujadili baadhi ya masomo kwa pamoja na kusema kuwa imefika mahala wanafunzi wametengewa mabweni ya kulala kutokana na dini zao.

“Wakati mwingine utasikia achana na hao makafikiri, mang’ong’o, kiuhalisia jambo hili ni baya sana, kwani athari zake ni kubwa na chanzo cha yote haya ni Profesa Kikula,” alisema mwanafunzi huyo.

Alieleza kuwa awali chokochoko hizo zilianzia kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi mwaka jana ambapo kulikuwa na namna ya kuingiza masuala ya udini na itikadi za vyama.

“Profesa Kikula hayuko pekee yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta masheikh chuoni, jambo ambalo sisi kama wanafunzi wenye imani ya Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba Rais Jakaya Kikwete alishughulikie suala hili,” alisema.

source:Tanzania Daima

sishangai kusoma habari hizi Tanzania daima -sauti yao.
 
JK ndio kampeleka Kikula hapo kwa sababu ya dini yake!

Hivi mkuu waislam wamekukosea nini....katika vyuo vikuu vya umma nchini, mkuu wa chuo muislam ni huyo tu mmoja..udsm,sua, mzumbe. Huria ni wakristo...kwann hatupendani
 
Udaku wa tanzania daima.hili linapaswa kufungiwa kwa kuchochea chuki hapa nchini
 
Mwigulu alisema slaa ameasisi udini katika uchaguzi mkuu uliopita
 
''Tusameheane kwa kampeni zilizoisha ambazo UDINI na mengineyo yaliyojiri... tunajenga nyumba moja yanini tugombanie fito- Jakaya M. Kikwete 2010
 
''UFISADI UMESHINDA"
"MADAWA YA KULEVYA YAMESHINDA"
"RUSHWA IMESHINDA"
"NA UDINI UTASHINDA"
Sababu ni moja, wenye Nguvu ya kupambana na upuuzi huu ndio hao walioamua kuutumikia upuuzi huo.
 
Nina wasiwasi kuwa huyu Profesa ameyasema na "kukiri" kuwa kuna udini UDOM kutokana na presha aliyowekwa na Wakristo
“Unakuta wanafunzi wanataka kupangwa kutokana na shule walizotoka au wakati mwingine wengine hutaka kukaa chumba kimoja kwa kuwa tabia hazilingani... wengine ni wanywaji wa pombe, sasa inakuwa ni ngumu kuwaweka watu wenye tabia tofauti. Lakini pia suala hili la udini lilianza miaka mitatu nzi,” alisema.
source:Tanzania Daima
Hili halikwepeki katika mkusanyiko wowote ule!

Nilishawahi kusoma ughaibuni pale shuleni wanafunzi Waislamu tulikuwa tunapikiwa vyakula halali, tunatembea pamoja, tunakwenda Misikitini pamoja bila ya kumbughudhi yoyote wala kubughudhiwa na yoyote!

Sasa kama wanafunzi wa dini moja Tanzania wakiomba kulala mabwenini pamoja ni udini basi mtegemee madhara makubwa wakati mtakapowachanganya kinguvu!
Sad said:
Profesa Kikula hayuko peke yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta Masheikh chuoni, jambo ambalo sisi wanafunzi wa Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba rais Kikwete alishughulikie hili" alisema.
Nina wasiwasi na mwenendo mzima wa Wakristo wa Tanzania!

Ughaibuni tulikuwa tukileta Masheikh shuleni na zaidi ya nusu ya gharama zao zikilipiwa na serikali! tulikuwa tukirahisishiwa kimfumo kuleta Masheik shuleni sasa ni ajabu gani kwa Waislamu kuleta Sheikh UDOM?!

Mara kwa mara nilikuwa nikifuatana na Imam kwenda kuongoza swala ya Ijumaa magerezani Uingereza kwa gharama za Serikali! hivi Wakristo wa Tanzania wana kitu gani special?!
 
yaani mngemjua huyo kikula hata msingesema yote hayo, kwani anaishi kimagharibi na ameoa mkiristo, kiufupi hana mchango ktk uislamu ila jina lake ndio linamponza ndio mana wakiristo hampati usingizi kwa roho mbaya zenu.

teh teh teh...kikula na uislam wapi na wapi?? Hawa jamaa bwana..saa zote wanaongea pumba tuu.. Ila ni chuki tu ya asili ya wakristo dhid ya waislam...tushawazoea
 
Sikuwahi hata siku moja kuambiwa msikitini nimpigie kura....JK.......ila makanisani watu waliambiwa wampigie kura Slaa..! Kanisa lina interest zake hasa za kisiasa na Kiuchumi na huakikisha mtu anae kaa madarakani analinda maslahi yao....2005...walisema JK ni chaguo la Mungu....2010 ghafla akawa adui wao..!.....nikumbushe kama uliwahi kusikia tamko la waislam....??? KANISA NDIO CHANZO CHA BALAA ZOTE HAPA TZ
 
Kikwete muweke Muadhama Polycarp Slaa awe mkuu wa UDOM...
Uone kama kelele hazitaisha...

Pale NSSF mtoe Dau muweke MASAWE LYMO ...uone kama kesho tu hujaambiwa NSSF ndio sharika bora Tanzania...

Wakristo kama mmeamua Kusema NSSF na UDOM kuna udini kwa sababu kunaongozwa na waislamu..basi msiishie hapo...

Nendeni CRDB ....Hesabuni wafanyakazi wote mujue dini zao...
Nendeni TRA....
Nendeni...UDSM
NEndeni..Mzumbe
Nendeni...Tanaseco
Nendeni ...Kwenye Wizara na IDara zote za serikali ....
Pitisheni sensa ya dini...halafu muje mtwambie hapa nani mdini na nani ameanzisha UDINI....
 
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula amekiri kuwapo kwa suala la udini chuoni hapo.
Akizungumza na Tanzania Daima jana kuhusiana na malalamiko ya suala hilo, Profesa Kikula alisema hali hiyo inatokana na matakwa ya wanafunzi wenyewe.

“Unakuta wanafunzi wanataka kupangwa kutokana na shule walizotoka au wakati mwingine wengine hutaka kukaa chumba kimoja kwa kuwa tabia hazilingani... wengine ni wanywaji wa pombe, sasa inakuwa ni ngumu kuwaweka watu wenye tabia tofauti. Lakini pia suala hili la udini lilianza miaka mitatu iliyopita kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi,” alisema.

Hata hivyo, alisema yeye si mpangaji wa wanafunzi isipokuwa mkuu wa wanafunzi (Dean of Students) ndiye anayewajibika kupanga wanafunzi.

Awali wanafunzi chuoni hapo walimlalamikia Profesa Kikula kwa kupenyeza suala la udini chuoni hapo.

Mmoja wa wawakilishi wa wanafunzi aliyezungumza na Tanzania Daima, alisema hivi sasa hali ni mbaya chuoni hapo, kwani imesababisha mgawanyo kati ya Waislamu na Wakristo.

Mwakilishi huyo alisema hali hiyo inawaathiri kimasomo kutokana na wao kushindwa kujadili baadhi ya masomo kwa pamoja na kusema kuwa imefika mahala wanafunzi wametengewa mabweni ya kulala kutokana na dini zao.

“Wakati mwingine utasikia achana na hao makafikiri, mang’ong’o, kiuhalisia jambo hili ni baya sana, kwani athari zake ni kubwa na chanzo cha yote haya ni Profesa Kikula,” alisema mwanafunzi huyo.

Alieleza kuwa awali chokochoko hizo zilianzia kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi mwaka jana ambapo kulikuwa na namna ya kuingiza masuala ya udini na itikadi za vyama.

“Profesa Kikula hayuko pekee yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta masheikh chuoni, jambo ambalo sisi kama wanafunzi wenye imani ya Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba Rais Jakaya Kikwete alishughulikie suala hili,” alisema.

source:Tanzania Daima
[/Profesa Kikula hayuko pekee yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta masheikh chuoni, jambo ambalo sisi kama wanafunzi wenye imani ya Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba Rais Jakaya Kikwete alishughulikie suala hili,” alisema.]

Mweyewe IK ana UDINI waziwazi; Wiki ilopta kipindi cha redioni asubuhi laivu; baada ya kumaliza kuhojiwa na Mtangazaji wa Redio (Cloud au Wapo??) huhusu wanafunzi kufeli mtihani 2012 alinishangaza alipowaaga wasililizaji na mtangazaji kwa neno "Inshalla ah! "
"Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza" haya hilo neno "INASHAALLAH" unajua maana yake au kwa kuwa ni neno la kiarabu? kama hujui uliza usilaum tu.kapime akili nnawasiwasi hazipo sawa
 
Back
Top Bottom