Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Nimemwangalia maalum Seif anaonekana kuchoka sana kiafya. Ila huwa ninawashangaa sana wapinzani. Zitto na huyo Maalum Seif siyo wapinzani. Tunawashukuru kwa akili kubwa na itatimia wakishaungana na hiyo Chadema. Na ukweli hakuna wa kumshinda Mh. Magufuli. Kwa sasa atapata asilimia kubwa mno kuzidi 2015.
 
Hondokeni mpotelee huko kuzimu. Yani kwa kpindi cha miaka mitatu tuu 2016-2018 mmeiba Zaid ya trilioni 8. Nini binadamu wa Aina gani wachonyo walafi hamna kiasi. You have no conscious At all. You still our money without shame with impunity. Faking annoying.

Hondokeni
Mtani
Sisi Ccm bila kuwaibia nyinyi wanyonge , tutaishi vipi unadhani ?
 
Maalim chaguz zote huwa anashinda ila tume inamtangaza mgombea wa ccm na safar hii ndivyo itakavyokuwa
 
Anguko la CCM nafikiri litaanzia Zanzibar. Sijui safari hii watakuja na lipi jipya (ni mahodari wa kuibua mbinu za ajabu ajabu na kishenzi huku wakisaidiwa na vyombo vya dola).
 
Mkuu,kila uchaguzi unapofanyika CCM huwa inapigwa chini,haijawahi kushinda toka mwaka 1995,lakini chaguzi zote huwa wanaibuka kina jecha wapya, au ulikuwa bado hujazaliwa?
Itoshe kusema Maalim seif huenda huwa anauza ushindi kwa Maccm.

Haiwezekan wewe kila uchaguzi unashinda halafu unatulia tuliii kama sio mshindi
 
Usimwamini mbongo hata siku moja. akikupigia makofi ukipata muda yatafakari kwa kina utagundua Ni makofi ya Aina gani.
 
Ni kweli, nimesema Zanzibar maana watu wale wingi wao hawawezi kuwa wapenzi wa Maalim toka ACT pekee, lazima kuna wengi kutoka CCM!
Lissu alikwisha sema kuwa Maalim Seif kama Maalim Seif sio individual bali ni Taasisi kamili
 
Mkapa hayupo ccm inaanzaje kushinda kwa mfano. ZNZ inakwenda kwa ACT bara saa 4 mapema anachukua Lisu,wametutesa sana hawa madhalimu tukirudia kosa tumekwisha nafasi peke eni october ya kulipiza kisasi kama uliumizwa
Kuna kitu mnasahau hapa ya kua dola ni yakwao
 
Mtoto huyo wa 1992 hamjui vizuri maalim seif sharif hamad, kwaa taarifa yake baada ya uchaguzi chama mali yake, hapo ndo atajua nguvu ya chama iko wapi kati ya unguja na kigoma.
Ndivyo alivyokuambia mganga wa Chato yule mvuta bangi?
 
Ni kweli, nimesema Zanzibar maana watu wale wingi wao hawawezi kuwa wapenzi wa Maalim toka ACT pekee, lazima kuna wengi kutoka CCM!
Yule mgombea wa CCM si unafahamu jinsi alivyopatikana. Maalim ni chaguo la Wapemba na Wangazija.
 
Back
Top Bottom