FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Acha ubishi kwanza, soma hiyo sheria kwa makini!Vilaza mpo wengi Sana.
Sheria inaanza kuwa applicable kuanzia kwenye nomination process.
Nomination hufanyika na chama.
Makosa yanakuwa accounted kwenye nomination process, election campaign na election.
Wengi huwa hawasomi hizi sheria kwa makini kabla ya kuzijadili.
Kuna mambo mawili katika hiyo Sheria ya Gharama za Uchaguzi ambayo ni "Nomination" pamoja na "Nomination Process".
Nomination ni uteuzi wa wagombea. Nomination Process ni mchakato wa upatikanaji wa wagombea ndani ya vyama vyao na sio NEC.
Sheria ya Gharama za Uchaguzi iko wazi kabisa kuhusu hayo mambo mawili.
Mara baada ya mchakato wa kuwapata wagombea ndani ya vyama vyao ndipo kinapoanza kipindi kinachojulikana kama "Campaign Period" na kinadumu hadi kabla ya Uchaguzi kufanyika.
Hujui lolote wewe.Acha ubishi kwanza, soma hiyo sheria kwa makini!
Unaelewa maana ya Nomination Process?
Wewe nimeshakupuuza maana hujui tafsiri ya Sheria.Wewe unajichanganya
Swali ulilouliza lilikuwa ni je wakati Rais Magufuli anafanya mambo yanayolalamikiwa alikuwa kwenye election, nomination au campaign period hilo ndilo swali ulilouliza mwanzoni...
Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!Wewe unajichanganya
Swali ulilouliza lilikuwa ni je wakati Rais Magufuli anafanya mambo yanayolalamikiwa alikuwa kwenye election, nomination au campaign period hilo ndilo swali ulilouliza mwanzoni...
Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!Hujui kit
Hujui lolote wewe.
Soma kifungu Cha 21 kinachosema ni makosa kutoa Rushwa wakati wa nomination , election campaign au election, hiyo campaign process mmeitunga hapo ufipa. Hakuna kitu Kama hicho.
We ndiyo hamna lolote. Umeuliza swali wakati magufuli anafanya kile kitendo kinacholalamikiwa ilikuwa ni wakati gani?Wewe nimeshakupuuza maana hujui tafsiri ya Sheria.
Nilidhani naargue na muelewa kumbe hamna lolote.
Section 21(a) haijataja campaign period.Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!
Nilichokisema mimi ni "Campaign Period". Soma hiyo sheria, usikurupuke!
Kama kuna kitu kigumu na hujakielewa katika hiyo sheria uliza na utapatiwa majibu sahihi...
Ameumiza Sana Watanzania so tunataka tumuonyeshe sisi sio wanyama wa kuburuzwa, mtaa kwa mtaa, Kona kwa Kona mtu na mtu.Yaani mtembee mtaa kwa mtaa mlale uchu mfanye mfanyaro Lissu siyo tu kwamba hawezi kuwa Rais yaani hata kufikisha nusu ya kura za atakazozipata Mh Rais anayesubiria kuapishwa.
Maana oktoba 28 tunaenda kuwabamiza kipigo cha paka shume kama hamuamini jiandaeni kuingia barabarani.
Ameumiza Sana watz so tunataka tumuonyeshe sisi sio wanyama wa kuburuzwa,mtaa kwa mtaa,Kona kwa Kona mtu na mtu.Yaani mtembee mtaa kwa mtaa mlale uchu mfanye mfanyaro Lissu siyo tu kwamba hawezi kuwa Rais yaani hata kufikisha nusu ya kura za atakazozipata Mh Rais anayesubiria kuapishwa.
Maana oktoba 28 tunaenda kuwabamiza kipigo cha paka shume kama hamuamini jiandaeni kuingia barabarani.
Yawe ya watu sio vituMaendeleo hamtaki tena
Hilo ndiyo jibu sahihi. Hadi sasa,ana vigezo vyote.Kwenye sifa za mgombea zimeainisha aina ya makosa yayomfanya apoteze sifa ya kugombea siyo makosa yote istoshe yeye ni mtuhumiwa tu katika hizo kesi zote sasa hawezi kunyimwa haki ya kugombea sababu ni mtuhumiwa tu.
Mdahalo? Magufuli hawezi, ataukimbia tu.Kwenye suala la kupima wagombea,sio siri kwamba mgombea kupitia CCM tumeshampima kwa miaka mitano na niwadhi kuwa hafai hata kidogo.
Nashauri kuwe na mdahalo wa wagombea,tuwasikie wote kwa pamoja.
Akina polepole wanatapanya kodi zetu hovyo tu, kulipa elfu saba na simu ya smartphone mtu kama huyu.Mikiki anaijua sana. Kama unadhani haijui nenda kawaulize wagombea wa Urais wa mwaka 2015, sijui akina nani na nani wale kutoka vile vyama vingine. Hivi Wakili Lissu anaijua mikiki ya kampeni za uchaguzi wa Urais au anaota? Anadhani ni ile ya Ubunge, tene when he was fit tofauti na sasa akiwa na magoti na miguu yenye matatizo. Jamani tusichokozane humu JF on this issue, tutoe hoja kisitaarabu ili tuvuke salama.
Hivi ulishaambiwa hawajulikani wala hawafahamiki , sasa utawachukuliaje hatua wasiojulikana? Amesema amesha wasameheWasalaam, ni wakati muafaka sasa ukawaeleza watanzania ni kina nani walikushambulia kwa risasi 16 bunduki ya kivita na uwaeleze watanzania utawachukulia hatua gani waliotaka kukuua sept 7 indapo utachaguliwa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Ni vema mh lissu ukatoka mbele ya umma uwafumbue watanzania gumbo hili, sasa basi.