Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Hakuna mahali nimesema tupo kwenye Campaign period??

Una matatizo gani??
Wewe umeulizwa swali halo swali kwamba Rais amefanya hayo yanayolalamikiwa akiwa kwenye election, NOMINATION au kwenye Campaign period.

Mimi ndiyo nimekujibu kwa mujibu wa sheria ya Gharama za Uchaguzi alikuwa kwenye 'Campaign period' hilo ndiyo Jibu la swali ulilouliza.
 
Wewe umeulizwa swali halo swali kwamba Rais amefanya hayo yanayolalamikiwa akiwa kwenye election, NOMINATION au kwenye Campaign period
Mimi ndiyo nimekujibu kwa mujibu wa sheria ya Gharama za Uchaguzi alikuwa kwenye 'Campaign period' hilo ndiyo Jibu la swali ulilouliza.

Campaign gani hizo?
 
Wewe umeulizwa swali halo swali kwamba Rais amefanya hayo yanayolalamikiwa akiwa kwenye election, NOMINATION au kwenye Campaign period
Mimi ndiyo nimekujibu kwa mujibu wa sheria ya Gharama za Uchaguzi alikuwa kwenye 'Campaign period' hilo ndiyo Jibu la swali ulilouliza.
Umejibu vyema, Kama kafanya hivyo katika campaign period Kama unavyosema Basi Hana kosa kwa mujibu wa kifungu Cha 21 Cha Sheria ya Uchaguzi,2010 inayozungumzia election campaign au election .
 
Umejibu vyema, Kama kafanya hivyo katika campaign period Kama unavyosema Basi Hana kosa kwa mujibu wa kifungu Cha 21 Cha Sheria ya Uchaguzi,2010.
Anakosa kwa sababu kutoa hizo hela kipindi cha 'campaign period' hakiruhusiwi hicho kifungu cha 21 kinasomwa pamoja na sehemu ya tafsiri ya neno 'campaign period'
 
Kwani JPM ameshateuliwa kuwa mgombea hata kabla ya kujaza fomu nimesikia kesho ndio anachukua fomu na hawezi kuwa mgombea mpaka apitishwe na NEC hata yeye Lisu bado hajawa mgombea kuweka pingamizi
Amekwisha pitishwa na chama chake.
 
Bado NEC haijampitisha....nimeelewa.
Ni kweli bado wagombea kadhaa hawajapitishwa na NEC.

Lakini, Sheria ya Gharama za Uchaguzi ina-apply hata katika nomination ya wagombea katika vyama vyao.

Nomination ni pale chama kinapompitisha mgombea na si NEC. Mchakato wa kupatikana kwa mgombea unaanzia kwenye chama chake, tunaita Nomination Process kwa mujibu wa sheria hiyo.
 
Endeleeni tu na ujinga wenu. Tunakusanya ushahidi wote mwaka huu. Mawakili wa Amsterdam hawako mbali sana na mahakama ya ICC. Lolote mtakalofanya mwaka huu mjue tu mwisho wenu ni aibu tu .
CIA FBI Scotland Yard na wapelelezi wa mahakama ya The Hague wapo Tanzania kimya kimya wanaendelea kuzichunguza kila unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani.
 
Rais ndio amekuwa nominated na CCM kugombea nafasi ya Urais.

Ila Bado hatupo kwenye Campaign process ambapo ndipo vyama huuza sera baada ya wagombea wake kuidhinishwa na NEC...
Mara baada ya mgombea kuwa nominated na chama chake ndipo The Election Expenses Act inapo-apply.

Hatupo kwenye kampeni lakini kumbuka kuwa tumetoka kwenye Nomination Process. NEC inaidhinisha wagombea baada ya Nomination katika vyama vyao.

Hoja hapo ipo maana Sheria ya Gharama za Uchaguzi ina-apply mara baada ya Nomination ya wagombea.

Nominationa Process inafanyika katika vyama vya siasa ndipo mgombea ama wagombea wanapitishwa.
 
Kama juzi ile laki ni rushwa basi magu kaanza kutoa rushwa Toka 2015
Mtukufu amewahi kugawa mpaka milion 10 kwa mkuu wa wilaya ya Godwin Gondwe wananchi mbalimbali, kakiuka katiba siku nyingi kwa kuanza kampeni mda mrefu miaka Mingi na juzi kibiti katoa rushwa live kwa ununuzi wa jogoo kwa laki moja kaanza kampeni kabla ya wakati.
 
Anakosa kwa sababu kutoa hizo hela kipindi cha 'campaign period' hakiruhusiwi hicho kifungu cha 21 kinasomwa pamoja na sehemu ya tafsiri ya neno 'campaign period'
Hiyo ni tafsiri yako potofu.

Kifungu Cha 21 kinasema, Nomination process , election campaign or election.

Campaign period haihusiki.

Unadanganya watu hapa kijana.

Lala sasa.
 
Mara baada ya mgombea kuwa nominated na chama chake ndipo The Election Expenses Act inapo-apply.

Hatupo kwenye kampeni lakini kumbuka kuwa tumetoka kwenye Nomination Process. NEC inaidhinisha wagombea baada ya Nomination katika vyama vyao...
Vilaza mpo wengi Sana.

Sheria inaanza kuwa applicable kuanzia kwenye nomination process.

Nomination hufanyika na chama.

Makosa yanakuwa accounted kwenye nomination process, election campaign na election.
 
Alikuwa kwenye 'campaign period' kwa sababu ukienda kwenye huyo sheria,kule kwenye interpretation section imetafsiri maana yake ni
Election Expenses...
Wengi huwa hawasomi hizi sheria kwa makini kabla ya kuzijadili.

Kuna mambo mawili katika hiyo Sheria ya Gharama za Uchaguzi ambayo ni "Nomination" pamoja na "Nomination Process".

Nomination ni uteuzi wa wagombea. Nomination Process ni mchakato wa upatikanaji wa wagombea ndani ya vyama vyao na sio NEC.

Sheria ya Gharama za Uchaguzi iko wazi kabisa kuhusu hayo mambo mawili.

Mara baada ya mchakato wa kuwapata wagombea ndani ya vyama vyao ndipo kinapoanza kipindi kinachojulikana kama "Campaign Period" na kinadumu hadi kabla ya Uchaguzi kufanyika.
 
Hiyo ni tafsiri yako potofu.

Kifungu Cha 21 kinasema, Nomination process , election campaign or election...
Wewe unajichanganya
Swali ulilouliza lilikuwa ni je wakati Rais Magufuli anafanya mambo yanayolalamikiwa alikuwa kwenye election, nomination au campaign period hilo ndilo swali ulilouliza mwanzoni.

Sasa kwa mujibu wa sheria ya Gharama za Uchaguzi 'Nomination process' ilishapita zamani ambacho ndiyo kipindi cha uchukuaji fomu, election period bado kwa sababu ni kile kipindi cha upigaji kura ili kujaza nafasi.

Campaign period ndiyo kipindi kinachofuata baada ya nomination hivyo basi kosa lilifanyika wakati wa 'Campaign period' Jipange kwa hoja usiwe unakurupuka mkuu
 
Back
Top Bottom