Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Vilaza mpo wengi Sana.

Sheria inaanza kuwa applicable kuanzia kwenye nomination process.

Nomination hufanyika na chama.

Makosa yanakuwa accounted kwenye nomination process, election campaign na election.
Acha ubishi kwanza, soma hiyo sheria kwa makini!

Unaelewa maana ya Nomination Process?
 
Wengi huwa hawasomi hizi sheria kwa makini kabla ya kuzijadili.

Kuna mambo mawili katika hiyo Sheria ya Gharama za Uchaguzi ambayo ni "Nomination" pamoja na "Nomination Process".

Nomination ni uteuzi wa wagombea. Nomination Process ni mchakato wa upatikanaji wa wagombea ndani ya vyama vyao na sio NEC.

Sheria ya Gharama za Uchaguzi iko wazi kabisa kuhusu hayo mambo mawili.

Mara baada ya mchakato wa kuwapata wagombea ndani ya vyama vyao ndipo kinapoanza kipindi kinachojulikana kama "Campaign Period" na kinadumu hadi kabla ya Uchaguzi kufanyika.

Acha ubishi kwanza, soma hiyo sheria kwa makini!

Unaelewa maana ya Nomination Process?
Hujui lolote wewe.

Soma kifungu Cha 21 kinachosema ni makosa kutoa Rushwa wakati wa nomination , election campaign au election, hiyo campaign process mmeitunga hapo ufipa. Hakuna kitu Kama hicho.
 
Wewe unajichanganya
Swali ulilouliza lilikuwa ni je wakati Rais Magufuli anafanya mambo yanayolalamikiwa alikuwa kwenye election, nomination au campaign period hilo ndilo swali ulilouliza mwanzoni...
Wewe nimeshakupuuza maana hujui tafsiri ya Sheria.

Nilidhani naargue na muelewa kumbe hamna lolote.
 
Wewe unajichanganya
Swali ulilouliza lilikuwa ni je wakati Rais Magufuli anafanya mambo yanayolalamikiwa alikuwa kwenye election, nomination au campaign period hilo ndilo swali ulilouliza mwanzoni...
Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!

Nilichokisema mimi ni "Campaign Period". Soma hiyo sheria, Usikurupuke!

Kama kuna kitu kigumu na hujakielewa katika hiyo sheria uliza na utapatiwa majibu sahihi.

Nimekuuliza nini maana ya Nomination Process, umelikimbia swali!

Acha nikusaidie;
Soma hicho kifungu cha 21 (a) cha sheria hiyo kwa makini. Utakiona hicho nilichokisema hapo awali [Campaign Period].

Sheria inasema hapo kuwa kosa la rushwa linaweza kufanyika kabla au baada ya Campaign Period (before or during the Campaign Period).

Nilikuuliza kuhusu Nomination Process:
Nomination Process ni uteuzi wa wagombea ndani ya vyama kabla ya Campaign Period. Baada ya Nomination kufanyika ndipo kinapoanza kipindi cha Campaign Period hadi wakati wa kuanza kwa Uchaguzi.

Rudi katika kifungu cha 3 cha sheria hiyo kisha soma kwa makini kuhusu haya mambo matatu: Nomination Process, Nomination pamoja na Campaign Period.

Kama kuna jambo linalokutatiza hapo uliza na utajibiwa!
 
Hujui kit

Hujui lolote wewe.

Soma kifungu Cha 21 kinachosema ni makosa kutoa Rushwa wakati wa nomination , election campaign au election, hiyo campaign process mmeitunga hapo ufipa. Hakuna kitu Kama hicho.
Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!

Nilichokisema mimi ni "Campaign Period". Soma hiyo sheria, usikurupuke!

Kama kuna kitu kigumu na hujakielewa katika hiyo sheria uliza na utapatiwa majibu sahihi.

Nimekuuliza maana ya Nomination Process, umelikimbia swali!

Acha nikusaidie;
Soma hicho kifungu cha 21 (a) cha sheria hiyo kwa makini. Utakiona hicho nilichokisema hapo awali [Campaign Period].

Sheria inasema hapo kuwa kosa la rushwa linaweza kufanyika kabla au wakati wa Campaign Period (before or during the Campaign Period).

Nilikuuliza kuhusu Nomination Process:
Nomination Process ni uteuzi wa wagombea ndani ya vyama kabla ya Campaign Period. Baada ya Nomination kufanyika ndipo inapoanza Campaign Period hadi wakati wa kuanza kwa Uchaguzi.

Rudi katika kifungu cha 3 cha sheria hiyo kisha soma kwa makini kuhusu haya mambo matatu: Nomination Process, Nomination pamoja na Campaign Period.

Kama kuna jambo linakutatiza hapo uliza na utajibiwa!
 
Wewe nimeshakupuuza maana hujui tafsiri ya Sheria.

Nilidhani naargue na muelewa kumbe hamna lolote.
We ndiyo hamna lolote. Umeuliza swali wakati magufuli anafanya kile kitendo kinacholalamikiwa ilikuwa ni wakati gani?
Ukasema ni Nomination, election au campaign period, nikaakujibu kwa vifungu vya sheria ya gharama za uchaguzi kwamba ni 'campaign period'.
 
Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!

Nilichokisema mimi ni "Campaign Period". Soma hiyo sheria, usikurupuke!

Kama kuna kitu kigumu na hujakielewa katika hiyo sheria uliza na utapatiwa majibu sahihi...
Section 21(a) haijataja campaign period.

Section 3 ni Interpretation section Haina maana Sana kwa mjadala huu Kama section 21 ambayo ndiyo imecreate offence na haijataja campaign period.

Hujui Sheria, nakupuuza. Kwaheri.
 
Yaani mtembee mtaa kwa mtaa mlale uchu mfanye mfanyaro Lissu siyo tu kwamba hawezi kuwa Rais yaani hata kufikisha nusu ya kura za atakazozipata Mh Rais anayesubiria kuapishwa.

Maana oktoba 28 tunaenda kuwabamiza kipigo cha paka shume kama hamuamini jiandaeni kuingia barabarani.
Ameumiza Sana Watanzania so tunataka tumuonyeshe sisi sio wanyama wa kuburuzwa, mtaa kwa mtaa, Kona kwa Kona mtu na mtu.
 
Yaani mtembee mtaa kwa mtaa mlale uchu mfanye mfanyaro Lissu siyo tu kwamba hawezi kuwa Rais yaani hata kufikisha nusu ya kura za atakazozipata Mh Rais anayesubiria kuapishwa.

Maana oktoba 28 tunaenda kuwabamiza kipigo cha paka shume kama hamuamini jiandaeni kuingia barabarani.
Ameumiza Sana watz so tunataka tumuonyeshe sisi sio wanyama wa kuburuzwa,mtaa kwa mtaa,Kona kwa Kona mtu na mtu.
 
Awekewe pingamizi huyo mtu na Dumila ametoa ahadi ya mil 100 kwa wamachinga atawajengea vibanda vya biashara bure kwa fedha yake mwenyewe, hapo ni Rushwa pia.
 
Kwenye sifa za mgombea zimeainisha aina ya makosa yayomfanya apoteze sifa ya kugombea siyo makosa yote istoshe yeye ni mtuhumiwa tu katika hizo kesi zote sasa hawezi kunyimwa haki ya kugombea sababu ni mtuhumiwa tu.
Hilo ndiyo jibu sahihi. Hadi sasa,ana vigezo vyote.
 
Kwenye suala la kupima wagombea,sio siri kwamba mgombea kupitia CCM tumeshampima kwa miaka mitano na niwadhi kuwa hafai hata kidogo.

Nashauri kuwe na mdahalo wa wagombea,tuwasikie wote kwa pamoja.
Mdahalo? Magufuli hawezi, ataukimbia tu.
 
Mikiki anaijua sana. Kama unadhani haijui nenda kawaulize wagombea wa Urais wa mwaka 2015, sijui akina nani na nani wale kutoka vile vyama vingine. Hivi Wakili Lissu anaijua mikiki ya kampeni za uchaguzi wa Urais au anaota? Anadhani ni ile ya Ubunge, tene when he was fit tofauti na sasa akiwa na magoti na miguu yenye matatizo. Jamani tusichokozane humu JF on this issue, tutoe hoja kisitaarabu ili tuvuke salama.
Akina polepole wanatapanya kodi zetu hovyo tu, kulipa elfu saba na simu ya smartphone mtu kama huyu.
 
Binafsi nashindwa kuelewa kwanini mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo kila akipanda jukwaani ni CCM mpaka anamaliza hotuba yake.

Anatumia muda wote kuiongelea CCM na serikali yake. Tumia jukwaa kutuambia unaenda kutufanyia nini Watanzania ambacho serikali zote za CCM zilishindwa.

Unachofanya ni kuitangaza CCM. Na tukishakusikiliza sisi wananchi kinachobakia kwenye akili yetu ni CCM na Serikali ya Magufuli.

Onyesha unaenda kuwa kiongozi wa nchi acha kulalamika mwanzo hadi mwisho wa hotuba zako.

Badala ya kuanza kumwongelea mpinzani wako tuambie kuhusu wewe. Una nini? Unaenda kutufanyia nini? Maana mwisho wa siku baada ya kulalamika tunataka maendeleo.
 
Wasalaam,

Huu ni wakati muafaka sasa ukawaeleza Watanzania ni kina nani walikushambulia kwa risasi 16 bunduki ya kivita na uwaeleze Watanzania utawachukulia hatua gani waliotaka kukuua Septemba 7 mwaka 2017 endapo utachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni vema Tundu Lissu ukatoka mbele ya umma uwafumbue Watanzania fumbo hili maana naamini unawajua tena kwa majina. Umesema mwenyewe sasa basi.
 
Wasalaam, ni wakati muafaka sasa ukawaeleza watanzania ni kina nani walikushambulia kwa risasi 16 bunduki ya kivita na uwaeleze watanzania utawachukulia hatua gani waliotaka kukuua sept 7 indapo utachaguliwa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Ni vema mh lissu ukatoka mbele ya umma uwafumbue watanzania gumbo hili, sasa basi.
Hivi ulishaambiwa hawajulikani wala hawafahamiki , sasa utawachukuliaje hatua wasiojulikana? Amesema amesha wasamehe
 
Back
Top Bottom