Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

Wewe ni Malaya wa KISIASA hata akili huna,Elimu nayo huna ili upate pesa ni lazima ujikombe Kwa njia hii ya umalaya Malaya wa kisiasa
 
Mvua zinaliwa!!??
Mvua zinafisha!!??
Leo nimeacha gari yangu kilometa 2,nimenyeshewa na kulowa chapachapa,mbona sijala hizo mvua wala kufa!!???
Wewe endelea kujitoa ufahamu, muda ni mwalimu wa kila kitu, msianze kuita watu madikteta jamaa yenu akichezea mvua za kutosha
 
Hivi Troll JF amepotea wapi?! Au covid ilishafanya yake ndio maana haonekani humu jamvini?
 
Tundu Lissu ndie mbunge na mwanasheria bora mbele za wananchi kwa muda wote ( Goat) kwa kuchambua sheria, kujenga hoja na kuelimisha jamii haki zao
 
Lisu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana

USSR
Nahisi ubongo wako umeshake pahari yaani Tundu Lissu akimbie kesi aliyobambikiwa na makada wa CCM?
Haahaaa acha vituko Arif au umesahau enzi za jiwe alivyopangua hoja za uzushi mbaka kesi ikaendeshwa mbaka usiku na mawakili uchwara wa serikali Kuumbuka na mkamshindwa Kwa hoja mkaja na kioja Cha kumpiga risasi?
Umejisahaurisha?
 
Kugharamia ugaidi kwa laki 6! Very funy na huu ni uhujumi mkubwa kabisa unaofanywa na polisi-ccm! raslimali zote hizi kwa kesi za kitoto na ushamba wa hivi?
Hivi kuwatesa watu hivi kwa makosa ya kubambikiza mnajua kiama chake? Dhambi hizi tambueni ziko juu ya watoto wenu na vizazi vyenu hadi cha 4! Sirro ulisoma seminary unayajua hayo.
 
Hajakimbia kesi maana siku zote alikuwa na kesi hapa nchini. Kilichomkimbiza ni maagizo ya yule kiongozi muovu kuwa auwawe.
Huyo kiongozi wake muovu hayupo sasa bado kinamkalisha kitu gani huko kwa amasterdam?
 

Akilambishwa mvua si wataimba kale kawimbo kao kasemako mahakama zetu haziko huru?
 
..Sikubaliani na TL.

..Ni kesi ngumu sana kwasababu mahakama zetu ni mali ya CCM.
Nami nashindwa kuelewa Lissu kwa nini anaichukulia kuwa nyepesi wakati akijuwa mazingira ya mahakama zilivyo hapa.

Huwa nashindwa sana kujuwa CHADEMA huwa wanapata wapi matumaini katika mazingira wanayojua kwamba siyo rafiki kwao. Chukulia mfano wa kuingia kwenye uchaguzi wa 2020 wakiwa na matumaini ya ushindi!
Sijui hii imani huwa wanaitoa wapi!
 
bangi
na kuongea kwa sauti kubwa
 
Mimi sijasomea sheria, ila hata wakiniambia sasa hivi nivae joho nimtetee Mh. Mbowe pale mahakama kuu aisee namchomoa kabisa nina uhakika 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…