Kwani Rais Marehemu Magu, alikuwa na mlinzi mmoja tu? Hata kama akataja rangi ya ngozi je, mwenye rangi hiyo alikuwa mmoja tu?Nimekuwekea video uone. Nikakuambia mpaka pa kuanzia na kuishia.
Hujaitizama? Au huna bando la kutosha wewe?
Alishajimaliza kisiasa yule.....Ni kweli he seems confused
Mwanzoni nilikuwa namshangaa amekuaje
Lakini nadhani anahitaji msaada,bado ana uchungu sana ila jinsi anavyo pambana na huo uchungu inaonekana kama anapotea
Ukweli ni kwamba asipokuwa makini anajimaliza kisiasa mwenyewe,atafika stage watu watampuuza
Ngoja nikusaidie kitu kimoja siku ina masaa 48 Marehemu Sadam hussein alikuwa Rais wa Kuwait atake asitake tutamlazimisha tu...
Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?
Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?
Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.
Na wewe unayeamini bandiko lisilo na hitimisho? Bandiko unaloliamini halina uhakika wa mhusika kwenye tuhuma, walinzi aliokuwa nao ni zaidi ya uliowatambua, usiwe mwepesi wa kuamini jambo, nenda taratibu mwisho utapata uhakika.LISU anahitaji daktari wa akili haraka sana
Mzee wa air hostageHivi yule mwenda zake angetoboa kweli? Kwenye Ile interview
Yupo aliyefariki kwa C-19 lakini siyo huyo. Aliyefariki kwa C-19 alifariki wiki tatu kabla ya msiba wa taifa na alizikwa MoroNi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa anamzungumzia?
Ni mlinzi yupi wa Rais Magufuli ambaye kafa kwa C-19?
harafu huyo huyo Lissu ndiye aliyeutangazia ulimwengu juu ya kuugua na hatimae kifo cha Jiwe wakapinga na kumdhihaki leo anasema mlinzi wake kafa wanabisha tenaUna akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?
Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?
Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.
HahahahaSo are you
Your man who wanted Lissu dead is now six feet down alone with his red tie.
Wewe unajua walinzi wa Rais wote?Maneno yepi?
Amesema mlinzi aliyekuwa anasimama pembeni, wote tuliwaona kwenye msiba. Atuambie ni yupi aliyekufa maana wote tumewaona.Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?
Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?
Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.
Ni yupi sasa ambaye Lissu alikuwa anamzungumzia?
Ni mlinzi yupi wa Rais Magufuli ambaye kafa kwa C-19?
Lissu kashakata tamaa ya kuishi maisha ya furaha.
Kavurugwa baada ya meko kufa.Muulize lissu mwenyewe, alipaswa kutaka jina.Nakushauri usimpende kuingia mazima
It's obvious Mungu ni wa ajabu sana eti matakataka Kama huyu mleta uzi wakawa wapiga zumali baada ya Lissu kupigwa risasi ajabu mpanga mikakati katangulia yeye sasaHalafu akafa yeye... mchimba kaburi huingia mwenyewe
Huo mi mtizamo wako broh.wengine tunamuona lissu ni mnyoofu sana
Ajenge hoja gani mtaielewa kwa huo uvundo wenu kwenye ubongo??Acha kejeli na matusi jenga hoja