Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Nimekuwekea video uone. Nikakuambia mpaka pa kuanzia na kuishia.

Hujaitizama? Au huna bando la kutosha wewe?
Kwani Rais Marehemu Magu, alikuwa na mlinzi mmoja tu? Hata kama akataja rangi ya ngozi je, mwenye rangi hiyo alikuwa mmoja tu?
 
Ni kweli he seems confused
Mwanzoni nilikuwa namshangaa amekuaje
Lakini nadhani anahitaji msaada,bado ana uchungu sana ila jinsi anavyo pambana na huo uchungu inaonekana kama anapotea
Ukweli ni kwamba asipokuwa makini anajimaliza kisiasa mwenyewe,atafika stage watu watampuuza
Alishajimaliza kisiasa yule.....
Magu alikuwa kama punching begi lake
hayupo sasa......
Hana jipya amebaki kuyumba yumba....
siasa zake zilijikita kwenye demokrasia
sio maendeleo ya kiuchumi
 
Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?

Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?

Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.

Mwambie Lissu kama hawezi kumtaja jina basi anyamaze kuhusu hiyo inshu maana analeta taharuki kwenye jamii. Mwenye ugomvi nae keshatangulia mbele ya haki uko, hivyo sio vizuri kuzushia watu vifo na kama kweli kafa basi ataje jina maana hakuna kosa lolote kama ni kweli.
 
LISU anahitaji daktari wa akili haraka sana
Na wewe unayeamini bandiko lisilo na hitimisho? Bandiko unaloliamini halina uhakika wa mhusika kwenye tuhuma, walinzi aliokuwa nao ni zaidi ya uliowatambua, usiwe mwepesi wa kuamini jambo, nenda taratibu mwisho utapata uhakika.
 
Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?

Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?

Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.
harafu huyo huyo Lissu ndiye aliyeutangazia ulimwengu juu ya kuugua na hatimae kifo cha Jiwe wakapinga na kumdhihaki leo anasema mlinzi wake kafa wanabisha tena
 
Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?

Unawajua walinzi wote wa aliyekua Magufuli? Lissu amemtaja jina ukamjua?

Akili zenu hazijapishana na ng'ombe mnaolala nao.
Amesema mlinzi aliyekuwa anasimama pembeni, wote tuliwaona kwenye msiba. Atuambie ni yupi aliyekufa maana wote tumewaona.
 
Ni yupi sasa ambaye Lissu alikuwa anamzungumzia?

Ni mlinzi yupi wa Rais Magufuli ambaye kafa kwa C-19?

Mwamba acha kupoteza muda wa kufanya mambo ya maana kubishana na watu wasiotaka kujadili hoja. Umeeleza vizuri kabisa kuanzia dakika ya ngapi TAL anaelezea kifo cha huyo mlinzi, na ameenda mbali kwamba anakaa nyuma ya Rais, mweusi na si yule mjeda. Kwanini asibanwe zaidi na sheria kwa sababu hizo ni tuhuma nzito sana kutolewa na mtu makini?

Tatizo watu wanatumia hisia badala ya kutafakari uhalisia wa mambo. Kwenye hiki kikosi hatujasikia msiba au kuona mmoja wao kapotea, wamekua wakitekeleza majukumu yao hadi safari ya mwisho ya Mkuu wetu alipopumzishwa Chato.

Kutoa taarifa za namna hiyo ni kukosa umakini kwa hali ya juu.
Screenshot_20210401-071722.jpg
 
Halafu akafa yeye... mchimba kaburi huingia mwenyewe
It's obvious Mungu ni wa ajabu sana eti matakataka Kama huyu mleta uzi wakawa wapiga zumali baada ya Lissu kupigwa risasi ajabu mpanga mikakati katangulia yeye sasa
 
Kama hakumtaja huyo mlinzi kwa jina si vyema kumlisha maneno kwa ubashiri wako....walinzi wa JPM walikuwa wengi, je unawajua wote?
 
Huo mi mtizamo wako broh.wengine tunamuona lissu ni mnyoofu sana

Wewe tuambie ni Mlinzi yupi kafa wa Rais? Unakwenda kwa Platform kubwa vile kusema uwongo. Ndiyo maana hawezi taja specific jina kaishia kubwabwaja tu, mwambieni aendelee na matibabu ya Akili, bado hajakaa sawa.
 
Back
Top Bottom