Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

MATAGA mmekosa kazi, mbona mlimzushia Mrema, Mbowe na Lema kifo imekuwaje mnaona hili la lissu?
Mbona hamsemi Jiwe alipokufa na Majaliwa kukataa na hakujiuzulu? mkuu kusema ameongea namarehemu na marehemu kasema tuchape kazi hiyo si slander kam unavyojibaraguza hapa?
 
Huyo Taga/Mnyonge mwenzio angeanza kwa kuuliza Lissu anamaanisha mlinzi yupi kafa kwa Covid-19, na siyo kuja na imagination zake za ajabu ajabu kama chizi vile wakati ni mtu timamu ukiachilia mbali ya kuwa ni Taga.
Sometime mnatetea upumbavu kiasi cha kujidhalilisha.
 
Muulize Lissu acha ulopolopo. Lissu aliposema kwa mara ya kwanza kuwa JPM kazima mlibisha, hili la mlinzi wake naye kutangulia mbele za haki, sio jipya, na Rais hana mlinzi mmoja. Mtafute Lissu akutajie jina kama unalihitaji!

Wewe ndiyo acha lopolopo, unaelewa kinachoongelewa hapa? Jikite kwenye mada, ni Mlinzi yupi wa Rais aliyekufa kwa Covid-19? Ndiyo maana darasani mnafail mitihani kirahisi, unaulizwa swali jingine, unatwist majibu kufit kile unachojua wewe kichwani kwako. Narudia tena jikite kwenye Mada husika, kama huwezi, usiquote Comment yangu.
 
Hahahaha..
Tulia dogo, mbona una panic?

Swali ni kuwa:
Whoever that person is, una hakika kuwa ni mzima??

Wahenga walishasema:
"No research no right to speak.."

Waliposema jiwe katangulia mbele za haki mlibisha hivi hivi
Jamaa alisingiziwa kafa kabla ya kifo cha Magufuli, lkn tulimuona kipindi chote cha msiba hadi chato alikuwepo na tumemdiscuss sana hapa JF..walinzi wote wa Magufuli walionyeshwa. Kama ni kweli alikufa basi tuliyemuona atakuwa ghost

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unayeamini maneno ya LISU kuwa kuna mlinzi wa magufuli amekufa na Corona.
UNAHITAJI DAKTARI WA AKILI
Wapi nimesema ninamuamini? Wanasiasa wanapolumbana wasikilize tu. Tatizo lako ni ushabiki, asiyeishangilia Yanga au Simba basi ni Yanga au Simba, unasahau wapo amboa hawana habari na hizo timu na hata wakikuthibitishia utawakatalia.
Nashukuru, niletee dakitari wetu sisi wagonjwa wa akili.
Najua tatizo lugha imekupitia pembeni.
 
"the dark guy that you see behind him all the time" moja kwa moja Apo mtu alieongelewa kila mtu kamuelewa kabisa sas ubishi wa nini kufikia conclusion kuwa Lissu ni mropokaji??
 
Lissu hafai kabisa.
Na kwenye huu msiba amedhihirisha hilo.Hawezi Kuwa Rais Milele ZOTE ....unafurahia msiba wa Mtu hata kama una chuki nae kwanini uendelee kumzushia muache tu..
muache atoe nyongo yake, we unadhani risasi 16 mwilini ni kazi ndogo!

malipo ni hapahapa duniani!
 
Mwenzio kauliza swali wewe ndio unakuja na assumptions zako. Mbona Alipo Rais kuhusu whereabouts ya Magufuli mlimuona hamnazo mwisho ilipodhihirika mlitokomea kusikojulikana?

Mlinzi mweusi ni huyo tu? Je mmemuona leo?

We kajamaa na wewe ni utopolo
We jamaa mbona unakuwa mbishi hivyo!

Hizo tetesi akina Lissu walizitoa kabla hata ya kuzika Magufuli kuwa Mlinzi wa Magufuli kafa pia lakini kwenye kumuaga dar tukamuona na chato tukajawaona wakiwa walinzi wote ambao hukaa nyuma ya Rais.

Wanao kaa nyuma y Rais ni huyo mnene na mweusi na uyo mwenye kipara awa hapa chini hao wengine hwajawahi kukaa nyuma ya Rais

Unajua tatizo lenu hamtaki kukubali kama Lissu kingia cha kike
tapatalk_1617252907959.jpeg
 
Tundu Lissu ni mpuuzi saana! Kiongozi na msomi huwezi kuongea kama Malaya wa Tandale au Manzese Uwanja wa Fisi.
Kuna watu wanajua vitu vingi sana lakini hawaropoki kama huyu chizi. Huyu chizi Tundu Lissu hapimi maneno yake kwenye public domain.
This idiot is the disgrace for Tanzanians civilization!
 
Back
Top Bottom