Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Msaada wa nyoko !? Yaani mtu Ampige risasi 16 kwa lengo la kumuua halafu baada ya kunusurika na umauti aanze kukaa na kukusifia baada ya wewe kufa !!! Umeshawahi kuona wapi !? Ingekuwa wewe ungeweza !!? Au mnaleta unafiki wenu tu hapa

Kuna wengine mpo humu mnamponda lissu wakati mpaka dakika hii mnayo post post hapa Kuna watu walikuwa marafiki /jamaa zenu /ndugu hamuongei nao na kisa Cha kutoongea nao waweza kukuta ni kwa sababu waliwa dhulumu 500k tu au waliwachukulia wapenzi wenu !?? Je Hali ingekuwaje kama mngepigwa risasi kama alivyo fanyiwa lissu sindio mngepindua Nchi kabisa


Wataanzania ifike mahali tuache unafiki sio Jambo jema kiwango Cha unafiki kimefikia hatua kubwa Sana hii haipendezi kabisa shame on you

Shame on me uko na wazimu nini wewe!?
Hebu nitolee povu lako jf is where we dare to speak openly unashangaza ukitaka wote tuwe na same opinion
By the way huwa nawa quote watu tunao fanana maoni huwa sijisumbui kuquote watu tunaopishana nao I suggest ujifunze hilo
Anahitaji msaada according to my opinion hutaki kunya boga
Next koma kunipangia cha kuchangia humu jf hunichangii bando wala nini,mshenzi mmoja,mxeew
 
Hovyo sana ww nilidhani baada mhutu🐵meko wenu kunyakuliwa na Corona akili zingewarudi kumbe bado
6C816174-2458-4C2E-B81B-7D0F76611D1D.jpeg
8B11B531-935F-4768-B8E9-DC26E6A9A2A8.jpeg
 
Kwani wewe umemuewaje Lissu alikuwa akifanya reference ya mlinzi yupi? Vitu vingine havihitaji ujuaji
Mwenzio kauliza swali wewe ndio unakuja na assumptions zako. Mbona Alipo Rais kuhusu whereabouts ya Magufuli mlimuona hamnazo mwisho ilipodhihirika mlitokomea kusikojulikana?

Mlinzi mweusi ni huyo tu? Je mmemuona leo?

We kajamaa na wewe ni ut
 
Ametaja bana sio ndo hizo discription alizotoa mbona wabongo tunapenda kucomplicate mambo. Amesema ambaye yuko naye kila mahali mrefu mweusi sasa hao walinzi wengine unaowataja hawamatch profile aliyoielezea Lissu. He real meant the guy
Tundu Lissu hajataja mlinzi yupi wa Magufuli aliyefariki na Corona.
Magufuli alikuwa na walinzi zaidi ya 19.
10 kutokana usalama wa Taifa na kutoka 4 polisi (FIELD FORCE ) na 4 JWTZ(MP) 1 JKT .
Wewe huwajui na hata wakifa serikali haiwezi zaidi utasikia wale watatu ambao huwa wanaambatana kwa ajili ya kumsaidia ADC ,lkn ambao huwa ni undercover na front cover utawajulia wapi?
 
Back
Top Bottom