Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

Jaribu Tanzania, utalogwa dk hiyo hiyo
1743459912796.jpg
 
Sina hakika kama Burkina Faso wana resources za kutosha.

Ponapona yake ndiyo hiyo.
Anaongoza Taifa lisilo na chochote kama Burundi au Rwanda..hapo anaweza kudumu.

Ni ngumu sana ku apply style hiyo kwa nchi tajiri kama Tanzania au Drc au hata Kenya.hufiki kokote.utakufa.
Huyo jamaa ameamua kuipeleka nchi kijeshi, muda wote ana bastola kiunoni hadi kuonana na Putin kiunoni alikuwa na chuma.
Jamaa amejitoa na hacheki na kima..
Yupo kivita muda wote full gear, full loaded.. hata hapo Burkinafaso angekuwa kifala wangeshamlaza dakika ya 0.

Burkina Faso ni moja ya nchi zinazo produce dhahabu kwa wingi barani Africa, usifananishe na Burundi.
2023 walishika nafasi ya 4 kwa ku produce dhahabu Africa, Tanzania ikashika nafasi ya 7...
 
Taifa halina chochote, Ufaransa na mataifa mengine ya magharibi yanatafuta nini nchini humo? Wanafadhili vikundi vya kigaidi na kutaka kumuua Traore kwa manufaa gani kwao?
 
Huyo jamaa ameamua kuipeleka nchi kijeshi, muda wote ana bastola kiunoni hadi kuonana na Putin kiunoni alikuwa na chuma.
Jamaa amejitoa na hacheki na kima..
Yupo kivita muda wote full gear, full loaded.. hata hapo Burkinafaso angekuwa kifala wangeshamlaza dakika ya 0.

Burkina Faso ni moja ya nchi zinazo produce dhahabu kwa wingi barani Africa, usifananishe na Burundi.
2023 walishika nafasi ya 4 kwa ku produce dhahabu Africa, Tanzania ikashika nafasi ya 7...
Kumbe alikutanishwa na putin
 
Sina hakika kama Burkina Faso wana resources za kutosha.

Ponapona yake ndiyo hiyo.
Anaongoza Taifa lisilo na chochote kama Burundi au Rwanda..hapo anaweza kudumu.

Ni ngumu sana ku apply style hiyo kwa nchi tajiri kama Tanzania au Drc au hata Kenya.hufiki kokote.utakufa.
Wanasiasa sio watu wazuri sana wanaweza kuanza harakati za chini chini kumuondoa.
 
Huyu bwana mdogo ana akili nyingi sana aisee kila kitu anachofanya ilitakiwa Nchi za Afrika waige wabunge hakuna kitu wanafanya Tanzania kama sio kula hela za walipa kodi bure tu Nchi ina wabunge ila hakuna la maana wanalofanya.
 
Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo.

Maoni ya mdau:

Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee walimu na madaktari.

Kila Mwafrika anahitaji hiki kitu nchini kwake kwani ni kweli wabunge wanakula mapesa mengi bure kabisa halafu kuna watu wanahangaikia afya zetu, wanawahangaikia watoto wetu wanapokea mishahara kiduchu kutofautisha na watu wanaopigwa viyoyozi bungeni.
View attachment 3289239
Hapa serikali ya CCM ndiyo kwanza inaongeza idadi ya majimbo na kuongeza mishahara na marupurupu ya wabunge huku shule hazina walimu na Hospitali hazina madaktari wakati kuna madaktari zaidi ya 3000 hawajaajiriwa na malaki ya walimu hawajaajiriwa. Hakiki CCM ni laana.
 
Huyu kiazi wetu ye anang'ang'ania ni mi5 tena tuu, twaaafa!
 
Kama kweli, anastahili pongezi..

Kuke jamhuri ya DANGANYIKA mbunge, waziri anakunja zaidi ya 10 kwa mwezi, bado anapewa gari, mafuta, nyumba, halipii maji, wala umeme, dereva bure, bima kubwa(sawasababu ya mshahara wake) ana, wasaidizia nalipiwa na serikali

Halafu kuna mwl/dr mshaharau ukikatwa kodi ni kamilioni tu, hapo nyumba, usafiri wa kazini, maji, umeme, bado ka bima kake hakatoi Baadhi ya huduma
Umeesahau kuwa mtu ni rais, waziri mkuu, speaker, anavuta pesa ndefu na akiwa madarakani anahudumiwa kwa kila kitu, bado akistaafu anaendelea kulipwa mshahara, bado anapewa gari na walinzi na kubadilishiwa kila baada ya miaka 5. na bado wakaona ela anayolipwa ambayo haina matumizi kila kitu anafanyiwa hadi kufa kwake wakaona ajengewe na nyumba kabisa eti akistaafu na mwenza wake alipwe mshahara.
hii nchi kwa kweli ina vituko vingi. lakini sasa yule ambaye ni mwalimu hata kiunua mgongo cha miaka yake 40 ya kazi hakilingani na kiinua mgongo cha mbunge cha miaka 5 bado wanataka wasimpe chote
 
Sisi leo deni la taifa ni zaidi ya tr 90 vp nan katuloga?
Bibi Ushungi na waganga wake wale wanaoroga na Mbuzi mbele ya Camera wanatangaza kabisa ataemsogelea wao wameshaloga hao ndio Wameloga na wanaendelea kuloga
 
Ni mfano wa kuigwa japo vigogo wenzake hawapendi kuona anayo fanya ni kama vile anawafumbua macho waafrika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom