ibrahim traore

Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Ibrahim Traoré akiwa amevalia kofia yenye bunduki imehaririwa kwa kutumia akili unde

    Kumekuwepo na picha inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na X ikimuonesha Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, akiwa amevalia kofia nyekundu ambayo inaonekana kuunganishwa moja kwa moja na bunduki. Hata hivyo, uchunguzi wa kidijitali umebaini kuwa picha hiyo...
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anaendelea kudanganya umma kwa simulizi kwamba bado yuko madarakani ili kuilinda Burkina Faso dhidi ya ushawishi wa Magharibi

    Muafrika na demokrasia ni kama maji na mafuta. Hio ni kwa sababu mtu mweusi ni mbinafsi, mwenye dharau, amekosa utu na mwenye kulewa na madaraka. Niliwahi kuleta uzi kuww ipo siku mwamba atazingua ila watu wakaleta makasiriko kwamba namchafua boy wao. Sasa ndio inaanzaga hivi kitakachofata...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burkina Faso: Kulikuwa na njama za kumuua Rais Ibrahim Traore, tumezizuia

    Serikali ya Burkina Faso imesema imefanikiwa kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Ibrahim Traoré, ikimtuhumu aliyekuwa rais wa mpito, Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba, kuwa mpangaji mkuu wa njama hiyo. Waziri wa Usalama, Mahamadou Sana, amesema mpango huo ulihusisha mauaji ya...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hizi ni nyumba Rais Ibrahim Traore amejenga kwaajili ya raia wake masikini nchini BurkinaFaso

  5. Chibike

    JamiiForums Tanzania Siku yaja Ibrahim Traore wa Tanzania atakua madarakani

    Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . .. Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Ibrahim Traore anataka kuifanya kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa la Burkina Faso

    Wakuu ==== Ni kweli kuwa Rais wa Burkina Faso anataka kuidhinisha kiswahili kuwa lugha ya taifa badala ya Kifaransa? Msaada Kwa mwenye ukweli wa taarifa hizi??
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Ibrahim Traore ni kizuri ila kinakosa misingi ya utawala yaani ni one man show

    Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afrika ukifanyika uchaguzi wa uhuru ni Marais wachache watabaki kwenye viti vyao kina Ibrahim Traoré wa Burkina Faso na Hichilema wa Zambia

    Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

    Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely. Madaraka yakianza kulevya. Sababu alizotoa hazina mashiko. Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa. Cc Nyani Ngabu
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka huu Tanzania inahitaji Rais kama Ibrahim Traore

    Hatuwezi kuendelea tena kudanganywa na kupumbazwa na watawala waliovimbiwa utajiri wa Nchi hii. Mwaka huu tunahitaji Rais kama alivyo Ibrahim Traore. Inakuwaje kijana mdogo tu Ibrahim Traore ndani ya muda mfupi amefanya Maendeleo makubwa kabisa katika Nchi yake lakini sisi watu wazima bado...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore awekwa kwenye maombi na mwalimu wa History

    Hakika sasa huyu jamaa ni kipenzi cha wengi.
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

    Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki. Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki. Hili ni tsunami kabisa. Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Fuatilia mahojiano kati ya Rais wa Bukina Faso Ibrahim Traore aliyoyafanya akiwa Russia. TV za Magharibi zimegwaya kuyarusha

    https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana.. Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu.. Lakini...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Si sawa kupima mafanikio ya Traore kwa kumuangalia Kagame

    Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa . Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi...
  15. hamis77

    JamiiForums Tanzania Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin Wana muhujumu Ibrahim Traore

    Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso. Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

    Wakuu, Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60. Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

    Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani. Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo. Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣. Huamini...
  18. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

    Mzuka wana jamvi ?? Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana. Tukianza na Hawa ; Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

    Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo? Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso. Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo. Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore.

    Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore na kuhimarisha ulinzi nchini Burkinabe.
Back
Top Bottom