SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,953
Muda si mrefu mtasikia tena deni limeongezeka.
Msishtuke kaeni kwa tahadhari tu.
Raisi wa Burkina Faso, siyo tu Komando, ila naamini pia Elimu ipo kichwani ya kutosha kupita maraisi wengi wa Africa 🌍
Kaamua kujilipua haswaaa tena kwa Kutumia AKILI KUBWA.
Hata kama si yote ila yapo mengi ya kujifunza.