grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,275
- 4,209
Jamaa ni jembe haswaaa nilikuwa naangakia baadhi ya sera zao aisee jamaa kiukweki anatashinda tu kwa kishindo hili shindano hauwezi mweka ligi moja na washindani wake .Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.