Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,267
- 103,804
Umeandika pumba tupu. Hivi una uhakika Magufuli ndio mtekaji???
Utaendelea kujifariji kwa comment kama hizi na member wenzio humu ndani usiporuhusu ufahamu wako ufanye kazi mpaka akili ikukae sawa.
Hapo kwenye sentensi ya alama ya kuuliza, ni kwamba unapigia jibu mstari au unauliza vumbi darini?