Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Unachosema ni sawa na hapa bongo ulinganishe kura za JPM na Rungwe,twende kwa hao wawili ambao wanachuana!JPM kakataliwa na watz wengi waliopiga kura!Kuthibitisha hilo nitaweka Poll hapa JF ambayo ni ya Tanzania halafu niweke hao washiriki watano halafu utaona mrejesho😁😁😁!Hata Lisu na Membe walifikiri kelele za twiter ndio zitawapa ushindi.
Kwa taarifa yako tu pamoja na kelele zenu zote mbona wamezidiana asilimia ndogo sana huku yule wa Saouth akiwa na 0.80%? Hii inakupa ujumbe gani?
Bavicha manajifariji kweli yani
Utawala huu wa kiibilisi hauwezi toboa!