Tukio lako la kusisimua ukiwa mdogo

Tukio lako la kusisimua ukiwa mdogo

hahahahahaha utukutu umeanza zaman sana ashukuriwe madame Karucee kwa kupunguza cheche rip auntie

Aaamin my auntie hata nikimkera vipi masikini hakuwa na kinyongo alikuwa tu akisema "utundu wako huu iko siku utakuwa na heshima nitakukumbusha" but daaaanh...sad!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Wa zee Wa matukio mko wengi sana

Sana kaka yaani utoto acha tu!!!!

Kuna siku mshua alinikata kibao akinikuta nachezea kikokotoo chake nikamaindi sana nikaenda chumbani nikalia halafu nikapikicha sana lile jicho nikatoka nalia sana nikijidai jicho linauma sana. .Hapo lishakuwa jekundu balaa mama kuona vile mbona alimkomalia mpaka akanipeleka hospitali kufika kule hamna lolote la maana dokta aliloona tukaishia zetu mgahawa kupiga sambusa na fanta huyoo home!!!!!
 
Hahahaha wallah nimecheka sana uzi mzuri huu kwa kufurahisha nafsi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi utoro bwana nikiwa sekondari hapo Azania kulikuwa na shifti za asubuhi na mchana basi ya asubuhi natoka nyumbani saa moja natembea mpaka shule moja nyumbani magomeni kwa moja darasani nilikuwa sipendi kufanya usafi nikikuta wanakamata wachelewaji narudi napita njia kabla ya yard ilipo kuna njia unatokea uwanjani. Hapo saa sita tu nishachoka nipo mlangoni naondoka tabu ilikuwa kuingia mchana darasani saa 7:10 nyumbani natoka saa 7 huyo taratibu mpaka shule saa 9 nishachoka namfuata rafiki yangu namuuliza oya vipi umehamia bweni au ? tukitoka saa 11 nyumbani tutafika saa ngapi .
siku tunatoroka tunafika getini uso kwa uso na mkuu wa shule nachokumbuka nilifika nyumbani saa 2 usiku ila sikuacha kutoroka
 
Mkuu ulikuwa lebo gani?
 
Form one hiyo, nimerud likizo ya pasaka! j3 yake ile zilibaki bia pale home,nikaamka nkazikuta.

Nikachukua safari nkaipga ,nikazima kuja kushtuka sa9 mchana nimeokotwa toilet tena vile vya shimo.

ntakuja na ile kuchezea vitasa kisa bikra
 
Kwa ninavyokufahamu wewe na mwenzio hata mimi ningekuwa baba yenu ningekuwa nawacharaza sana,,watoto kama nyie msipochapwa vizuri mtaleta shida baadae . Si unaona siku hizi angalau angalau?haha

Hakijapungua kitu, tumepunguza kidogo
 
Mimi mwaka 1987 nilipigwa jiwe na Wamakonde.

Tatizo niliwachokoza mwenyewe. Nilikuwa mchokozi sana nilipokuwa mtoto.

Sasa wale watoto kila mara nilipowaona mtaani nilikuwa nawatania 'nangu mene' (hata maana yake nshasahau).

Siku ya siku nipo barazani kwetu nikawaona wanapita mtaani kwa mbali.

In true NN form...nikaanza uchokokozi....'nangu mene'.

Jamaa si wakanilia timing bana...wakarusha jiwe likanipata juu ya jicho la kushoto kwenye nyusi.

Damu zikaanza kuchuruzika. Nikarudi ndani nimeshikilia kidonda nalia. Bahati nzuri alikuwepo mjomba.

Chap chap akafanya mipango na kunikimbiza zahanati. Kufika zahanati kuangalia kidonda, daktari akasema hakuna jinsi - ni lazima tu kukishona.

Hilo tukio kamwe sitalisahau maana lile jiwe lingeshuka kidogo tu na kutua flush kwenye jicho, leo hii ningekuwa chongo.

Shori gani wa ukweli angenikubali leo hii kama Rais wa wabeba maboksi ningekuwa na chongo?

Kwa hiyo hilo tukio siwezi kulisahau kwa sababu uchokozi wangu ulinitokea puani siku hiyo.

Nahisi kama vile uchokozi upo kwenye DNA yangu ingawa sasa umetulia kwa sababu ya utu uzima.

du!! Huo mwaka mwezi wa nane ndyo nazaliwa
 
Mimi nilikuwa lebo nyeusi mkuu.Umenikumbusha mbali sana mkuu mimi nilikuwa nikiona geti la barabara ya umoja wa mataifa lile limefungwa na huku kituo cha polisi kuna mwalimu ndo siku yangu ya shule ndo imeisha hapo hapo napanda daladala naenda homu.Mzee wangu alikuwa anaishangaa sana shule ile.
 
Last edited by a moderator:
Ni nakumbuka nilikuwa na miaka ya tisini nikiwa teenager msumbuliwa na balehe, nilikuwa nakamendea kabinti Fulani hivi shombeshombe. Basi kakawa kamenikubali, kakapanga muda ya SAA NNE asubuhi niende kwao kula mzigo wazazi wake wakiwa kazini na wadogo wake shule.
Basi SAA NNE kamili juu ya alama, msumari Wima kama mwavuli ndani ya mfuko wake mzee nikagonga geti kwa mapooooozi. Out of expectations si akafungua mama yake. Haraka haraka nikasema mama kanituma kuku hamsini hela ataleta baadae. Nikapewa kuku hamsini huku nikiwa nimebaki na swali kubwa kichwani nitawapeleka wapi kuku hawa?

aseeeeee kwa hii nmejitahidi kujikausha lakini nmeshindwa asee ilibidi nicheke sana hata mbele ya ma mkwe hadi aibu duh yaani...
 
Mimi nilikuwa lebo nyeusi mkuu.Umenikumbusha mbali sana mkuu mimi nilikuwa nikiona geti la barabara ya umoja wa mataifa lile limefungwa na huku kituo cha polisi kuna mwalimu ndo siku yangu ya shule ndo imeisha hapo hapo napanda daladala naenda homu.Mzee wangu alikuwa anaishangaa sana shule ile.

nikiwa nikipanda gari la muhimbili getini hakueleweki moja kwa moja don bosco huko hadi mapumziko ndio narudi
 
nikiwa nikipanda gari la muhimbili getini hakueleweki moja kwa moja don bosco huko hadi mapumziko ndio narudi

Nisipoenda home naenda Tanganyika au kituo cha utamaduni cha waIran pale Palm beach.
 
Sitasahau siku ya kwanza kupiga punyeto...ilikua mtoni nimekwenda kufua....nijifungia ndani siku nzima kwa aibu na woga.....yaani kila saa nalichungulia dushe kama lipo. Na nguo niliziacha mtoni.
Dah mkuu umenikumbusha mbali! kuna kabinti tulikuwa tunaenda wote kuchukua maziwa kila siku.sasa ikawa siku moja kukawa na harusi kijijini kwetu na sisi tukaenda,zamani hizo harusi zinafanyika mchana jioni linawekwa disco,
tukiwa kwenye disco nikaona yule binti anafuatwa sana na kijana fulani sana,nikamfuata yule binti nikamwambia mbona huyo anakufuata fuata sana,akasema ananitaka tufanye michezo ya wakubwa,sasa mimi nikamwambia kwa utani tufanye na mimi achana na huyo,akaniambia ukiona nimepotea hapa njoo kule gizani akinyoosha mkono sehemu yenye giza.
mara akatoweka baadaye na mimi nikaenda,Eee bwana wee usipime mimi ilikuwa mara ya kwanza na bado nilikuwa na mkono wa sweta acha nichubuke,njaa ilinipata kibwena,tulipoondoka hapo nikaenda nyumbani,kesho yake kwa aibu niliyokuwa nayo sikutaka kuonana naye nikaenda mapema kuchukua maziwa.
nikaanza kumkwepa maana kila nilipomuona kwa mbali aibu ilinishika nikawa natamani kuficha uso.bahati nzuri ndugu zake walimwita mjini na mimi ndo nikawa huru maana nilishakuwa mtumwa wa kumkwepa kila mara.
 
Back
Top Bottom