CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Zamaaa kitambo saanaa, yani enzi mwalimu bado anaitwa rais, mtu akiringaringa unamwambia unaringa kwani we nyerere?!! basi niko nae brazaangu mwenyewe namkubali sana, basi wakati huo mimi mdogo ndiyo nabarehebarehe yeye ndiyo kijana wa mtaa ndiyo mbabe mwenyewe ujana kati bangibagi pombepombe alikuwa akiuza mitumba, basi kulikuwa na mmaza mmoja mtaa wa pili bro alikuwa amemfuatilia sana kupiga show akawa amemtosa. siku hiyo kukawa na sherehe jirani yule mama akawa ameitwa kupika chakula, basi vijana tuko around na bro wangu si tukamwona yule maza, mdada wa haja kafunga inye ndembe majiyakunde kapanda juu sura ya kuvutia, akatuambia anapika kwenye sherehe, basi bro akaomba tender ya kussuply nyanya...wakati tunafuata nyanya bro akawa ananpigisha stori ..."kijana umeona kifaa hicho"..kikali kinoma vipi ulishapiga, hamna ananizingua, vipi unataka kupiga?..nikabaki nachekelea tu! tulivopeleka nyanya si akaanza kuniimbishia maza la watu linachekacheka tu likiniangalia na mimi nakaza kijicho ili lisinione boya, mara wakawa mara wakawa wanakuja watu bro akaliambia liibuke home kumalizia mazungumzo, kachimba biti lisipotokea atakuja kutia kilo kumi za chumvi kwenye mboga (bro alikuwa mtata sana, kweli alikuwa na uwezo wakuzamia na kufanya chochote), basi tukaenda mageto kusubiri huku ananiambia "leo lazima upige mashine hii kitu mimi imenisumbua sana lazima aonjwe na ukoo". Mwanangu muda si muda dude si likatia maguu, sasa pale mahome kulikuwa na boma kubwa, ndani ya uzio kulikuwa na nyumba tatu, nyumba kuu, nyumba iliyotumika kama store na mambo ya jiko, na nyumba ya vijana, pale kati kuna mti wa kivuli watu hupena kukaa, bro faster akalivutia gheto mi nimechill kibarazani, akatuambia ingieni chumbani mkazungumze, tukachoma ndani, mwanaume nikaanza kulishikashika (i had no idea what i was doing!), lenyewe linaniambia kesho tutafanya leo asije kuunguza chakula cha sherehe, braza kumbe anaskiliza mlangoni akadakia "leo hautoki bila ktmbw hm, dogo acha kulemaa"....lol! dah, basi ikabidi dada wa watu awe mpole....nguo chojoa, zipu fungua mara dushe nikahisi inagusa meno, mara nikaskia bro anashangilia...muda kidogo mule ndani ilikuwa makelele na sitosahau kamwe ile siku. Sasa muda wa kutoka broalivochungulia nje akakuta wanafamilia wametoa mkeka na kujilaza chini ya mti kwa raha zao...dadadadadadeki, cheki madirisha yote yana nondo...phew!..ikabidi ajitose tu, kajifunika ushungi katoka na miaibu kibao pale....sisi ikabidi siku hiyo mchana ugeuke kuwa usiku, tulilala bila kupenda! kuanzia sik hiyo ndugu zangu walikuwa wakinicheka sana kutembea na yule dada ananizidi umri vibaya mno kisha ni mke wa mtu, lakini alinionesha ulimwengu tofauti kabisa ambao nilikuwa sijauona, na nilishindwa kuachana naye mpaka browangu akawa ananichimba mkwara akiniona naye atanifumua, na yeye akamchimba mkwara atamtandika vitasa akiniona na mimi....loh! Nikikumbuka naona tumetoka mbali na maisha yamebadilika sana, Bro wangu aliokoka akawa full biblia na sasa amekuwa mtu mzima, I LOVE YOU BRO, I REALY DO!
cc: OLESAIDIMU
cc: OLESAIDIMU
Last edited by a moderator:
