Tukio lako la kusisimua ukiwa mdogo

Tukio lako la kusisimua ukiwa mdogo

Hahahahahaha lol!!!! Aisee sasa ulipoweka muhogo ulidhani utakaangwa mle? utoto jamani una raha zake na karaha zake lol!!!

Kama mnakumbuka zile tv zimeunganika na deki(VHS) kuna siku niliingiza muhogo thn nikakaa kweny kochi kimya nikisubiri kuona kitakachoonyeshwa..hyo cku cwezi isahau coz aftr mshua kurudi nilichezea bakora za kutosha.
 
Yaani nimecheka hii mikasa ya Watu humu!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
suuuuuuuuuuuuuuuuu....

Enheeeeee ukiwa mtundu utotoni visa haviishi!!!!!

Hivi mnakumbuka kutengeneza upinde na mshale mbele unaweka msumari halafu mnaenda kuwinda!!!!

Basi siku hiyo tumeenda kuwinda hamna kitu tumerudi nayo giza likaingia tukasema leo tuoneshe muvi,basi mi na mwanangu mmoja akiitwa Majid,muvi ni kwamba tuchukue tochi halafu tukae kwenye ngazi (tunakaa maghorofani hapo)basi mi kaingia ndani nikaiba tochi tukaandaa steji gizani, mmoja ashike tochi akiwa nyuma yangu akimmulika Majid wengine wakae gizani mi namlenga yeye steringi anakwepa ikakubali kama mara mbili hivi mishale inaisha tunaokota muvi linaendelea! !!!!!

Stering akazidisha mbwembwe sasa badala ya kukwepa akataka kudaka mshale bhana, mie tena nishalenga paja adake waapi sasa mshale kwenye paja bana tuuf msumari wote ndani midamu mwa mwa mwaaa, watu wooote eenheeee eneheeee umemuumiza mtoto wa watu yeye steringi kaangua kilio cha maana siri ya muvi ipo
tena hapo!!!!!?????

Watu kutoka wanamkuta midamu ya maana sijui nilimtoboa artery au vein masikini, basi yeye hospitali mie sasa kichapo home cha maana kwanza nimeiba tochi ya mshua unabonyezea nyuma ndio inawaka,pili kuchelewa kurudi, tatu nimemuumiza mtoto wa watu!!!!

Tukikaa na marehemu shangazi na dada wa kazi nao gombezwa sana kwa nini niko nje muda ule na sijaoga ,natumai mnakumbuka kuogeshwa na mtu mwenye hasira sabuni mpaka machoni dodoki mpaka ngozi inawaka moto!!!!!!

Mungu amrehemu auntie bhana mwenyewe alikuwa akinipenda sana!!!!

miss neddy, Deo Corleone
 
Last edited by a moderator:
Mie pia sidhani kama kuna uzi hapa jamvini uliowahi kunifanya nicheke kama huu, Dah!!!! Huu uzi kama utaendelea basi unaweza kuwa ni wa mwaka au hata katika top 5 katika threads zote tangu JF ianzishwe 2006.

Yaani nimecheka hii mikasa ya Watu humu!!!
 
Lol teeeeh .nimecheka mpaka basi .yaani kila story ni kichekesho tosha duuuuh
 
Ni nakumbuka nilikuwa na miaka ya tisini nikiwa teenager msumbuliwa na balehe, nilikuwa nakamendea kabinti Fulani hivi shombeshombe. Basi kakawa kamenikubali, kakapanga muda ya SAA NNE asubuhi niende kwao kula mzigo wazazi wake wakiwa kazini na wadogo wake shule.
Basi SAA NNE kamili juu ya alama, msumari Wima kama mwavuli ndani ya mfuko wake mzee nikagonga geti kwa mapooooozi. Out of expectations si akafungua mama yake. Haraka haraka nikasema mama kanituma kuku hamsini hela ataleta baadae. Nikapewa kuku hamsini huku nikiwa nimebaki na swali kubwa kichwani nitawapeleka wapi kuku hawa?
Uwiiiiii!!!
Natamani kujua hao Kuku ulipeleka wapi na pesa ya Watu ililipwaje!!
 
Mie pia sidhani kama kuna uzi hapa jamvini uliowahi kunifanya nicheke kama huu, Dah!!!! Huu uzi kama utaendelea basi unaweza kuwa ni wa mwaka au hata katika top 5 katika threads zote tangu JF ianzishwe 2006.

Yaani nimeupenda bure,Safi sana kuondoa stress!!
Utoto raha sana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahahaha lol!!!! Chezeya utamu weye!!!! Mpaka ukasahau nguo mtoni na wasiwasi tele labda dushe limedondoka lol!!!!

Sitasahau siku ya kwanza kupiga punyeto...ilikua mtoni nimekwenda kufua....nijifungia ndani siku nzima kwa aibu na woga.....yaani kila saa nalichungulia dushe kama lipo. Na nguo niliziacha mtoni.
 
hmm! tuliokulia vijijini nasi tumeona mengi huko, we acha tu!...

ngoja niagize kichuri kwanza ntakuja kuwaambia nilivyochoma nyumba masikini kisa nawinda kuku nikilazimisha awe kanga!

Mpaka leo siri haijatoboka kuwa mchoma nyumba ni mimi na best yangu! hiyo mwaka 98!...

nakuja jamani!
 
Ngoja niwape la ukubwani kidogo nikiwa nasoma form 2(dogo) nilipoingia bweni la Advance tukakuta wakubwa wamelala ktk deka za juu kuna aliyejifunika blanket kwa kulinyanyua juu ila likawa linachezacheza ktkt km kupanda na kushuka,kwa kiherehere nikaenda kumwita mwenzangu tukapanda juu ili tufunue tushuhudie ni kitu gan! Kufunua tu daah hatukuamin jamaa alikua uchi dushelele imesimama wima kama abiria aliyekosa siti,alikua akijichua/kupiga nyeto,tukakimbia ila jamaa alichukia sana maana alikua kiongoz wa dini,alitupiga hadi tukakoma na tukapigwa marufuku ya kuingia kule bwenini
 
Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa nakojoa sana kitandani kutokana na michezo mingi si unajua na mauchovu nini sasa kutokana na kuchekwa na watu sikumoja usiku nikaamua kufunga kidudu na kamba(uzi) wewee si na siku hiyo nikakojoa tena weeeeeeeeeeeee hakuna rangi niliacha ona niliangua kilio kikubwa usiku nikimwita maza akajaa na yeye akaangua kilio akamwita baba kitu kimetuna kaa cobra uzi umefukiwa kabisa ndani mshua akafanya ajuavyo mpaka akakata kile kiuzi ila alilipukiwa na nyuklia kidogo, kesho yake moja kwa moja kutairiwa na kukojaoa nikaacha cant forget aisee niliumwa sana.
 
nakumbuka mwaka 1995 au 96 nikiwa mdogo sana... tulikuwa tunacheza kibaba na kimama... so nlibahatika kuwa baba so tulikuwa tunafanya mchezo mbaya..sasa kuna siku rafik yangu mmoja na yy alikuwa baba so nae alikuwa anataka mchezo mbayayule mtoto wa kike alikataa....so me nikaendelea kuwa baba.. ikamuua sana rafiki yangu... akaamua kuondoka kwenda kunisemea kwa maza basi kwa bahat mbaya maza alikuja nae mpaka kwenye hile garage mbovu akanikuta natufua kitoto... aisee nilibatuliwa mpaka leo nina alama ya kidonda mguuni baada ya kujikwaruza kwenye mabati ya gari... utoto ulikuwa raha sana..
 
Sitosahau tukiwa tunacheza kombolela nkiwa nimejificha na mdada mmoja mbali,aliponipa papuchi akitaka nimgegede hadi nimkojolee,mie kwa akili za kitoto nikamkojolea mkojo huo utafikir chooni,pichu na nguo zikaloa chepechepe! Hadi saiv namwonea aibu
 
Utoto bana sitasahau siku nmedandia lori.hilo lori linasomba mawe kutoka porini na kuleta mjini kwa ajiri ya ujenzi.nlijua lori likifika mbele mbele litapunguza spidi afu nishuke gondo kwanza linaongeza spid aisee nlishindwa kushuka nkaenda nao mpka polini kwenye mawe.
Dreva na utingo walivoshuka walishangaa kuniona nkawa mkweli nkawaambia nlidandia bahati nzuri utingo ananijua,nmekaa nao mpka walivomaliza kupakia,safari ya kurudi ilifika zamu hii nlipanda mbele,goma alikutembea hata km 5 likakwama,hiyo ngoma ni saa 12 jioni,ilishindikana kulikwamua ikapidi tulale pale pale,goma liliwaka mida ya saa nne kesho yake,nkafika home saa 7 mchana..bakora nlizochezea sitasahau mama alikua amechukia sana ikizingatiwa alikua amesharipoti polisi kua mmepotea.
 
Nakumbuka siku moja tulikuwa home bored, wakati huo dingi alikuwa amesafiri.

Tukasema ngoja tukaangalie mpira kwa jirani nakumbuka siku hyo ilikuwa fainali ya Yanga na Sc Villa ya Uganda.

Hatuna hili wala lile tukarudi home usiku kama wa saa 4 hivi, hamadi dingi yule pale kibarazani, hatujui amerudi sangapi.

Tulivyokuwa wajinga tukaendelea kujificha nyuma ya kisima kama nusu saa hivi, kwahyo tukaenda home kama saa 4;30

Ilikuwa balaa, tulipokea kichapo toka kwa baba na mama kwa mpigo, mbaya zaidi wakasema turudi tukalale tulipotoka.

Tulivyokuwa wajinga tukarudi kweli, tukawagongea wakatufungulia tukaliangusha.

Kuamka asubuhi tukasema ngoja turudi home inaweza kuwa shwari, ilikuwa afadhali ya jana, tukapigwa tena na tulitakiwa kurudi tulipotoka tukamlete alioturuhusu kulala kwake.

Tukamuita, dingi alimfokea mama wa watu utadhani mwanae, mara yule jirani yetu akapaniki akaenda serikali za mitaa kushitaki ametukanwa.

Dingi akaitwa akatupeleka na sisi, tulikaa nje wao wakaingia ndani kuyamaliza, tulikwa tunasikia wanafokeana balaa.

Walipomalizana tukawa tunarudi home huku tunachezea stiki, siku hiyo ilikuwa jehanamu kwetu.

Enzi hizo mshua na mama walikuwa kituo cha polisi. Ukifanya kosa mama anakuanzishia, baba akija wanakuanzishia upya, wanakupa stiki za haja.

Hii nimeipenda sana.
 
Enheeeeee ukiwa mtundu utotoni visa haviishi!!!!!

Hivi mnakumbuka kutengeneza upinde na mshale mbele unaweka msumari halafu mnaenda kuwinda!!!!

Basi siku hiyo tumeenda kuwinda hamna kitu tumerudi nayo giza likaingia tukasema leo tuoneshe muvi,basi mi na mwanangu mmoja akiitwa Majid,muvi ni kwamba tuchukue tochi halafu tukae kwenye ngazi (tunakaa maghorofani hapo)basi mi kaingia ndani nikaiba tochi tukaandaa steji gizani, mmoja ashike tochi akiwa nyuma yangu akimmulika Majid wengine wakae gizani mi namlenga yeye steringi anakwepa ikakubali kama mara mbili hivi mishale inaisha tunaokota muvi linaendelea! !!!!!

Stering akazidisha mbwembwe sasa badala ya kukwepa akataka kudaka mshale bhana, mie tena nishalenga paja adake waapi sasa mshale kwenye paja bana tuuf msumari wote ndani midamu mwa mwa mwaaa, watu wooote eenheeee eneheeee umemuumiza mtoto wa watu yeye steringi kaangua kilio cha maana siri ya muvi ipo
tena hapo!!!!!?????

Watu kutoka wanamkuta midamu ya maana sijui nilimtoboa artery au vein masikini, basi yeye hospitali mie sasa kichapo home cha maana kwanza nimeiba tochi ya mshua unabonyezea nyuma ndio inawaka,pili kuchelewa kurudi, tatu nimemuumiza mtoto wa watu!!!!

Tukikaa na marehemu shangazi na dada wa kazi nao gombezwa sana kwa nini niko nje muda ule na sijaoga ,natumai mnakumbuka kuogeshwa na mtu mwenye hasira sabuni mpaka machoni dodoki mpaka ngozi inawaka moto!!!!!!

Mungu amrehemu auntie bhana mwenyewe alikuwa akinipenda sana!!!!

miss neddy, Deo Corleone

hahahahahaha utukutu umeanza zaman sana ashukuriwe madame Karucee kwa kupunguza cheche rip auntie
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mara ya kwanza baba kaleta jokofu muda wa chakula usiku tukapata maji ya baridi asee yakanivutia tumeenda kulala muda wote nawaza yale maji tu nikajitutumua mida kama ya saa nane usiku bila kaka kujua, kufika kwenye jokofu na kulifungua kutahamaki taa inawaka haaaaa inawakaje wakati sijawasha switchi? haraka haraka nikalifunga kabla halijafunga vizuri si nikaona taa inazimika....! Nikasema hapana nikafungua taa ikawaka tena nikavutiwa na haka kautaratibu basi nikawa nafungua nafunga kushuhudia light on & off asee aliyekuja kunistua ni mama akiniambia nafanya nini kwenye jokofu alfajiri yote hiyo kutahamaki kumbe time hiyo ilikuwa saa kumi na moja, ndo ilikuwa mida ya mama kuandaa utaratibu wa sisi kuwahi shule

Siku hiyo hata shule sikwenda maana sikulala kabisa zaidi ya kukesha kwenye jokufu

Mpaka leo nalichukia jokofu maana mama nikimuudhi kidogo anakumbushia hili tukio hata mbele ya marafiki zangu daaah
 
Nakumbuka kabisa katika umri wa utoto kulala jioni.

Siku nimelala mishale ya saa kumi na moja hivi. Nakumbuka kabisa mpaka leo niliamka nikaenda toilet nikaflush na nikageuza kurudi chumbani kulala.

Hamadi kumbe sikwenda toilet, nilikuwa ninaota huku natembea. Nilienda sebuleni, nakumbuka mama na Anti yangu mmoja walikuwa wanaangalia TV, nikakojolea zile meza za vioo(ndio zilikuwa zimeingia).

Nilikuja kugutuka nasikia kama naitwa(wakati narudi)

Kusema ukweli sikuelewa nini kilitokea(hadi leo sielewi ilikuwaje).

Nilikuwa kama zezeta kwa muda mpaka akili inarudi kuwa nimekojoa sebuleni? kwenye meza?

Hapo ni kudeki na nilichekwa mwaka mzima na kutaniwa.!!

Sitasahau
 
Back
Top Bottom