Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Kufikia 2016 nikachujua uraia huku US so next time nikija itabidi nilipe kama mtalii wa nje.

Ila kuhusu Kiswahili nakioenda sana, mara nyingi huwa natumia msamiati wa Kiswahili ambao hata watu wanaokaa Tanzania wengine hawaijui.
Duuu!!!!

Kumbe ukichukua uraia wa Us, ukitaka kurudi bongo ni kwa mbinde, mpaka ulipie nilikua sijui.

Mi nilikua nadhani ukijisikia kuja bongo unakuja tu, na unatawala kama upo ghetto kwako.

Swali: Vipi kama umeishi us miaka mingi, ukachoka ukaamua kurudi bongo, ukifika Bongo unaamua kuzamia mazima, unazamia labda huko shinyanga vijijini.

Serikali yako ya US inaweza ikakutafuta?
 
ina kibarua cha mapenzi aliniandikia demu enzi hizo o level na tiketi ya basi

dah kidogo nisahau aisee, pia kuna maganda ya pipi na bublish

poor me 😫😆
 
Alininunulia bebi Labella siku hiyo nimeiweka mezan hotelin wakat nainuka nikamtafuta mwenyewe. Sijawah kuona kaz ya hili dubwasha
😹😹😹 Umesahau na siku uliyoacha gari ukadandia mwendokasi?
Umefika mataa magomeni ndo unakumbuka gari umeliacha gerezani..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom