leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,196
- 16,262
Humu wengi pipa na mfuniko, hatuoni wallet zaidi ya maneno!!¡¡ Ooh sijui transfer money sijui mobile.Naanza kupata hisia kama wanavosa jf imejaa wanawake wabaya basi pia imejaa wanaume hoe hae 🤣🤣🤣
Yani humu jitambie zako hata usitishwe hohe hahe wa mwendo kasi