The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,179
- 121,744
Visa cards
Few GBP and USD cash for tips
ID card
D.Licence
Few GBP and USD cash for tips
ID card
D.Licence
hongera sana mkuu, moja tu ulilo kosa ni kukubali uwepo wa Mungu.Shukurani kwa kutaka experience yangu. I am in the mood for a biographical account today.
Sijarudi Bongo miaka 14 sasa.
Nikirudi Bongo siendeshi gari, naweza kujisahau na kuendesha upande wa kulia wa barabara kwa sababu nimezoea kuendesha Marekani.
Wadogo zangu huwa wananipa dereva ananiendesha.
Huwa naongea Kiswahili, lakini nikichanganya Kiingereza watu wanasema naongea kama Mmarekani, wakati mimi nimejitahidi sana niongee Kiingereza cha kimataifa zaidi kisicho cha Kimarekani, lakini nafikiri kukaa na Wamarekani miaka mingi kunafanya matamshi yabadilike hata bila mtu kujua.
Kuhusu vitambulisho miaka ya nyuma sana nilikuwa Zanzibar nataka kuingia Prison Island, just off Forodhani, sasa pale watu wasio Watanzania wanalipa zaidi. Mimi sikuwa na kitambulisho cha Tanzania (kwa sababu nilikuja likizo kutoka New York City na sikuwa natembea na passport ya Tanzania nikiwa Tanzania). Ila nilikuwa na Permanent Resident Card (Green Card) ya Marekani inayoonesha kuwa mimi ni Mtanzania.
Nikawaonesha wale Wazanzibari kama ushahidi kuwa mimi ni Mtanzania.
Waliikubali ile green card kuwa kitambulisho kwamba mimi ni Mtanzania, ingawa ni document ya serikali ya Marekani.
Nilishangaa sana.
That was in 2012. Sijarudi tena Tanzania mpaka leo. Wazazi wangu kuwa wanakuja sana huku, na ndugu zangu wengine kuwapo huku, inachangia kunifanya nione nishawaona watu muhimu bila kuja Tanzania.
Nilisubiri sana kizalendo niwe na green card tu bila kuchukua uraia wa Marekani, hususan kwa kutumaini habari za uraia pacha.
Ila nikawa napanda ngazi kazini na kazi nyingine za juu zinazotaka security clearance huwezi kupata bila kuwa raia wa Marekani. Benki Kuu ya Marekani (Federal Reserve) walitaka niende kufanya kazi nao, ila tatizo ikawa sina uraia wa Marekani.
Nikasema hapa uzalendo umenishinda, nina mambo ya kuyakamilisha na kukosa uraia wa Marekani kutani cost.
Kufikia 2016 nikachujua uraia huku US so next time nikija itabidi nilipe kama mtalii wa nje.
Ila kuhusu Kiswahili nakioenda sana, mara nyingi humans natumia msamiati wa Kiswahili ambao hata watu wanaokaa Tanzania wengine hawaijui.
That is condescending.hongera sana mkuu, moja tu ulilo kosa ni kukubali uwepo wa Mungu.
Ila wewe ni mtu mwenye baraka nyingi .
njoo na restaurant yetu tupate tip jamaniHizi sanasana za ku tip kwenye restaurants au emergency nyingine sehemu ambayo hawatumii cards ambazo ni kama hazipo siku hizi.
uko wapi nikununulie sodaHumu wengi zao Zina sound,,,,,
Ukifungua badala ziwe na noti zilipe bill zao a milio hii.
1 kataa ndoa
2 kataa omba omba
Kataa mwanamke maskini
3 ukipewa kojoa pita hivi
4 kataa single mama
5 zinasubiri mkeka utiki
Viunga hivi hivi,, M-pesa yangu inapokea elfu moja mpaka million kumiuko wapi nikununulie soda
Hahahaha!!!!! Tuonyeshe wallet leo hakuna maneno mengiAcha kutusema basi! 😊
Tuko pamoja 😀Hata wallet sina.
Bare back ndio mpango mzima kama hujavaa kitu vile na imara sana ila matumizi ya mipira nimeachaUnatumiaje Zana mkuu ! Rough rider ndo mpango mzima.... ama 3bomba zile black !!!!
Hayo kwanza makavu, hayana mafuta ya kutosha, plus kijiharufu !!!! Pia kwa ushauri ndom usiwe unaweka kwenye walet, unaweza kukaa mara ukIdisturb ama kuichuna ikatoboka !!
nitumie lipa namba shooViunga hivi hivi,, M-pesa yangu inapokea elfu moja mpaka million kumi
Mimi nisharudi siku nyingi tu😁Rudini kwenye misingi walioweka Babu na Bibi zetu. Hii 50/50 kwa huku Afrika haitekelezeki
hahahaaa tuma namba chap!Unatumia GB ngapi per day? Nyie ndio matajiri mliojificha kwenye keyboard zenu, kama kweli sio gharama kuingia online naomba nipige taf walau 10GB mtu wangu!
kumbe bado wallet zitatumika?🐒
58172388nitumie lipa namba shoo
Hirizi lakini ya zamani
Namimi basi🥱58172388