Leo baada ya kupokea simu kutoka kwa waziri kuwa baada ya mwezi mmoja atakua na mgeni wake kutoka ughaibuni na ni msanii mkubwa na hivyo anahitaji gari zenye thamani ya kuendana na msanii
Kwahiyo mh waziri anahitaji gari zangu kwa ajili ya mapokezi na mizunguko ya mgeni wake nami nimemkubalia kua nitampatia gari nne anazohitaji
Nami nimekuja kwenu na wazo hili kwa Wana jamii forums wenzaku Leo tuambie umepark gari gani nyumbani
Naanza mi kutaja gari nilizonazo kwenye parking yangu hapa nyumbani kwangu oyster bey
Bentley continental gt
Bentley flying spur
Ferrari purosangue
Range Rover sport edition
Chevrolet Corvette
Bmw i8
Kia Sportage
Hyundai Santa Fe