Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Sawa baba kihere here changu nikataja wasio na ulazima.
Sijawahi kumiliki na sina wallet.
Umeshatupia wallet yako kama muongozo wa Red black unavyosema?
Sina wala situmii walet. Huwa natembea na cash. Nipo Iringa baridi kali tangu mchana nimejifungia lodge naperuzi tu jf. Ndio nataka nitoke muda huu nikaanzie wikiend kiwanja fulani kinaitwa warm up
 

Attachments

  • IMG_20260606_223300.jpg
    IMG_20260606_223300.jpg
    635.5 KB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom