Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
Mwendokasi _20260908_150722_0000.png

Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋.

Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet shida nini.😮‍💨

NFC Yenyewe ni (Near Field Communication) hii ni teknolojia inayowezesha simu kuwasiliana na kifaa kingine kwa umbali mfupi sana, mara nyingi sentimita chache, bila kutumia waya.

Kwenye simu, NFC hutumika kwa vitu kama vile 💳 Kulipia kwa kugusa simu kwenye mashine ya malipo, 🎫 Kadi za kidijitali kama tiketi au kadi za usafiri nk.

Sababu kubwa kwanini Huduma mbalimbali za usafiri Tanzania hazipatikani kwenye Google Wallet inahitaji ushirikiano rasmi na mfumo wa usafiri ili iweze kusimamia digital card, salio, security na malipo kwenye reader. 🚍🔐

Kwa hiyo tatizo si Pixel yako, TECNO yako, Infinix yako, Samsung yako au NFC ya simu yako… 👀 Bali Kinacho kosekana ni official integration kati ya mfumo wa usafiri Tanzania na Google Wallet.

Hivyo Google sasa imeanza kuruhusu baadhi ya physical transit cards kuhamishiwa kwenye Wallet kupitia NFC unasemaje kuhusu hii Teknolojia Tanzania inahitajika au lah tuachie maoni yako?
 
View attachment 3665804

Hayo maoni tukuachie wewe kama nani
 
Back
Top Bottom