Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

That is condescending.

Unaniambia sijakamilika mpaka niamini Mungu.

Wakati mimi nakuona wewe mjinga kwa kuamini Mungu.

Na mpambano huu kimantiki huuwezi.
Sure siuwezi na si mara ya kwanza kukuambia siwezi ku weka battle na wewe dhidi ya hili.

Ila kadhalika mimi nakuona u mpungufu na si mjinga kama ulivyo niona mimi, ila iwavyo bado upo chini ya mwavuli wa baraka za Mungu.
Pongezi sana.
 
Duuu!!!!

Kumbe ukichukua uraia wa Us, ukitaka kurudi bongo ni kwa mbinde, mpaka ulipie nilikua sijui.

Mi nilikua nadhani ukijisikia kuja bongo unakuja tu, na unatawala kama upo ghetto kwako.

Swali: Vipi kama umeishi us miaka mingi, ukachoka ukaamua kurudi bongo, ukifika Bongo unaamua kuzamia mazima, unazamia labda huko shinyanga vijijini.

Serikali yako ya US inaweza ikakutafuta?
Serikali ya US inathamini uhuru wa watu kuamua wanakaa wapi.

Kitu pekee unachoweza kufuatiliwa ni kama unafanya kazi halafu hulipi kodi. Na hata hapo, utafuatiliwa sana ukirudi US, ukiwa nje hakuna wa kukufuatilia.

Kuna Wamarekani weusi walikimbia Marekani, walikuwa sehemu ya Black Panther, kina O'Neal.

Wapo Arusha miaka kibao, hakuna aliyewafuatilia huko serikalini. Nafikiri sasa hivi washakuwa raia wa Tanzania, kama wapo bado.
 
Sure siuwezi na si mara ya kwanza kukuambia siwezi ku weka battle na wewe dhidi ya hili.

Ila kadhalika mimi nakuona u mpungufu na si mjinga kama ulivyo niona mimi, ila iwavyo bado upo chini ya mwavuli wa baraka za Mungu.
Pongezi sana.
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Unamsema yupo kwa kukariri hadithi na kuzirudia tu.

Bisha.
 
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Unamsema yupo kwa kukariri hadithi na kuzirudia tu.

Bisha.
Hatua ya kwanza ilikua ni lazima kukaririshwa, ila baadae unapo pata ufahamu kuna namna una jiuliza haya niliyo karirishwa yana ukweli?
Na baadhi ya ushahidi wa kimazingira unaona hamna namna ulimwengu unakosa kuwepo kwa Mungu.

Hata hivyo sina namna itakayo faa kuthibitisha uwepo wa Mungu unavyo taka wewe.
 
Huwezi kuthibitisha, umekariri, tena umekariri uongo.

Umekariri uongo, ndiyo maana huwezi kuthibitisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom