Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

kadiri nilivyokua nagrowup ndivyo wallets zilivyokua zinalemewa na tupesa, tena tudogo tu,
mageuzi ya teknilojia yalivyoingia akilini mwangu wallet ikakosa maana na kupoteza thamani na inaonekana kama mzigo tu,

sasa hivi masuala yote electronically, ukishakua na smartphone au kitochi nini inashindikana gentleman?

hiyo ni sawa kweli??🐒

Kwa teknolojia ni sawa; Mimi nilikuwa mpenzi wa wallet sana; hasa "pure leather" ila badae nikaachana nazo. Pia mchina ametuharibia sana wallet, hasa kwa wenzangu na mie wa kununua hizi 25k, ukinunua mara zipu haifungi, ukiweka hela nyingi haijikunji, kitambaa cha ndani kuharibika n.?.
Samtaimu hata usalama wa kadi kadi kadi unakua mdogo, ile kaa inuka, kaa inuka, unaweza zivunja sababu ya quality za wallet hizi za machinga, wallet haijikunji na sio flexible.
Hiyo ishu ya tak*: Zipo wallet chapati mkuu, unakuwa nayo wala watu hawastukii, achana na mapochi nene wale wa kujaza mahela. 😊
 
Mara ya mwisho kumiliki wallet wahuni walipita na 240,000 tzs na vitambulisho vyangu plus cards za bank n.k

Kwa sasa hii ndo kama wallet yangu, humo ndani zana za kazi ni nyingi kuliko cash 😄
1000356702.jpg
 
Humu wengi zao Zina sound,,,,,
Ukifungua badala ziwe na noti zilipe bill zao a milio hii.
1 kataa ndoa
2 kataa omba omba
Kataa mwanamke maskini
3 ukipewa kojoa pita hivi
4 kataa single mama
5 zinasubiri mkeka utiki
Naanza kupata hisia kama wanavosema jf imejaa wanawake wabaya basi pia imejaa wanaume hoe hae 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom