soda kumi kunywa🤣🤣🤣58172388
Wallet sina, ila nyie wenye hela mkinipunguzia hizo mlizonazo nitaweka kwenye mfuko wa sketi 😎
Mbona hupokei simu?58172388
mkabe vizuri baby nishamuekea🤣🤣🤣Leo sipepesi jicho,nitatoa macho kama mtoto anayemtolea macho mgeni anayekunywa soda!
Thanx!!! Sasa huku kijijini mpaka nijieleze kwa wakala ndio nipate hizo coka kumi.soda kumi kunywa🤣🤣🤣
Mimi huwa sikosi unga wa ndimu kwenye wallet
Tunanunua kereti sisi wasukumaLeo sipepesi jicho,nitatoa macho kama mtoto anayemtolea macho mgeni anayekunywa soda!
Dondosha humo niokoteMbona hupokei simu?
tulitenge juu ya meza kama bia tunywee mpaka liishe😎Tunanunua kereti sisi wasukuma
Kuna kamjadala kwanza kabla ya kudondosha,Dondosha humo niokote
unaelewa wakati niko sec.school nilikua naitwa boss mtoto, nilikua na wallets kadhaa kila mtoko nakua natoka na wallet yake, but huko ndani inaenea tupesa tudogo mno,Sasa si useme unatumia nini, Gentleman! Matajiri mkoje lakini! 😊
Aache mambo ya kihuni.Huyu jamaa tapeli yan uwe na dollar halafu utumie zana zakugaiwa bure kwan rough rider hajaziona
Uko tayari kutoa walau ngombe kumi zinazotembeaKuna kamjadala kwanza kabla ya kudondosha,
Issue yangu naona umeipotezea,
ya kunitafutia binti wa kisukuma,nimlete huku tule maisha,
Wewe ni msukuma wa wapi?tulitenge juu ya meza kama bia tunywee mpaka liishe😎
Naweka na maandazi,, usisahau mayai na ndizitulitenge juu ya meza kama bia tunywee mpaka liishe😎