Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Humu wengi zao Zina sound,,,,,
Ukifungua badala ziwe na noti zilipe bill zao a milio hii.
1 kataa ndoa
2 kataa omba omba
Kataa mwanamke maskini
3 ukipewa kojoa pita hivi
4 kataa single mama
5 zinasubiri mkeka utiki
sema hata nyie wanawake umasikini wenu (ukilema) hua hamuutambui kabisa. in short mnajizima data
 
1000135447.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom