Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,568
Acha tu🤣Una nini sasa mke mkubwa🤣
Acha tu🤣Una nini sasa mke mkubwa🤣
Halafu niwekemo nini?Njoo chukua hio yangu😁
Weeeeh kumbe! Ukute mie tajiri na sijui🤣🤣🤣Usijisikie vibaya mkuu! Wallet ni mtindo tuu, hauna maana kwamba ni ustaarabu au utajiri. Matajiri halisi hawatumii hizo wallet. 😊
Chivundu kasema sisi matajiri🤣🤣
Simu haina cameraWanabisha wapige picha wallet zao
NtakupaHata wallet sina.
PoleSimu haina camera
Santeee. Dipree umeibukia wapi?Ntakupa
Nipo mbona atleast leo nimepata muda wa kupooza dipresheniSanteee. Dipree umeibukia wapi?
Dipresheni iko pale paleee😀Nipo mbona atleast leo nimepata muda wa kupooza dipresheni
Tena imeongezeka zaidiDipresheni iko pale paleee😀
Si uko bize kuzitafuta dipresheni!! Acha ziongezeke😀Tena imeongezeka zaidi
Nazitafutia wapi na zinakuja zenyeweSi uko bize kuzitafuta dipresheni!! Acha ziongezeke😀
Kuna wengine hatuzijui walet kabisaa aiseeHumu wengi zao Zina sound,,,,,
Ukifungua badala ziwe na noti zilipe bill zao a milio hii.
1 kataa ndoa
2 kataa omba omba
Kataa mwanamke maskini
3 ukipewa kojoa pita hivi
4 kataa single mama
5 zinasubiri mkeka utiki
Aaaah wapi!! Unazitafuta bwana😀Nazitafutia wapi na zinakuja zenyewe
Mimi ni mtulivu wa kiwango cha lami hujuagi tuAaaah wapi!! Unazitafuta bwana😀