Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,572
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi ni mtulivu wa kiwango cha lami hujuagi tu
Au sio?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi ni mtulivu wa kiwango cha lami hujuagi tu
Kwani hujui🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Au sio?
Kwa utulivu gani labda?Kwani hujui
Huuoni humuKwa utulivu gani labda?
Aaah kumbe unaongelea wa humu🤣Huuoni humu
Humu na kwinginekoAaah kumbe unaongelea wa humu🤣
Ndio zipojeCard za mapenzi
Teh teh teh teeeeeh!Humu na kwingineko
Mtu flani hivi wa maana sanaTeh teh teh teeeeeh!
🤣🤣🤣🤣 hata mimi naona!Mtu flani hivi wa maana sana
Hujawahi kuandikiwa cards vile vidogo kama business cards vineno vizuri vizuri sasa mie ndio nimeandikiwa mwayaNdio zipoje
Mwaya tenaHujawahi kuandikiwa cards vile vidogo kama business cards vineno vizuri vizuri sasa mie ndio nimeandikiwa mwaya
We kataa tu kuna siku utanikuta kulee kwenye kiti cha enzi🤣🤣🤣🤣 hata mimi naona!
Cha motoni labda!We kataa tu kuna siku utanikuta kulee kwenye kiti cha enzi
Motoni napo kuna kiti cha enzi au n dipresheni zimekuzidiaCha motoni labda!
Ndiooo! Cha shetani.Motoni napo kuna kiti cha enzi au n dipresheni zimekuzidia