Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,502
113,610
Wanabodi
images (14).jpeg

Leo asubuhi nimeianza siku vibaya, kwa bandiko la Mkuu Maxence Melo kuhusu msiba huu.
Wakuu,

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024.

Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), hadi anafariki alikuwa ni Country Manager wa Wananchi Group ambao ndio wamiliki wa Zuku, SimbaNet na makampuni mengine, pia alikuwa Mjasiriamali na mmiliki wa makampuni kadhaa binafsi na Mjumbe wa Bodi na taasisi kadhaa za umma na binafsi. Alipenda sana sanaa.

Ndg. Mtsimbe alikuwa ni Mwanazuoni mzuri, mbobezi, mbunifu na Mzalendo wa kweli kwa nchi yetu.

Kwa mujibu wa familia, Msiba upo nyumbani kwake Tabata Segerea, Mtaa wa Meja.

Mwenyezi Mungu amjalie pumziko la amani ndugu yetu
Mkuu Maxence Melo!, this is shocking news to me, taarifa hii sikupaswa kusomea JF, nilipaswa kuipata in box!.

Sanctus alikuwa patner wangu kwenye baadhi ya projects zake.

Huyu ndie aliongoza ile kampeni ya Kumuenzi Regia Mtema. Huyu ndie alimbeba Le Le Mutuz pale ofisinini kwake!, ni mtu wa pili kunipandisha Range Rover Sport baada ya ile ya Range Rover Autobiography ya Wakili Beredy ambayo ni custom made na kuwa delivered by BA Cargo, ile 2005, Range Sport ya Sanctus Mtsimbe ya 2007 ndio ya pili mimi kuipanda.

Kuna baadhi ya vitu mimi na Sanctus Mtsimbe tulifanana na kuna vingine tulitofautiana, tulifanana kupenda vitu vizuri,kamagari,gari zuri,kama suti, suti kali,barber shop kila wiki,kama ni totoz, totoz bomba, ofisini kwake, wasanii maarufu wa kike ndio wanapishana, usiseme!, tofauti yetu mimi yeye mwenzangu aliwaheshimu, ilikuwa ni mahusiano ya kikazi tuu, wakati mimi ilikuwa ni "Kazi na Dawa".

Kufahamiana na Sanctus.
Mimi japo ni Msukuma, na sisi Wasukuma tunasifika sana kwa ushamba, mimi naomba kukiri kuwa japo mimi ni Msukuma wa mjini, niliyezaliwa mjini, nikasomea mjini, Dar na Arusha, ila ushamba wa Kisukuma wa kuchanganyikiwa na "vitu white" pia bado ni mshamba wa ma ndinga na big bikes!.

Mwaka 2005 kampuni ya magari ya Land Rover walitoa 1st edition ya Range Rover Sport, washikaji wangu wawili, Bered na Johnson, wakazama London, waka press order Range Sport 2, custom made Autobiography zikatua nchini kwa dege kubwa la cargo la BA, Boeng 747 Jumbo Jet, ukazishusha hizo ndinga mbili!.

Baada ya hao madogo wawili kushusha hizo ndinga, Range Sport ikaingia kwenye limelight, mtu ukiona ngozi nyeusi inavuta Range Sport, unapata dukuduku na mshawasha wa kumjua huyu jamaa ni nani?

2007, kuna event fulani pale British Council, Sanctus alikuwa anafanya presentations fulani kuhusu Simba Net, mimi nikachangia kitu, wakati wa tunatoka Sanctus aniuliza Kiti Moto kimefia wapi?!, tuonane tukifufue. Tukaagana, nilipomuangalia, akavuka barabara amepaki Range Sport pale CRDB, Holland House!. Nilisimama nikimkodolea macho mpaka anaishia!.

Toka hapo tukaanza urafiki, akanikaribisha Simba Net, tukaa chini kuanzisha studio, akaanzisha Jason Production, alinikaribisha studio yake niliitumia bure pale Tancot House wakati mimi nikiwa Mtaa wa Mkwepu,

Wakati wa kipindi kile cha kukaza kwa vyuma, mimi vilinikazia sana hadi vikaumana, hivyo kulazimika kufunga ofisi ya Mkwepu, huyu jamaa alinibeba kwa muda pale ofisini kwake, ndipo nikagundua kumbe yale makeke yote na ma babez ya Le Mutuz, jeuri ile huyu jamaa ndio mfadhili na mhifadhi Mkuu wa LE MUTUZ SUPER BRAND.

Tukakutana JF msiba wa Regia. Regia Mtema Day; Biography Na Kitabu Cha Kero

Tenda ya Publicity ya DSE Wekeza Inalipa
Sanctus ni Lobbyist mzuri, alishinda tenda ya publicity ya DSE, kupitia kampeni iitwayo, wekeza inalipa. DSE Sasa Kuziwezesha SME Kupata Mitaji - Press Release

- Jinsi ya Kupata Mtaji kwa Bila Dhamana Kupitia DSE

hivyo akanikaribisha tuka join forces to execute it. Mimi ndio nilikuwa presenter, akanipa kazi ya kuwafundisha utangazaji warembo, kiukweli ilikuwa mtihani!. Tetesi: - Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

View: https://youtu.be/WsjLgmj4Kpo?si=6jB46qio6j_y_duD

Sanctus Mtsimbe na Pasco Mayalla, Compare and Contrast
Kwenye hiyo tenda ya DSE mimi ndio nilikuwa mtangazaji kiongozi, nikapewa jukumu la kwanza kuwa train watangazaji wasaidizi. Watangazaji hao ni mabinti 5, na janki 2. Hao mabinti wote walikuwa single, halafu Mwalimu mwenyewe family inaishi US!, ilikuwa mitihani, hebu washuhudie
View: https://youtu.be/o4ALCgLrOuc?si=Lb7x1Eyvc06PyuZ3

View: https://youtu.be/5Lrm4az7BYc?si=5syRXyj2X9VyNtwh

View: https://youtu.be/cqXJMRB8hSE?si=Q1doxmJ9Vj-gYDBj

Sanctus Mtsimbe alikuwa always very smart and formal, sikumbuki kumuona event yoyote bila suti, nimi nilikuwa sometimes smart, sometimes casual and sometimes niko rough!.

Kitendo cha kunifanya Mwalimu wa warembo 5 single, ni kama kumpa fisi kazi ya kulinda mbuzi!. Mimi pia ni binadamu, na sio malaika!, darasa nikaliendesha, huku nikitaka kujiweka mahali, hebu angalia Mwanafunzi wako yuko kama huyu halafu uniambie hata ungekuwa wewe... Tetesi: - Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

One day nimevuta mpunga wa maana kwa Boss Mtsimbe, nikaamua huyu binti ni ama zake ama zangu!, binti akakubali zoezi la kazi na dawa, baada ya kazi, twende mahali tukapate dawa, siku hiyo Ijumaa, tumemaliza mapema, nikamwambia binti mimi natangulia chini, basi nikashuka chini na kusubiria kujibebea kama nimeokota!.

Binti akashuka na funguo za ndinga yake mkononi akasema kwa vile yeye ni star, kila mtu aende na usafiri wake tukutane sehemu, ili usiwape watu faida bure ya kupata kitu cha kusema!. Mrembo kwenda kwenye gari kumbe ni yeye ndiye ana vuta ile Range Sport ya Boss!. Hapo kuna cha kuuliza tena!, ni heshima adabu!. Kumbe ulikuwa wasiwasi wangu tuu, Boss Mtsimbe ni mtu smart, muadilifu na mchaMungu!, ni msafi kwenye muonekano, msafi kwenye mawazo, msafi kwenye maneno, msafi hadi kwenye matendo!, hanywi pombe, havuti sugar, sio mtu wa kujirusha, he was really smart kila Idara, yeye ni kazi kazi, sio akina sisi wa kazi na dawa!.

Baada ya project ya DSE kukamilika akafungua TV yake.

Sanctus Mtsimbe na JF.

Ni Mtsimbe aliasisi JF get together na kunifanya mimi kuwa MC. Pia ndie alikuwa President of TPN, Jf Karibuni Tanzania Professionals Network

Kwa JF Sanctus Mtsimbe alikuwa ni Mwalimu.
1. Kwanza alisisitiza connectivity, watu wawe connected, ni kupitia connections na connectivity aliamini kila mtu unaweza kufanya kila kitu kwa kujiunga na wengine kuunganisha uwezo na kutenda. Hivyo pale ofisini kwake alisaidia wengi kushinda tenders. TPN, Jamiiforums na Michuzi Blog Yakabidhi Tena Misaada Ya Wahanga Wa Mafuriko
-https://www.jamiiforums.com/threads/uthibitisho-kuwa-una-una-uwezo-wa-kufanikiwa-katika-chochote.681388/
- Jinsi ya Kupata Mtaji kwa Bila Dhamana Kupitia DSE

2. Alisisitiza Afya Bora, ili ufanikiwe ni lazima uwe na uwezo wa kufanya kazi hivyo alisisitiza sana afya bora, alikuwa hali ovyo ovyo, hanywi pombe, havuti sigara, na ile starehe nyingine... yeye wala, ni kazi tuu!
- DVD Ya Kupunguza Unene & Kitambi Na Mafanikio ktk Maisha

3. Alichukia umasikini na kusisitiza utajiri - How To Become Rich and Famous
-
4. Alikuwa ni mtu very appreciative, Tuzo Kwa Mtanzania Aliyefanya Vyema

5. Alipenda vitu vizuri, wakiwemo warembo. Kuna wanaume na mababa wengi wanapenda warembo, kumbe ukweli hao watu sio wanawapenda warembo, ni wanawahitaji wawatumie hivyo wanazuga kuwapenda!, lakini Sanctus Mtsimbe aliwapenda kwa dhati ili kuwasaidia na sio ili kuwatumia!. Shuhudia
- Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Required
Moja ya matatizo makubwa yanayowasumbua wadada ni changamoto za mahusiano, Sanctus Mtsimbe, alijitolea kusaidia TV Talk Show Ya "Changamoto za Mahusiano Na Ufumbuzi Wake" 22nd January 2014

RIP Comred Santus Mtsimbe.
Umepigana vita vilivyo Vitakatifu,
Mwendo Umeumaliza, Imani umeilinda.

Bwana Ameleta, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Wanabodi
View attachment 2934383
Leo asubuhi nimeianza siku vibaya, kwa bandiko la Mkuu Maxence Melo kuhusu msiba huu.

Mkuu Maxence Melo!, this is shocking news to me, taarifa hii sikupaswa kusomea JF, nilipaswa kuipata in box!.

Sanctus alikuwa patner wangu kwenye baadhi ya projects zake.

Huyu ndie aliongoza ile kampeni ya Kumuenzi Regia Mtema. Huyu ndie alimbeba Le Le Mutuz pale ofisinini kwake!, ni mtu wa pili kunipandisha Range Rover Sport baada ya ile ya Range Rover Autobiography ya Wakili Beredy ambayo ni custom made na kuwa delivered by BA Cargo, ile 2005, Range Sport ya Sanctus Mtsimbe ya 2007 ndio ya pili mimi kuipanda.

Kuna baadhi ya vitu tulifanana na vingine tulitofautiana, tulifanana kupenda totoz bomba, ofisini kwake akawajaza, wasanii wa kike ndio usiseme!, tofauti yetu yeye mwenzangu aliwaheshimu, ilikuwa ni mahusiano ya kikazi tuu, wakati mimi ilikuwa ni "Kazi na Dawa". Wekeza inalipa Movie Launch.

Kufahamiana na Sanctus.
Mimi japo ni Msukuma, na sisi Wasukuma tunasifika sana kwa ushamba, mimi naomba kukiri mimi ni Msukuma, niliyezaliwa mjini, nikasomea mjini, Dar na Arusha, ila bado ni mshamba wa magari, na pikipiki!. Kwa pikipiki ni mgonjwa wa Big Bikes na kwa magari, mimi ni mshamba wa ndinga kali!.

Mwaka 2005 kampuni ya magari ya Land Rover walitoa 1st edition ya Range Rover Sport, washikaji wangu wawili, Bered na Johnson, wakazama London, waka press order Range Sport 2, custom made Autobiography zikatua nchini kwa dege kubwa la cargo la BA, Boeng 747 Jumbo Jet, ukazishusha hizo ndinga mbili!.

Baada ya hao madogo wawili kushusha hizo ndinga, Range Sport ikaingia kwenye limelight, mtu ukiona ngozi nyeusi inavuta Range Sport, unapata dukuduku na mshawasha wa kumjua huyu jamaa ni nani?

2007, kuna event fulani pale British Council, Sanctus alikuwa anafanya presentations fulani kuhusu Simba Net, mimi nikachangia kitu, wakati wa tunatoka Sanctus aniuliza Kiti Moto kimefia wapi?!, tuonane tukifufue. Tukaagana, nilipomuangalia, akavuka barabara amepaki Range Sport pale CRDB, Holland House!. Nilisimama nikimkodolea macho mpaka anaishia!.

Toka hapo tukaanza urafiki, akanikaribisha Simba Net, tukaa chini kuanzisha studio, akaanzisha Jason Production, alinikaribisha studio yake niliitumia bure.

Le Mutuz pia alihifadhiwa na huyu jamaa!.

Tukakutana JF msiba wa Regia. Regia Mtema Day; Biography Na Kitabu Cha Kero

Tenda ya Publicity ya DSE Wekeza Inalipa
Sanctus ni Lobbyist mzuri, alishinda tenda ya publicity ya DSE, kupitia kampeni iitwayo, wekeza inalipa. DSE Sasa Kuziwezesha SME Kupata Mitaji - Press Release

- Jinsi ya Kupata Mtaji kwa Bila Dhamana Kupitia DSE

hivyo akanikaribisha tuka join forces to execute it. Mimi ndio nilikuwa presenter, akanipa kazi ya kuwafundisha utangazaji warembo, kiukweli ilikuwa mtihani!. Tetesi: - Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

View: https://youtu.be/WsjLgmj4Kpo?si=6jB46qio6j_y_duD

Sanctus Mtsimbe na Pasco Mayalla, Compare and Contrast
Kwenye hiyo tenda ya DSE mimi ndio nilikuwa mtangazaji kiongozi, nikapewa jukumu la kwanza kuwa train watangazaji wasaidizi. Watangazaji hao ni mabinti 5, na janki 2. Hao mabinti wote walikuwa single, halafu Mwalimu mwenyewe family inaishi US!, ilikuwa mitihani, hebu washuhudie
View: https://youtu.be/o4ALCgLrOuc?si=Lb7x1Eyvc06PyuZ3

View: https://youtu.be/5Lrm4az7BYc?si=5syRXyj2X9VyNtwh

View: https://youtu.be/cqXJMRB8hSE?si=Q1doxmJ9Vj-gYDBj

Sanctus Mtsimbe alikuwa always very smart and formal, sikumbuki kumuona event yoyote bila suti, nimi nilikuwa sometimes smart, sometimes casual and sometimes niko rough!.

Kitendo cha kunifanya Mwalimu wa warembo 5 single, ni kama kumpa fisi kazi ya kulinda mbuzi!. Mimi pia ni binadamu, na sio malaika!, darasa nikaliendesha, huku nikitaka kujiweka mahali, hebu angalia Mwanafunzi wako huyu halafu uniambie hata ungekuwa wewe... Tetesi: - Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

One day nimevuta mpunga wa maana kwa Boss Mtsimbe, nikaamua huyu binti ni ama zake ama zangu, binti akakubali zoezi la kazi na dawa, baada ya kazi, twende mahali tukapate dawa, siku hiyo Ijumaa, tumemaliza mapema, nikamwambia binti mimi natangulia chini, basi nikashuka chini na kusubiria kujibebea kama nimeokota.

Binti akashuka na funguo za ndinga yake mkononi akasema kwa vile yeye ni star, kila mtu aende na usafiri wake tukutane sehemu, ili usiwape watu kitu cha kusema!. Mrembo kwenda kwenye gari kumbe ni yeye ana drive ile Range Sport ya Boss!. Kuna kuuliza ni heshima adabu!. Kumbe ulikuwa wasiwasi wangu tuu, Boss Mtsimbe ni mtu smart, muadilifu na mchaMungu!, ni msafi kwenye muonekano, msafi kwenye mawazo, msafi kwenye maneno, msafi kwenye matendo!, hanywi pombe, havuti sugar, sio mtu wa kujirusha, he was really smart kila Idara.

Baada ya project ya DSE kukamilika akafungua TV yake.

Ni Mtsimbe aliasisi JF get together na kunifanya mimi kuwa MC. Pia ndie alikuwa President of TPN, Jf Karibuni Tanzania Professionals Network

RIP Comred Santus Mtsimbe.
Umepigana vita vilivyo Vitakatifu,
Mwendo Umeumaliza, Imani umeilinda.

Bwana Ameleta, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali

miaka kadhaa apo nyuma, nilikutana nae apo TBC mikocheni, tukazama pamoja hadi kwa CEO wa Startimes, palikua na channel yake ndani ya kisimbuzi cha Startimes na kisha tukazama had technical room kuona operations za iyo channel, kisha tukawa na mazungumzo ya kikazi na maisha muda marefu sana pamoja na jamaa wengine pale kebys

Muungwana alikua mtu poa sana 🐒

R.I.P Sanctus Mtsimbe
 
Back
Top Bottom