Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wacha kupakazia wapi kwenye hiyo link yako ya ibn Kathir kumetajwa Paul kama ni Bulus ??

Unawasha mwenge mchana jua kali saa 6 ili watu wapate kuona ?? Au ndio mafundisho ya kanisa lako hayo ??
Bulus kawaweka njia panda , Wewe umeitwa kusaidia , saidia kwa copy paste kama unazo
 
Bulus kawaweka njia panda , Wewe umeitwa kusaidia , saidia kwa copy paste kama unazo

Wacha kupakazia wapi kwenye hiyo link yako ya ibn Kathir kumetajwa Paul kama ni Bulus ??

Unawasha mwenge mchana jua kali saa 6 ili watu wapate kuona ?? Au ndio mafundisho ya kanisa lako hayo ??
 
Wacha kupakazia wapi kwenye hiyo link yako ya ibn Kathir kumetajwa Paul kama ni Bulus ??

Unawasha mwenge mchana jua kali saa 6 ili watu wapate kuona ?? Au ndio mafundisho ya kanisa lako hayo ??
Nimeshamaliza kazi , Bulus yani unatamani ukafute aliyo andika Ibn Al Kathir

 
Baba yake ni nani ?

Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Ni ujinga kufikiri hivi
Hata biblia yenyewe haijaandika kuwa huyo maria alizaa bila mwanaume.
 
Mfumo mzima wa kalenda tunayoitumia unaanzia pale yesu alipozaliwa. Ndo maana wanasema ni AD au BC. Hivyo Hadi tarehe na mwaka wako wa kuzaliwa ni based kuanzia pale yesu alipozaliwa naweza nikakuambia ni year 0 if it makes sense. Mwaka huu ni 2021 AD yaani ni miaka 2021 baada ya kuzaliwa kwa yesu. Yaani jinsi gani Yesu alivyo mkuu Hadi ameugawanya wakati yaani BC na AD. So ni kujitoa ufahamu ndo kunakoweza kukufanya uulize swali kama hili huku tarehe na mwaka wako wa kuzaliwa inakushudia.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa kalenda unaanzia year 0 ambapo yesu alizaliwa kabla ya hapo miaka yote ni BC na baada ya hapo ni AD. Now ni 2021 AD.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo kaandika Ibn Kathir hiyo ?? UNAENDELEA KUDANGANYA , HUTOKI NA NIPO RASMI KUWAPIGA NYUNDO
Nimeshakumaliza Hapo hakuna cha copy paste kitu kipo kwenye link na huna uwezo wa ku edit 🤣 🤣 🤣 , uwezo wako ni copy paste , Leo Utalala unamuota Ibn Al Kathir na Bulus pole kijana hiyo ndio nguvu ya technology inavyowaumbua
 
Nimeshakumaliza Hapo hakuna cha copy paste kitu kipo kwenye link na huna uwezo wa ku edit 🤣 🤣 🤣 , uwezo wako ni copy paste , Leo Utalala unamuota Ibn Al Kathir na Bulus pole kijana hiyo ndio nguvu ya technology inavyowaumbua


NDIYYO IBN KATHIR KAANDIKA HAPO ??
 
Stori nyingi za kwenye Quran zinatoka kwenye vitabu vya stori vya wayahudi ambavyo sio vya halali, copy and paste.

Stori ya Isa ya kwenye Quran sijui anaongea akiwa mtoto, anaongea akiwa tumboni,inatoka kwenye gospel ya Barnabas iliyotoka miaka mingi baada ya Kristo karibia na muda wa muhamad. Hizi gospel hazikuandikwa na wanafunzi wa yesu na zinajulikana sio halali.

Ziko story nyingi ambazo ni copy paste word to word ambazo ni hadithi tu zilizokuwa zinajulikana na wayahudi na zipo kwenye vitabu vyao vya hadithi lakini sio vitabu vyao vitakatifu. Vitabu ambavyo vimeandikwa na watu wanaowafahamu ndio maana Muhammad alikuwa hapatani na wayahudi sababu woikuwa wakimuexpose.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuangalie mada hii kwa kutumia Qur’an na Hadith pamoja na Sherehe za Wanazuoni mbalimbali ndani ya Uislam.

Tunasoma Katika Qur’an 36:13-14 kwamaba

Mwenyezi Mungu hapa anamkumbusha mtume juu ya wakazi wa mji Fulani, ambapo yeye Mwenyewe Mwenyezi Mungu anasema—alituma “wajumbe wake”.

Wafasili wengi wa Qur’an wakiwemo Shekhe Balwani, pamoja na Yusufu Ali katika tafsiri zao wanautaja mji huo kuwa ni ANTIOKIA.

Ibn Kathir yeye anatueleza zaidi juu ya mitumehao kuwa majina yao yalikuwa, Yohana, Simoni pamoja na Paulo.

Ni dhahiri basi kwamba hoja hii ya upizani juu ya Paulo ndani ya Uislam ni ya hivi karibuni sana. Ushahidi wa hadithi za mtume Muhammad waonyesha kuwa Waislamu wa mwanzo hawakuwa na tatizo juu ya utume wa Paulo.

Katika kitabu kilichoandikwa na Ibn Hisham kiitwacho Sirat Nabawiyat, juzuu ya 4 uk. 140 (Tazama sehemu ya tatu ya somo hili) kuna section nzima Mtume Muhammad anawaelezea Masahaba wake orodha ya mitume wa Bwana Yesu na Sehemu walizotumwa, Miongoni mwa mitume hao, ametajwa pia Mtume Paulo, na kwamba Yeye Paulo alitumwa kwa watu wa Rumi.
 
NDIYYO IBN KATHIR KAANDIKA HAPO ??
Hebu tuangalie mada hii kwa kutumia Qur’an na Hadith pamoja na Sherehe za Wanazuoni mbalimbali ndani ya Uislam.

Tunasoma Katika Qur’an 36:13-14 kwamaba

Mwenyezi Mungu hapa anamkumbusha mtume juu ya wakazi wa mji Fulani, ambapo yeye Mwenyewe Mwenyezi Mungu anasema—alituma “wajumbe wake”.

Wafasili wengi wa Qur’an wakiwemo Shekhe Balwani, pamoja na Yusufu Ali katika tafsiri zao wanautaja mji huo kuwa ni ANTIOKIA.

Ibn Kathir yeye anatueleza zaidi juu ya mitumehao kuwa majina yao yalikuwa, Yohana, Simoni pamoja na Paulo.

Ni dhahiri basi kwamba hoja hii ya upizani juu ya Paulo ndani ya Uislam ni ya hivi karibuni sana. Ushahidi wa hadithi za mtume Muhammad waonyesha kuwa Waislamu wa mwanzo hawakuwa na tatizo juu ya utume wa Paulo.

Katika kitabu kilichoandikwa na Ibn Hisham kiitwacho Sirat Nabawiyat, juzuu ya 4 uk. 140


kuna section nzima Mtume Muhammad anawaelezea Masahaba wake orodha ya mitume wa Bwana Yesu na Sehemu walizotumwa, Miongoni mwa mitume hao, ametajwa pia Mtume Paulo, na kwamba Yeye Paulo alitumwa kwa watu wa Rumi.
 
Hakuna kitu kigumu kama kutetea uongo haya uliyoandika ni kupayuka payuka ovyo

Hoja ya msingi ni kwamba Paulo ni muongo na mafundisho yake aliyekufundisheni nyinyi wakristo yanapingana na Yesu

Paulo anasema Yesu ni Mungu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;


Lakini Yesu anakaata hayo mafundisho ya Paulo na anasema ili uende peponi ni lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja nayeye Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja


Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma

SASA KAMA WEWE UNAMUAMINI PAULO NA KUMUONA YESU NI MUONGO NDIO USEME SASA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo wa Utume wa Paulo;

Katika Hesabu 12:6
Mwenyezi Mungu anaeleza namna mitume na Manabii wanavyopata Wahyi kutoka kwa Mungu:

Je sifa hii ya kuletewa Wahyi Paulo alikuwa nayo?
Tunasoma katika Matendo. 16:9
“Wakati wa usiku Paulo akaona maono…”

Je Mungu alieleza kuwa Paulo alitumwa kwa watu gani?
Matendo. 9:15

“Lakini Bwana akamwambia Anania…Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua apate kulichukua jina langu kwa watu Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli.”

Matendo 13:2
“Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalumu niliyowaitia”

Je Paulo Mwenyewe anajishuhudia vipi kuhusu utume wake?
Wagalatia 1:1
“Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu”

Wakolsosai 1:1
“Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu na ya Kristo Yesu tumaini letu.”

Hapa Paulo anatusaidia kujibu swali la Mada yetu, anasema ni “Mtume wa Mungu”
 
Tunapokupa info kwa mfano stori ya Issa kuongea akiwa mtoto ni copy and paste gospel zisizo halali ama kwa jina lingine apocrypha then wewe unaaminishwa kuwa haya ni maneno ya mungu usi ignore fatilia. Ingia hata Google ucheki.

Quran inawaambia unapokuwa na swali lolote kuhusu injil na torat watafute watu wa kitabu ( wakristo na wayahudi).

Mimi Quran nimeisoma pia Mara kadhaa nimegundua hoja zake zinakinzana na historia pamoja na vitabu vilivyopita kabla kama zaburi na torati. Ukiangalia zile theme kuu za kwenye torati mfano ishu za kuabudu mfano ishu za hekalu, ukombozi wa wana wa Israel (mesiah) ambaye atatoka katika uzao wa daudi na ahadi za mungu kuwa hatoliacha taifa lake la israel, ukiangalia hadi maagano aliyofanya mungu na Ibrahimu akimuambia agano lake atalifanya na Isaka baada ya kumjaribu kumtoa kafara, huku tunaambiwa kuwa alikuwa ni Ismail. It's all contradictions and confusions.

Mungu ni yule yule haiwezekani leo aseme hichi kesho aseme kitu kingine pia hawezi akavunja maagano yake na ahadi zake alizoweka na Wana wa Israel. Hawezi akacause confusion kwa kushindwa kuprotect vitabu vyake.

Leo hii aanzishe mfumo mpya kabisa wenye namna tofauti kabisa na mafundisho yake ya awali ishu kama za kaba,ramadhan na Mambo mengine ni ishu mpya huyu ni mungu mwingine ambaye jina lake ni Allah.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Katika imani ya Kiisalamu kuna jumla ya mitume wapatao 124,000 laki moja na Ishirinina tano, kati ya hao, ni mitume 25 tu, Mtume Muhammad (S.A. W) ndiyo aliweza kufunuliwa na kuelezewa habari zake. Kama inavyosema Qur’an katika Sura ya 4:164

“Na mitume tuliokwisha kukuhadithia kabla yake, na mitume wengine hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa Maneno”

“Semini nyinyi: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyoteremshiwa sisi, na yaliyoteremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyopewa Musa na Isa, na pia waliyopewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutofautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.”

Aya hii inawataka Waislamu kuwa amini mitume wote wa zamani, aya inasema wanatakiwa waamini walioteremshiwa wajukuu wa Yakobo, na Manabii wengine wote ambao hawakutajwa ndani ya Qurani.

Paulo Mwenyewe amesema kuwa ni Mjukuu wa Yakobo.

“…mimi ni Mwisraeli wa kabila la Benyamini, Mwebrania wa Waebrania..” (Wafilipi 3:5)

Benjamini alikuwa mtoto wa Yakobo. Hivyo twaona kuwa Qurani Sura ya 2:136 inakusudia kuaminiwa kwa mitume wote waliotangulia akiwemo na Paulo na manabii wote waliotajwa ndani ya Taurat, Zaburi na Injili.

Hivi yaonekana kuwa umati mkubwa wa mitume bwana Muhammad hakuweza kuelezwa habari zake. Sehemu kubwa ya Mitume na Manabii waliotajwa ndani ya Qur’an ni wale waliotajwa pia ndani ya Biblia. Hivyo basi Mwislam anapotaka kufahamu zaidi juu ya habari za Mitume na manabii yampasa kuzingatia agizo la Mwenyezi Mungu kwa Mtume katika Sura 10:94 kwamba;

“Na ukiwa na shaka juu haya tuliyokufunulia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako (Mayahudi na Wakristo)…”
 
Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
[ AN-NISAAI – 164 ]
Na Mitume tulio kwisha kukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno.

Hii inamaana kwamba Muhamad alifahamu kidogo sana kuhusu habari za mitume. yaani kama ni asilimia ni 0.0002 ya uelewa wake juu ya mitume. na huo ndio uelewa wa waislamu wote linapokuja swala la mitume. Hata hivyo. Allah s.w alikwisha kumwelekeza mtume mahala pa kupata nuru zaidi aliposema.

(YUNUS – 94)
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.

Hivyo kwa habari za mitume, karibia mitume wote aliosimuliwa muhammad wamo kwenye Biblia. Basi kama tulivyoona sehemu ya kwanza ya mada yetu leo twawagabarisha waislamu juu ya utume wa Paulo.

Hata hivyo ukisoma Quran kwa uangalifu utagundua kuwa Habari za Paulo zimeelezwa vizuri humo.

Chunguza aya hii.

(YA-SIN – 13-14)
Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.


Aya hii inaeleza kisa cha WAJUMBE WA MWENYEZI MUNGU.
Wafasiri na wanazuoni mfano Shekhe Balwani, Yusufu Ali wamefasiri aya hii na kusema mji huo walikotumwa wajumbe ni ANTIOKIA.

Ibin Kathir katika tafsir yake anasema wajumbe hao ni Yohana, Simoni na Paulo.

Na hapa namnukuru ibn Kathir.

قال ابن جرير عن وهب بن سلمان عن شعيب الجبائي قال كان اسم الرسولين الأولين شمعون ويوحنا واسم الثالث بولص والقرية انطاكية فقالوا » أي لأهل تلك القرية « إنا إليكم مرسلون » أي من ربكم الذي خلقكم يأمركم بعبادته وحده لاشريك له قاله أبو العالية وزعم قتادة أنهم كانوا رسل المسيح عليه السلام إلى أهل انطاكية « قالوا ما أنتم إلا بشر مثلنا » أي فكيف أوحي إليكم وأنتم بشر ونحن بشر فلم لا أوحي إلينا مثلكم ولو كنتم رسلا لكنتم ملائكة وهذه شبهة كثير من الأمم المكذبة كما أخبر الله تعالى عنهم في قوله عز وجل « ذلك بأنه كانت تأتيهم رسلهم بالبينات فقالوا أبشر يهدوننا »

Imesimuliwa na Ibn Jurayj kutoka kwa Wahb bin Sulayman, imepokelewa na Shu`ayb Al-Jaba’i, “Majina wajumbe wawili wa waliotumwa mwanzo ni Simoni na Yohana na jina la wa tatu ni Paulo. Na mji huo ulikuwa Antiokia” , and the city was Antioch. Na wakasema (kwa watu wa mji huo) “hakika sisi tumetumwa kwenu kama wajumbe”, hii ina maanisha “Wajumbe kutoka kwa Allah aliyewaumba nyinyi na anayewaamrisha mumwabudu yeye peke yake na msimfanyie washirika.” Qatada amesema walikuwa ni wajumbe wa Masihi Isa bin Maryam (a.s) waliotumwa kwa watu wa Antiokia. Wakasema “Ninyi ni wanadamu kama sisi…ni kwa vipi munaweza kupokea ufunuo wakati nyie ni wanadamu na sisi tu wanadamu kama nyie, kwanini sisi hatupokei ufunuo kama nyie?” hivi ndivyo ilivyokuwa kwa watu wa mataifa mengine walivyosema ‘hatuamini’, kama vile Allah anavyotuambia katika sura ya 64:6 , “Hayo ni kwa kuwa walikuwa wakiwajia mitume wao kwa hoja zilizo wazi, nao wakasema: Hivyo binadamu ndiyo atuongoe? Basi wakakufuru na wakageuka upande. Mwenyezi Mungu akawa hana haja nao…”

Hivyo twaona kuwa hoja ya kumkataa Paulo ni uzushi wa hivi karibuni. Waislamu, wasomi na Maulamaa wa kale hawakuwa na hoja hii ya kumkataa Paulo.
 
Kwahiyo mm kama daktari nikichukua mbegu ( manii) ya mwanaume flani, kisha nikapandikiza kwa mwanamke flani ili apate mimba... Je, mm daktari niliyepandikiza ndo nitakuwa baba ?
ndio unless ututhibitishie hizo mbegu ni za nani.
 
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;


Paulo muongo hapo Yesu anamuomba Mungu gani kama yeye ndio Mungu mkuu

Tena hapo Yesu amesujudu yani paji lake la uso limegusa aridhi hilo neno (kuanguka kifulifuli ) limewekwa ili kukuzugeni nyinyi wagalatia

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
tugeukie hadith za mtume Muhammad. na kwa nini tugeukie hadithi? Ni kwa ushauri unaotolewa na Allah s.w ndani ya Quran yenyewe.

[ AN-NISAAI – 59 ]
Enyi mlio amini! Mt’iini Mwenyezi Mungu, na mt’iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Hayo ndiyo bora zaidi na ndiyo yenye mwisho mwema.

Katika kitabu kiitwacho SIRAT NABAWIYA. Kilichoandikwa na Ibn Hisham, aliyekuwa mwanafunzi wa ibn Ishak. Katika juzu ya 4 ya kitabu hicho uk 140 tunakuta Muhammad anaorodhesha majina ya Wanafunzi wa Yesu. na anawagawa katika mafungu 2. la kwanza ni wale waliomfuata wakati wa uhai wake na wale waliomfuata baada yakuwa amepaa juu. Muhammad anaeleza kila mmoja wa wanafunzi hao na mahala walikotumwa, kuhusu Paulo anaeleza kuwa Yeye alitumwa Rumi.

Na hapa namnukuru ibn Hisham.

أسماء رسل عيسى عليه السلام

أسماء رسل عيسى عليه السلام
قال ابن إسحاق ‏:‏ وكان من بعث عيسى بن مريم عليه السلام من الحواريين والأتباع ، الذين كانوا بعدهم في الأرض ‏:‏ بطرس الحواري ، ومعه بولس ، وكان بولس من الأتباع ، ولم يكن من الحواريين ، إلى رومية ، وأندرائس ومنتا إلى الأرض التي يأكل أهلها الناس ، وتوماس ، إلى أرض بايل من أرض المشرق ، وفيلبس إلى أرض قرطاجنة ، وهي أفريقية ؛ ويحنس إلى أفسوس ، قرية الفتية أصحاب الكهف ؛ ويعقوبس إلى أوراشلم ، وهي إيلياء قرية بيت المقدس ، وابن ثلماء إلى الأعرابية ، وهي أرض الحجاز ؛ وسيمن إلى أرض البربر ، ويهوذا ، ولم يكن من الحواريين ، جعل مكان يودس ‏.‏

Majina ya Mitume wa Yesu Masihi:

“Amesema ibh Is-hak: walikuwa mionguni mwa wanafunzi wa Yesu (amani iwe juu yake) wale waliomfuata wale waliokuwa baada yake duniani: Petro Mwanafunzi wa Yesu, na pamoja naye alikuwepo Paulo miongoni mwa wafuasi, Paulo hakuwa miongoni mwa wale wanafunzi wa Yesu. Naye (Paulo) alitumwa Rumi. Na Andrea naye alitumwa katika nchi ambayo wakazi wake wanakula watu. Na Tomaso alitumwa katika nchi ya Babeli katika nchi za mashariki. Na Philipo alitumwa katika nchi pande za Afrika, na Yohana alitumwa Efeso na Yakobo alitumwa Yerusalemu na Batholomeo alitumwa Uarabuni katika nchi ya Hijaz. Na Simoni alitumwa Baribari.”

Yashangaza kuona kuwa licha ya ushahidi mkubwa namna hii waislamu wa leo (hasa wanaharakati) wameamua kufumbia macho ukweli huu na kuanza kudanganya watu. ama kwa maksudi ama kwakutokujua.
1622466298021.png
 
  • Basi nimeshaelewa English ndio tatizo kwako , tutakesha hapa kama umeshindwa kuelewa hapa
  • Kathir - Ibn Al Kathir
    • When We sent to them two Messengers, they denied them both means, they hastened to disbelieve in them. فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ (so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).
Huna jipya nilitaka nishangae eti Quran itambue utume wa Paulo


About QuranX.com

This website was created in order to collate various Islamic sources into a single cross-referenced location. This project could not have succeeded without standing on the shoulders of giants. Thanks go to the following projects.

Hi ni website iliyoandikwa na wagalatia wenzenu ili waendelee kuwadanganya kama walivyo kudangayeni tokea mwanzo kuwa Paulo ni mtume na Yesu ni Mungu

Usichokijua ni kwamba

1)Quran imekamilika hakitakiwi kuongezwa kitu wala kupunguza kitu yoyote ataeongeza kitu yani anamkosoa Allah basi ujue huyo ni kafiri kwa hiyo huyo ibn kathil na wewe nyinyi wote ni makafiri

2)Hiyo nuku yako kutoka sio hadithi yani hakuna hata kitabu kimoja cha hadithi kinachosema katika hiyo aya mtume alitaja majina ya hao watu

3) Hata kama ingekuwepo hiyo hadithi bado kuna mizani ya kuangalia hadithi sahihi na za uongo

4) Quran inawaambia waislam wakikhitilafiana katika jambo lolote turejee katika Quran na suna za mtume hiyo link yako haina nafasi yoyote katika Quran na katika hadithi za mtume

5) Quran inasema ukristo sio dini ya Mungu wakristo na mtume wao wa uongo Paulo wote wataenda motoni

5) Umeshindwa kutetea utume wa Paulo kupitia bibilia ukakimbilia katika link za website hapo ndio ujue kuwa ukristo sio dini ya Mungu


PAULO SIO MTUME WA KWELI NA YESU SIO MUNGU

Na kama una uwezo wa kupinga hayo weka hayo maandiko yako tuyaone yanayosema Yesu Mungu sio unazunguka zunguka ili kupoteza muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Paul sio pekee aliyesema kuwa yesu ni mungu. Yesu mwenyewe alijishuhudia kuwa yeye ni mungu.

Yesu hakuna mwenye uwezo wa kuutoa uhai wangu Nina uwezo wa kuutoa na kuurudisha mwenyewe. Huu ni uwezo wa mungu pekee.

Alithibisha kuwa alikuwepo kabla ya Ibrahimu

Alisema katika kitabu Cha ufunuo Mimi ni Alfa na Omega mwanzo na mwisho niliyekuwepo,niwaye na nitakayekuja.

Ukimuona Mimi, umemuona baba, Mimi na baba ni kitu kimoja.

I am the truth, the way and the life no one come to the father except by me.

Hayo ni baadhi tu.

Wayahudi waliomuua Yesu waliona kuwa anakufuru kwa kujiita kuwa yeye ni mungu pasipo kujua kuwa hayo yalitabiriwa na manabii , yaliandikwa kwenye zaburi. Kasome ile Isaiah 53 iliyoelezea hayo yote imeandikwa na nabii Isaiah miaka mingi kabla ya yesu kuzaliwa. Imani inakuwa backed na prophecy kama hizi ambazo unaweza ukaprove hata hii leo.

Lakini ukiambiwa wewe uprove kuwa Isa hakufa na ilifanyika ionekane kuwa alikufa lakini hakufa unaweza ukaprove to us outside ya Quran? Angali wanafunzi wake walishuhudia kuwa alifufuka siku ya tatu hata wakawa tayari kufa kwa ajili ya Imani yao.

Proove kuwa Isa alitabiri ujio wa Muhammad nje ya Quran.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom