Huyu Paul sio pekee aliyesema kuwa yesu ni mungu. Yesu mwenyewe alijishuhudia kuwa yeye ni mungu.
Yesu hakuna mwenye uwezo wa kuutoa uhai wangu Nina uwezo wa kuutoa na kuurudisha mwenyewe. Huu ni uwezo wa mungu pekee.
Alithibisha kuwa alikuwepo kabla ya Ibrahimu
Alisema katika kitabu Cha ufunuo Mimi ni Alfa na Omega mwanzo na mwisho niliyekuwepo,niwaye na nitakayekuja.
Ukimuona Mimi, umemuona baba, Mimi na baba ni kitu kimoja.
I am the truth, the way and the life no one come to the father except by me.
Hayo ni baadhi tu.
Wayahudi waliomuua Yesu waliona kuwa anakufuru kwa kujiita kuwa yeye ni mungu pasipo kujua kuwa hayo yalitabiriwa na manabii , yaliandikwa kwenye zaburi. Kasome ile Isaiah 53 iliyoelezea hayo yote imeandikwa na nabii Isaiah miaka mingi kabla ya yesu kuzaliwa. Imani inakuwa backed na prophecy kama hizi ambazo unaweza ukaprove hata hii leo.
Lakini ukiambiwa wewe uprove kuwa Isa hakufa na ilifanyika ionekane kuwa alikufa lakini hakufa unaweza ukaprove to us outside ya Quran? Angali wanafunzi wake walishuhudia kuwa alifufuka siku ya tatu hata wakawa tayari kufa kwa ajili ya Imani yao.
Proove kuwa Isa alitabiri ujio wa Muhammad nje ya Quran.
Sent from my DRA-LX5 using
JamiiForums mobile app