mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
Point yangu ni kwamba Allah hakujua kama kuna ibilisi katka kundi la malaika.Point yako ni ipi? Kwamba Ibilisi alikuwa malaika ila akakataa amri ya Mungu?
Point yangu ni kwamba Allah hakujua kama kuna ibilisi katka kundi la malaika.Point yako ni ipi? Kwamba Ibilisi alikuwa malaika ila akakataa amri ya Mungu?
Alijua?Point yangu ni kwamba Allah hakujua kama kuna ibilisi katka kundi la malaika.
Sio lzm wewe uaminiHakuna ushahidi wa kuwahi kuwepo hao wawili.
Kwahiyo kuna viumbe ambavyo vipo ila bavijaumbwa na Mungu?Wakristo hawana kitu cha kuitwa majini.
Tamaduni za kikristo viumbe wasioonekana na wasihusianishwa na Mungu wote ni adui zao.
Kuhusu kuamini kila mmoja angeamini maelezo ya amani yake kuhusu Yesu hata kusingekuwa na malumbano.Sio lzm wewe uamini
Wote wameumbwa na Mungu, "visivyohusianishwa na Mungu" nikiwa na maana nje ya Malaika,Roho mtakatifu,Mungu, Yesu .....Kwahiyo kuna viumbe ambavyo vipo ila bavijaumbwa na Mungu?
Kwani baba yake na babu yako alikuwepo au uliamini kwa kuhadithiwaKuhusu kuamini kila mmoja angeamini maelezo ya amani yake kuhusu Yesu hata kusingekuwa na malumbano.
Sasa hata malaika waliyoasi nao ni malaika na hawaonekani pia.Wote wameumbwa na Mungu, "visivyohusianishwa na Mungu" nikiwa na maana nje ya Malaika,Roho mtakatifu,Mungu, Yesu .....
Point ni ipi?Kwani baba yake na babu yako alikuwepo au uliamini kwa kuhadithiwa
Ushasema walioasi mkuu, huoni jina likebadilika hapo??Sasa hata malaika waliyoasi nao ni malaika na hawaonekani pia.
Jina haibadili asili. Wewe leo unaweza kuwa polisi na kesho ukiiba unaitwa mwizi ila bado ni binaadamu.Ushasema walioasi mkuu, huoni jina likebadilika hapo??
Uthibitisho,asingekuwepo pasingekuwepo wafuasiPoint ni ipi?
Kwahiyo Issa aliwahi kuwepo?Uthibitisho,asingekuwepo pasingekuwepo wafuasi
Ushahidi wa kwanza ni huu hapa jinsi Fundi Salemala alivyokua anachanganya madesa wakati anafanyia REMIX hekaya za kiyahudi👇👇👇Tuletee ushahidi wa hayo maneno yako ?
hekaya za wayahudi ni hizi
YESU ALITANGUA TORATI AU HAPANA
Bwana Yesu Kristo alisema kwamba “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati na manabii, la, sikuja kutangua bali kutimiliza kwa maana amin nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie. ”Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo na kuwafundisha watu ataitwa mdogo kabisa katika ufame wa mbinguni.” (Mathayo 5:17-19).
Tukiendelea kusoma mbele, haipiti hata dakika moja tunaona kwamba Bwana Yesu tayari amekwisha sahau aliyoyasema, na anaanza kusema kinyume kabisa na amri za Torati.
Anasema kwamba: “Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho, na jino kwa jino, lakini mimi nawaambieni msishindane na mtu muovu; lakini akupigaye shavu la kuume mgeuzie la pili, mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.” (Mathayo 5:38-40).
Sasa Bwana Yesu Kristo ambaye alikuja kuitimiza Torati wala si kuitangua, mara anaonekana anaanza kuzipinga amri za Torati zinazopatikana katika “Kutoka 21:24’ Mambo ya Walawi 24:20, Kumbukumbu la Torati 29:21.”
Na hivi inaonekana kwamba ilikuwa kuna hitilafu kubwa katika maneno ya Bwana Yesu.
Na mtu anachanganyikiwa kabisa kwa mafundisho yake.
Mbona kama umepaniki mkuu?Hauna mada strong,
We ni mocker.
Tafuta mpumbavu mwenzako
Ushahidi wa kwanza ni huu hapa jinsi Fundi Salemala alivyokua anachanganya madesa wakati anafanyia REMIX hekaya za kiyahudi👇👇👇
Kwahiyo Issa aliwahi kuwepo?
Kwenye ukristo hakuna hao viumbe wa kuitwa majini kabisa,kwahiyo hakuna sababu ya kuwaelezea,maana hawajulikani!!!Tatizo kwenye hili suala ni wakristo kujimilikisha Yesu, yani hapo ndio mzizi wa tatizo kwa maana wao wanataka vile wanavyomuelezea na kumtambua wao basi ndio iwe hivyo hivyo kinyume na hivyo basi huyo sio Yesu. Lakini cha ajabu wakristo na waislamu wanapozungumzia majini huwa wote pamoja wanakusudia kitu kimoja japokuwa ukitizama maelezo ya uislamu majini ni tofauti na wakristo ila hukuti wakristo wakisema majini wanaoelezwa na waislamu ni majini tofauti na majini wenye kuelezwa na wakristo.
Vizuri kabisa ndio maana nashangaa wenye kuwahusisha majini na malaika waliyoasi.Kwenye ukristo hakuna hao viumbe wa kuitwa majini kabisa,kwahiyo hakuna sababu ya kuwaelezea,maana hawajulikani!!!
Kwenye ukristo hakuna hao viumbe wa kuitwa majini kabisa,kwahiyo hakuna sababu ya kuwaelezea,maana hawajulikani!!!