aliyesema malaika waliasi ni nani ??Vizuri kabisa ndio maana nashangaa wenye kuwahusisha majini na malaika waliyoasi.
aliyesema malaika waliasi ni nani ??Vizuri kabisa ndio maana nashangaa wenye kuwahusisha majini na malaika waliyoasi.
Ndio wenyewe wanavyoamini hivyo.aliyesema malaika waliasi ni nani ??
Polisi utakua rafiki ukiwa mwizi utakua adui ila ubinadamu bado utakua nao.Jina haibadili asili. Wewe leo unaweza kuwa polisi na kesho ukiiba unaitwa mwizi ila bado ni binaadamu.
Sasa kwanini iwe kwa viumbe wasionekana tu?Polisi utakua rafiki ukiwa mwizi utakua adui ila ubinadamu bado utakua nao.
Hata hao bado ni viumbe wa Mungu pia
Sijaelewa swali lako mkuu.Sasa kwanini iwe kwa viumbe wasionekana tu?
Utii kwa muumba hata binaadamu tunapaswa kuwa hivyo sio malaika tu, sasa kama kuasi kunawafanya kukosa sifa za malaika kwahiyo wanakuwa nani?Sijaelewa swali lako mkuu.
Unapoasi unakua tofauti kifikra na mtazamo ule wa mwanzo.
Wao waliasi hivyo hawana zile sifa za malaika. Kuna kitu wanakikosa nacho ni utii kwa Muumba.
Adui za wakristoUtii kwa muumba hata binaadamu tunapaswa kuwa hivyo sio malaika tu, sasa kama kuasi kunawafanya kukosa sifa za malaika kwahiyo wanakuwa nani?
Ndio wenyewe wanavyoamini hivyo.
Kwani hao wakristo hakuna ambao nao wanaoasi?Adui za wakristo
Wote hao wanasema ni malaika waliyoasi.Na hawa wanaowaita mapepo nao walikuwa nani ??
Sijui kwa wanaoaminiKwahiyo Issa aliwahi kuwepo?
Hiyo niliokupa ni ushahidi wa Yesu ambao umeuthibitisha wewe mwenyewe jinsi alivyochanganya madesa kati ya Injili yake na Torati ya MusaHujaleta ushahidi wowote kutokana na haya maneno yako ya hapa chini , hizo ni fikra zako baada kula ugali mwingi na maharage
uliandika nakunukuu
Uislam;
Akaja maamuma mudi, ili aaminike na wayahudi na wakristo na yeye akaanza kufanyia remix hekaya za wayahudi na hekaya za wakristo na hekaya akidai zimechakuchuliwa na akaja na version yake huku akiongeza yakwake na kuchanganya na upagani wa kiarabu
Tuwekee ushahidi wa uislamu ku copy na kuchakacua aya moja tu ya biblia
kama huna cha kuchangia ni afadhali usome kwanza uelimike baadaye uanze kuuliza maswali
Si mnasema Issa na Yesu ni watu wawili tofauti sasa iweje tena hujui uwepo Issa kama kweli alikuwepo?Sijui kwa wanaoamini
Hiyo niliokupa ni ushahidi wa Yesu ambao umeuthibitisha wewe mwenyewe jinsi alivyochanganya madesa kati ya Injili yake na Torati ya Musa
(Tumia akili ndogo tu) hekaya za Injili na quran zipi zilitangulia kuja?….. Ni injili
So tofauti ya injili kuhusu Yesu(ambayo tunai regard kama original version) na Quran iliokuja baadae ambayo imemuhadithia Yesu yule yule kwa namna nyingine(imebadilisha original version)…. Sasa sijui unataka UTHIBITISHO gani?….. unless ukatae kwamba hao ni characters wawili tofauti
Sio Yesu tu aliyetajwa kwenye quran na “Bibilia” kuna Adam, Noah, Musa, Yakobo na wengine wengi
Na wote hao Hadithi zao zimefanyiwa remix lakini kimantiki ni zilezile
Tatizo lenu waamini Mungu huwa hamtaki kutumia AKILI mmekalia kukariri kwamba kila kitu LAZIMA kiandikwe kwenye hekaya zenu
Yaani hata nikikwambi hakuna Mungu eti unataka nikupe maandiko ya “mungu” yanasema hakuna mungu 😂😂😂
Huwezi fukuza pepo kwa jina la isa likatoka.
Yesu kwa Biblia za kiarabu anaitwa Yasua
“Yasua bin Mariam” ni sahihi ukitumia mtindo wa Kiarabu unaoeleweka haraka katika majina ya watu:
✅ Ufafanuzi:
🔹 يسوع بن مريم (Yasū‘ ibn Maryam)
➡️ يسوع (Yasū‘) – Yesu
➡️ بن (ibn) – mwana wa
➡️ مريم (Maryam) – Mariamu
Hivyo “Yasua bin Mariam” maana yake ni “Yesu mwana wa Mariamu”,
ambayo hutumika sana katika maandiko ya Kiarabu, haswa wakati wa kutambulisha kwa heshima au katika maandiko ya kiroho.
🔹 Katika Qur’an, kama nilivyotaja, jina lake huwa ʿĪsā ibn Maryam (عيسى بن مريم)
➡️ lakini kwenye Biblia za Kiarabu jina lake ni Yasū‘ ibn Maryam (يسوع بن مريم).
Hii ni kuonyesha ni watu wawili tofauti
Kuna tofauti kati ya copy and paste na copy kisha fanya remix na kuja na version ya remixKasome uelewe alau unachokiandika , maana hata maana ya kukopi hujui
Nabii Isa atarudi kama atakavyorudi YesuYesu ni mwana wa Mungu kulingana na Biblia Takatifu
Nabii Issa ni mtime kulinfana na waislamu
Kwahiyo kuna tofauti kubwa mno
Yesu Kristo yu hai na atarudi tena kwa nabii issa hatorudi tena
Huyo mwingine simjui taarifa zakeSi mnasema Issa na Yesu ni watu wawili tofauti sasa iweje tena hujui uwepo Issa kama kweli alikuwepo?