Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kauli hio ya Yesu haikutoka kwenye Injili ya Yesu, bali kutoka kwenye vitabu vya watunzi wengine. 🙂

Hakuna mahali niliposema kuwa Mungu hana uwezo wa kutunza kumbukumbu. Mungu hakuahidi kutunza ivo vitabu. Au kama ipo hio ahadi basi tuletee tuione.
naomba kauli za Yesu za kwenye injiili.
unatetea kitu ambacho huna wala hujui utakitoa wapi.
Yaani unasema simu hii ni fake, unaulizwa kwa nini unasema, kwa sababu ya simu flani orfinal ambayo siijui na sijawahi kuiona.

hapa kama ni mimi nakutandika bakora sita za nguvu ili ufahamu ukurudi. Maana unapotezea watu wenye ufahamu muda.
 
nimeshajibu. Nqqmini 100 uwepo wa majini kama mashetani na mapepo na hakuna jini jema.
ndio maana nataka kukuhoji unayeamini uwepo wa majini mema, kama utakwepa hadi hapa nadhibitisha hujui unachoamini au unakiogopa
Hayo Majini unayoamini wewe ambao ni waovu, wameumbwa na nani?

Naamini uwepo wa majini wema na wabaya. Shetani ni sifa ya binaadamu au jini alie muovu.

Tafadhali nijuilishe nani ameumba majini?
 
Unamdhalilisha allah mkuu kwa maneno yako.
Yaani hana uwezo wa Kulinda vitabu vitatu na anauwezo wa kimoja tu.
Cha ajabu huyohuyo Allaha anawata muviamini, muwaulize walivyo navyo wakati huohuo havipo na wanaoviamini hamuajui. Nyie wafuasi wake nao hamna.

Mnaamini hewa mkuu.
Huoni kama allaha hapo anajichanganya.
Ukweli ni Kwamba Vipo na Nni Bibilia hiiihii unayotumia kujenga hoja kutetea uislam bila mafanikio
Unarudia upupu ule ule. Lete aya kutoka kwenye bibilia isemayo kuwa atavilinda ivo vitabu. Nasubiri.

Mungu ameamrisha watu wafanye memea, ila watu wanafanya mabaya, maanake mungu anadhalilishwa kwa sababu watu wanafanya kinyume?
 
Mkuu unajichanganya wewe tu, Maelezo ninayokupa ni manyoofu, yako wazi na ukiyaamini Utaokoa maisha yako, famillia yako na watakao kusikia.
Yesu ni Mwana wa Mungu ambaye ni Mungu. Uungu wote unayeye sawa na Baba yake ambaye tumekubaliana kuwa sio Yusufu bali ni yule aliyesema '' Huyu ni mwanangu mpendwa ninayependezwa naye''. Yesu kamtaja day One hadi anapaa.

Kuja kama binadamu kusikutishe,
Kwani hujui kama hata wewe ni mtoto wa mungu? 😀 nimekwambia hamjui nini mnakiamini. Mmepotezwa na shetani uku akiwacheka. Watu wamekaa kikao na kuamua kuwapotoa.
 
Hakuna kitu ambacho shetani amefanikiwa kuchezesha kwasakwasa nyie kama imani hiyo ya majini.
Huelewi jini kawa mwema lini kawa mbaya nili, kasilimu au kadanganya.
Yanawafanya wengi kuwa watumwa na kushusha kabisa viwango vyao vya Kibinadamu.
Hapa yanatamani hata yaniue nisikufungue hapo yalipokufunga 😀😀

mkuu jipe moyo bana, wewe nakuaminia unauelwa mpana, usirubuniwe na concept ambazo hata mtoto mdogo anaona kabisa hapo ni mtegoni
Uzuri wa mambo, dini yetu imeweka wazi kwenye viumbe vikuu Malaika, Jini na Binaadamu. Tofauti na Bibilia.

Shetani ametulia saivi anakucheka ile mbaya, mana anakuona alivokupotosha na wewe ukiwa unamtetea. Eti Mungu, mwana wa Mungu, utatu 😀 😀 mara wakae kitako wajadiliane uchakachuzi upi unafaa. 😀 😀

Hayo majini yanatamani yakuue kweli ili ukajione ukweli uko kaburini. Ila mi bado ntaendelea kukuombea usilimu na Umjue Mungu wa kweli ambae haonekani, ambae sio kiumbe, hazai wala hazaliwi, hasulubiwi na mwenye uwezo.
 
naomba kauli za Yesu za kwenye injiili.
unatetea kitu ambacho huna wala hujui utakitoa wapi.
Yaani unasema simu hii ni fake, unaulizwa kwa nini unasema, kwa sababu ya simu flani orfinal ambayo siijui na sijawahi kuiona.

hapa kama ni mimi nakutandika bakora sita za nguvu ili ufahamu ukurudi. Maana unapotezea watu wenye ufahamu muda.
Mathayo 15:24

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mfano wako wa simu sasa ulivomwepesi kukuelezea.

Tujaalie sijawahi kuiona iphone kwenye maisha yangu. Ila inatambulikana kuwa iphone haitumii android, inatumia ios. Sasa wewe ukinletea simu shape kama iphone vile vile, nikiifungua ndani nikienda settings inasema android kitkat, ntashindwa kukwambia kama hii feki? 😀 au kwa mfano naichukua hio fake iphone naichomeka kwenye computer halafu kwenye itunes haisomi kweli nitashindwa kujua kama ni feki? 😀
 
Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua hakuwa na baba mwenye mwili na nyama bali alitungwa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu kwake yeye bikira maria mwenye heri.
 
asante kwa maelezo mazuri.

Yeye Issa kwenye Bibilia anasema anaye Baba.
Ila sio mwanadamu ni Mungu Baba.
Anasema hajaanzia tumboni mwa mariam, Humo ni kama alipita tu, Yeye katokea Mbinguni.
Na anadai kabla hajaja alikuwa Mbinguni na utukufu kabisa mwingi.
Kuthibitishia hilo wafuasi wake alipokuwa maeneo ya kaisalia filipi alibadilika na kutwaa utukufu mkubwa akakutana na manabii wengine wa zamani ambao wako mbinguni Musa na Eliya. Mitume wakabaki wanashangaa.

Yeye mwenyewe anasema baadaye '' Ni kweli nilikuwa nimekufa, ila sasa niko hai, na niazo funguo za kuzimu na mauti'' akimuambia rafiki yake yohana.
Wanafunzi wake wote Wanamuita Mungu na hakuwahi kukataa.
wakati Mitume tu kuitwa Mungu wanalaani maana umekufuru Ila Yesu hakulaani wala kukataa.

Bibilia Inamuonyesha tunapoongea Yuko Mbinguni anaabudiwa na Viumbe Vyote,, yeye na Baba Yake.
Sasa mkuu tumuamini nani Wewe, Quran ambayo kiukweli lichelewa mbaka inaandika maneno hayo nilioyoasema hapo juu yakikuwa yameshatapakaa ulaya, india, iraq, afganstan, asia yote. Na Usisikilize uongo wa chiluba kuwa bibilia imetungwa na Nicea. Maneno kuhusu Yesu yapo miaka mingi mno kabla hata waliokaa nicea hawajatungwa mimba.
Yohana 20:17

17 Yesu akamwambia, “Usin ishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”

Hivi unalielewa hilo andiko hapo juu? Maana naona unapiga porojo nyingi, hadi unapishana nalo
 
asante kwa maelezo mazuri.

Yeye Issa kwenye Bibilia anasema anaye Baba.
Ila sio mwanadamu ni Mungu Baba.
Anasema hajaanzia tumboni mwa mariam, Humo ni kama alipita tu, Yeye katokea Mbinguni.
Na anadai kabla hajaja alikuwa Mbinguni na utukufu kabisa mwingi.
Kuthibitishia hilo wafuasi wake alipokuwa maeneo ya kaisalia filipi alibadilika na kutwaa utukufu mkubwa akakutana na manabii wengine wa zamani ambao wako mbinguni Musa na Eliya. Mitume wakabaki wanashangaa.

Yeye mwenyewe anasema baadaye '' Ni kweli nilikuwa nimekufa, ila sasa niko hai, na niazo funguo za kuzimu na mauti'' akimuambia rafiki yake yohana.
Wanafunzi wake wote Wanamuita Mungu na hakuwahi kukataa.
wakati Mitume tu kuitwa Mungu wanalaani maana umekufuru Ila Yesu hakulaani wala kukataa.

Bibilia Inamuonyesha tunapoongea Yuko Mbinguni anaabudiwa na Viumbe Vyote,, yeye na Baba Yake.
Sasa mkuu tumuamini nani Wewe, Quran ambayo kiukweli lichelewa mbaka inaandika maneno hayo nilioyoasema hapo juu yakikuwa yameshatapakaa ulaya, india, iraq, afganstan, asia yote. Na Usisikilize uongo wa chiluba kuwa bibilia imetungwa na Nicea. Maneno kuhusu Yesu yapo miaka mingi mno kabla hata waliokaa nicea hawajatungwa mimba.
Uweke maandiko pia ya madai yako
 
Hayo Majini unayoamini wewe ambao ni waovu, wameumbwa na nani?

Naamini uwepo wa majini wema na wabaya. Shetani ni sifa ya binaadamu au jini alie muovu.

Tafadhali nijuilishe nani ameumba majini?
Majini ( kwa waislam yapo mema na maovu kwangu yote ni maibirisi na mapepo machafu/ Malaika walioasi na Shetani wao mkuu) waliumbwa na Mungu wakaasi mbinguni wamewekwa akiba kwa ajili ya Jehanamu ya Moto.
 
Cha kushangaza biblia hiyo hiyo na wala sio nyingine inatutaja sisi kama watoto wa mungu.
Sio yesu pekee ndiye aliyeitwa mwana wa mungu
hicho kisikutishe. Hata Musa Mungu alimuambia nitakufanya mungu kwa farao.
Point sisi wote kwa Kumuamini Yesu tunafanyika kuwa wana wa Mungu. Yesu ni Mwana wa Mungu ambaye anasifa zote za Uungu. Hapa ndio upekee wake.
 
Mathayo 15:24

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mfano wako wa simu sasa ulivomwepesi kukuelezea.

Tujaalie sijawahi kuiona iphone kwenye maisha yangu. Ila inatambulikana kuwa iphone haitumii android, inatumia ios. Sasa wewe ukinletea simu shape kama iphone vile vile, nikiifungua ndani nikienda settings inasema android kitkat, ntashindwa kukwambia kama hii feki? 😀 au kwa mfano naichukua hio fake iphone naichomeka kwenye computer halafu kwenye itunes haisomi kweli nitashindwa kujua kama ni feki? 😀
Usisome bibilia kwa Kurukaruka kama Popcon mkuu.

'' Na kondoo wengine ninao ambao sio wa zizi hili nitawaita na kuwaleta''

Kuanzia sasa ukipigwa marufuku kutumia injili ya Wakristo, ukaambiwa utumie injili ya Yesu ambayo nyie mnayo, pamoja na zabur na Taurat utatumia nini mkuu au hujaona mlipoachwa kwenye mataa.
Mimi nakuoenda ni mtafiti, ila unanitisha kama hili dogo hujagundua tangu tumeanza kuchat.

mfano wa iphone hauendani maana Iphone unaijua ndio maana umesema haitumii android au droid inatumia Ios
 
Uzuri wa mambo, dini yetu imeweka wazi kwenye viumbe vikuu Malaika, Jini na Binaadamu. Tofauti na Bibilia.

Shetani ametulia saivi anakucheka ile mbaya, mana anakuona alivokupotosha na wewe ukiwa unamtetea. Eti Mungu, mwana wa Mungu, utatu 😀 😀 mara wakae kitako wajadiliane uchakachuzi upi unafaa. 😀 😀

Hayo majini yanatamani yakuue kweli ili ukajione ukweli uko kaburini. Ila mi bado ntaendelea kukuombea usilimu na Umjue Mungu wa kweli ambae haonekani, ambae sio kiumbe, hazai wala hazaliwi, hasulubiwi na mwenye uwezo.
mkuu Muamini Mwana wa Mungu Yesu ambaye ni Mungu mkuu, usilete mashara hayo yanayojiiyta majini safi yatakukana siku ya mwisho.
Mmejiongezea matatizo mengi sana mkuu.

Please consider this.

Kwanza eti mwanadamu anasilimisha jini ambalo hata hajui likoje, linadanganya au halidanganyi, yaana hatari tupu.
Pole sana, Karibu Kesho Kanisani Tukubatize mkuu. Kabatizwa Sheigh Yahaya Omari ambaye sembuse wewe ambaye hata haya huna unabwabwaja tu
 
Kwani hujui kama hata wewe ni mtoto wa mungu? 😀 nimekwambia hamjui nini mnakiamini. Mmepotezwa na shetani uku akiwacheka. Watu wamekaa kikao na kuamua kuwapotoa.
Wote waliompokea (Yesu, Mungu mwana) walifanyika kuwa wana wa Mungu. Yohana 1.

Mimi ni Mwana wa Mungu kwa Kumuamini Yesu ambaye ni Mwana wa Mungu ambaye ni Mungu. Hii fursa muislam asipobadilika hana, na hakuna pepo hicho ndicho kinachoniuma zaidi Boss,
 
Unarudia upupu ule ule. Lete aya kutoka kwenye bibilia isemayo kuwa atavilinda ivo vitabu. Nasubiri.

Mungu ameamrisha watu wafanye memea, ila watu wanafanya mabaya, maanake mungu anadhalilishwa kwa sababu watu wanafanya kinyume?
1 Peter 1:25. Neno la Mungu litadumu milele.
leo waislam wanadanganya eti limepotea, ila wanaliamini japo hawalijui huuonintatizo boss
 
Majini ( kwa waislam yapo mema na maovu kwangu yote ni maibirisi na mapepo machafu/ Malaika walioasi na Shetani wao mkuu) waliumbwa na Mungu wakaasi mbinguni wamewekwa akiba kwa ajili ya Jehanamu ya Moto.
Wwewe ndio mkiristo wa kwanza kukusikia kuwa unakubali kama Majini yameumbwa na Mungu. Nilijua siku zote mnawakana kama hawakuumbwa na Mungu. Sasa unasema kuwa Waliasi, maana yake kumbe wanao uwezo wa kutoasi, sasa kama wana uwezo wa kutoasi, kwanini ukatae uwepo wa wema na wabaya? Jini kaumbwa na moto na malaika ameumbwa na nuru. Usichanganye madawa.

Bibilia inakosa elimu kama hizi. Nasubiri jibu
 
Usisome bibilia kwa Kurukaruka kama Popcon mkuu.

'' Na kondoo wengine ninao ambao sio wa zizi hili nitawaita na kuwaleta''

Kuanzia sasa ukipigwa marufuku kutumia injili ya Wakristo, ukaambiwa utumie injili ya Yesu ambayo nyie mnayo, pamoja na zabur na Taurat utatumia nini mkuu au hujaona mlipoachwa kwenye mataa.
Mimi nakuoenda ni mtafiti, ila unanitisha kama hili dogo hujagundua tangu tumeanza kuchat.

mfano wa iphone hauendani maana Iphone unaijua ndio maana umesema haitumii android au droid inatumia Ios
Hakuna mahala paliporukwa, wewe lete context ya hicho nilichokiandika na ulichokiandika tuone.

Kwani wapi waislam tunatumia injili ya wakiristo? sisi tunatumia Quran, kitabu ambacho kimekuja kukamilisha yale aliyoshusha Mungu. Vile vile, hatuna shida ya kutumia taura, Zabur wala Injili ya Issa, kwani hakika vitabu ivo walishushiwa MAYAHUDI TU! vikiwepo au visiwepo, havina faida wala hasara kwetu, Quran kila kitu kimo alichoshusha Mungu. 🙂

Ata mimi nakupenda ndugu yangu ila tatizo lako wewe nuru umeshaiona na iko wazi kabisa sema unafumba macho, unasema nuru inakuumiza macho. nitakuzoesha uizoee mpaka uweze kufumbua moja kwa moja
 
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

sijui mnasoma bibilia gani ambayo inasema Yesu Mungu
Maana Injili haisemi kuwa Yesu ni Mungu
 
mkuu Muamini Mwana wa Mungu Yesu ambaye ni Mungu mkuu, usilete mashara hayo yanayojiiyta majini safi yatakukana siku ya mwisho.
Mmejiongezea matatizo mengi sana mkuu.

Please consider this.

Kwanza eti mwanadamu anasilimisha jini ambalo hata hajui likoje, linadanganya au halidanganyi, yaana hatari tupu.
Pole sana, Karibu Kesho Kanisani Tukubatize mkuu. Kabatizwa Sheigh Yahaya Omari ambaye sembuse wewe ambaye hata haya huna unabwabwaja tu
Siwezi kumuamini Mwana wa Mungu, wakati kuna Mungu aliemleta huyo mwana. Wala mwana wa Mungu hawezi kuwa Mungu mkuu ikiwa aliletwa na Mungu. Hivi kuna ugumu kweli kwenye hii statement au ndio kujitoa ufahamu tu. Usione aibu kujiunga na uislam. Utafundishwa mambo yote ya msingi ya uislam ukijiunga nasi. Dhambi zako zote za nyuma zinafutwa na mema yako yote ya nyuma yanaendelea kuhesabiwa.

Karibu uje msikitini siku yoyote sisi waislam ni wajibu wetu kumuabudu Allah. Mungu wetu hayupo J2 tu. Wiki nzima, mwaka mzima Mungu yupo. Mungu wetu hawezi kufa, achana na Mungu ambae amewahi kufa, atakufa tena na saiv akirudi shaba moja tu kichwani chini.

Uislam ndio dini sahihi na Waislam walio wema ndio watakaoingia peponi tu. Twende mkono kwa mkono tuingie peponi tukiwa na furaha in Sha Allah
 
Back
Top Bottom