Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Hoja yangu ni kuonesha uchafu mnaowasingizia mitume kwenye bibilia na kuwachafua kwa uzushi wenu. Mungu huchagua mtu mwema kuwa mtume sio mzinifu. Hivi unaweza kunambia nini kiliendelea baada ya hio zinaa?
Dah nimekuelewa kabisa muddy alikuwa na hamu na vitoto , kitoto kimechukuliwa kutoka kwa mama yake kilikuwa kinachezea midoli, apo nimekupata Mungu hatumi watu kama hawa
 
Hapa cha kushangaza wewe unaabudu mungu ambae kumbe anaweza kufa, mungu ambae anamuomba mungu mwengine, huu si upofu?

Hayo majini yanakuchekeni nyie mnaowakataa kuwa viumbe wa Mungu lakini mnakubali kama wapo, mkiulizwa muumbaji wa Majini nani sijui mtajibu nini 😀?
Kwani Muumbaji wa shetani ni nani?
 
Dah nimekuelewa kabisa muddy alikuwa na hamu na vitoto , kitoto kimechukuliwa kutoka kwa mama yake kilikuwa kinachezea midoli, apo nimekupata Mungu hatumi watu kama hawa
Jifunze kujibu maswali basi yanayoulizwa? au ndio kukubali kuwa ukiristo umejaa uchafu? ndio kwanza tone tu hilo

Halafu kwa mujibu wa sources za kikristo. Maria alikuwa na umri wa miaka 12 huku Yussuf akiwa na miaka 90!!! Sasa kwa logic yako ya kipumbavu, Yussufu alikuwa anakibaka maria, lakini tuache ya Yusufu. Yule mnaemwita Mungu kamtia mimba kabisa ajizae.... Mhhhh Sasa kwa logic yako hapo, nafikiri tayari ushajua mbakaji mkubwa alovunja rikodi na aloanzisha hio tabia ni nani 😀.

Nimesema kwa LOGIC YAKO sio kama niaminivyo mimi 🙂
 
Lete tafsiri ya kubaka kwanza kisha tuendelee na hio mada. Ila walau saivi umejua kama mitume yenu walikuwa waovu na ndio mnaowafata. 🙂
Mtume mwovu lazima alogeke na akaombe msaada kwa mapepo na hayo alifanya Muhamad saw
 
Hoja yangu ni kuonesha uchafu mnaowasingizia mitume kwenye bibilia na kuwachafua kwa uzushi wenu. Mungu huchagua mtu mwema kuwa mtume sio mzinifu. Hivi unaweza kunambia nini kiliendelea baada ya hio zinaa?
Bado nimegundua unaufahamu mdogo juu ya operation za Mungu.
'' Kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu'' 3:23 warumi

Mwanadamu mkamilifu alikuwa ninadamu tu kabla ya dhambi, Na Mungu mwana alivyokuja katika umbile za wanadamu.
Dhana hii ndio lipelekea hata manuscript nyingine zilizokuwa zinaonyesha maovu ya mtume, au baadhi ya hadithi zinazelezea mambo ya ajabu kukataliwa ili kumtakasa mtume.

Ukweli Mungu hufanya kazi na vyombo vichafu vilivyokubali kusafishika. Lkn hampangii anaweza kuanza mwema baadaye akachagua kuwa muovu. Hii ni ushahidi tosha Bibilia ni kitabu sahihi, Ushahidi kuwa kitabu ni cha kitungwa ukiona kila muhusika analazimishwa kuonekana ni sinless.
 
Kwani Mkuu wewe unaamini uwepo wa majini? Tuanze hapo
Waislam kupitia Sura ya Majini ndio wanaamini. Na wewe kama muhusika nakuhoji mkuu kwa misingi ya imani yako.

Mimi naamini Uwepo wa mashetani, malaika walioasi na kionhozi wao lucifer. Hao mmewagawa makundi mawili kama sio matatu yaani majini safi, majini maovu na mashetani. Huu ni mtego mwingine ambao mmeingia bila kujua mnazunguka hapohapo.

Sasa kabla sijatoa msaada kama utasiaidia kujibu maswali pale juu kwa mujibu wa ikani yako nitafurahishwa mkuu
 
Bado nimegundua unaufahamu mdogo juu ya operation za Mungu.
'' Kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu'' 3:23 warumi
Kwa bahati mbaya haya si maneno ya Mungu mwenyewe. Kwaio Tunataka Mungu mwenye atwambie kama walikuwa wazinifu. Kama ipo Mistari ya Mungu ilete hapa tuione.

Mwanadamu mkamilifu alikuwa ninadamu tu kabla ya dhambi, Na Mungu mwana alivyokuja katika umbile za wanadamu.
Dhana hii ndio lipelekea hata manuscript nyingine zilizokuwa zinaonyesha maovu ya mtume, au baadhi ya hadithi zinazelezea mambo ya ajabu kukataliwa ili kumtakasa mtume.
Mitume walikuwa wanakosea, na katika Quran haya yote yapo, ila hawakuwa wakitenda dhambi tena hasa izo uzisemazo, hakuna mtume aliezini! kama unabisha, thibitisha kupitia maneno ya Mungu mwenyewe.

Ukweli Mungu hufanya kazi na vyombo vichafu vilivyokubali kusafishika. Lkn hampangii anaweza kuanza mwema baadaye akachagua kuwa muovu. Hii ni ushahidi tosha Bibilia ni kitabu sahihi, Ushahidi kuwa kitabu ni cha kitungwa ukiona kila muhusika analazimishwa kuonekana ni sinless.
Mungu hafanyi kazi na vitu vichafu bali hufanya kazi na mtu ambae anaweza kuwa mfano kwa jamii yake. Huwezi kumchukua mzinifu alafu akawa mtume, hao watu wenyewe watashangaa! Anaefanya kazi na vitu vichafu ni Shetani. Na ndie mnaemfanyia kazi. Saivi katulia anakula beef mishkaki anashangiria mlivokuwa mambumbumbu.

Bibilia ni kama udaku, kinaeneza uzushi ilimradi kisomwe tu. Ukiona kitabu kinaongelea machafu ya mitume ujue hicho ni kitabu cha shetani, anataka muone kama mitume walikuwa wachafu na mungu anafanya kazi na wachafu.
 
Waislam kupitia Sura ya Majini ndio wanaamini. Na wewe kama muhusika nakuhoji mkuu kwa misingi ya imani yako.
Mimi naamini Uwepo wa mashetani, malaika walioasi na kionhozi wao lucifer. Hao mmewagawa makundi mawili kama sio matatu yaani majini safi, majini maovu na mashetani. Huu ni mtego mwingine ambao mmeingia bila kujua mnazunguka hapohapo.

Sasa kabla sijatoa msaada kama utasiaidia kujibu maswali pale juu kwa mujibu wa ikani yako nitafurahishwa mkuu
Mbona hicho ulichoquote unaepuka kukijibu?

Wewe unaamini uwepo wa Majini?
 
Hizo data wewe umezitoa wapi?
hadithi mnazoziamini sambamba na quran.
Sahihi al Bukhari
''Mtume alimuoa wakati akiwa na miaka 6 na kuanza kuishi naye akiwa na miaka 9"
Sahihi Al Bukhari 7:62,64

Hapa mkuu namzungumzia Aisha binti wa Abu Bakar swahaba wa mtume na Caliph wa kwanza.
 
Allah hakuahidi kuvilinda ivo vitabu. Isitoshe, ikiwa unaweza kuchukua karatasi ukaandika unachotaka na kuficha ya ukweli haimaanishi kuwa Allah ni dhaifu wala nini. Hakukuwa na haja ya kuhifadhi ivo vitabu maana vilekuwa kwa wana wa kondoo tu, ata Yesu alisema alitumwa kwa wana wakondoo na wengine kuwafananisha na Mbwa tu 🙂 Si unaona Quran ilivolindwa? Akifa A, kuna B na C wanaijua na wanaisambaza.
hiyo kauli ya Yesu umeitoa kwenye kitabu gani ikiwa unasema havipo.
Huoni unaonyesha udhaifu kusema Mungu hana uwezo wa Kutunza kumbukumbu zake.
Yaani unawafanya wanadamu kuwa na uwezo kumzidi Mungu.
Huyo Allah unamdhalilisha mkuu. hapo unaonaje
 
Jifunze kujibu maswali basi yanayoulizwa? au ndio kukubali kuwa ukiristo umejaa uchafu? ndio kwanza tone tu hilo

Halafu kwa mujibu wa sources za kikristo. Maria alikuwa na umri wa miaka 12 huku Yussuf akiwa na miaka 90!!! Sasa kwa logic yako ya kipumbavu, Yussufu alikuwa anakibaka maria, lakini tuache ya Yusufu. Yule mnaemwita Mungu kamtia mimba kabisa ajizae.... Mhhhh Sasa kwa logic yako hapo, nafikiri tayari ushajua mbakaji mkubwa alovunja rikodi na aloanzisha hio tabia ni nani 😀.

Nimesema kwa LOGIC YAKO sio kama niaminivyo mimi 🙂
weka source , source ya muddy inajulikana
 
Mbona hicho ulichoquote unaepuka kukijibu?

Wewe unaamini uwepo wa Majini?
nimeshajibu. Nqqmini 100 uwepo wa majini kama mashetani na mapepo na hakuna jini jema.
ndio maana nataka kukuhoji unayeamini uwepo wa majini mema, kama utakwepa hadi hapa nadhibitisha hujui unachoamini au unakiogopa
 
hadithi mnazoziamini sambamba na quran.
Sahihi al Bukhari
''Mtume alimuoa wakati akiwa na miaka 6 na kuanza kuishi naye akiwa na miaka 9"
Sahihi Al Bukhari 7:62,64

Hapa mkuu namzungumzia Aisha binti wa Abu Bakar swahaba wa mtume na Caliph wa kwanza.
Umeleta Hadithi (Bibilia za waislam) ila aya hukuileta.

Anyways soma hii kwa faida yako: (Unaruhusiwa Kuuliza ukusanyaji wa hadithi kupiti Bukhari ukitaka).

Capture.JPG
 
Walikuwepo wenye ivo vitabu na walikuwepo waliokuwa wakipotosha.

Sisi tunaamini Allah alishusha Taurat, Injil, Zabur na Quran. tunaamini hivi ndio vitabu vya Allah. Vengine Mattayo, sijui Petro, havikushushwa na mungu na ndio maana hatuamini bibilia. Wewe unaejiita mtu wa kitabu, tuletee tuvione ivo vitabu.

Mwenyezi Mungu hakuahidi kuvilinda. Isitoshe, vile ni vitabu tu yeyote anaweza akachakachua. Au ulitaka mtu akibadilisha maneno apigwe radi 😀 Maneno yake Mungu amekuja kuyakamilisha ndani ya Quran. Kitabu kilichokuja kuwadhalilisha wakiristo na mayahudi waliokuwa wanazusha juu ya mitume wa mungu na maamrisho yake.

Quran imeshatwambia kuhusu Mungu na imetufundisha jinsi mitume walivoishi. Sasa unapokuja na aya kwenye bibilia isemayo Lut amefanya ngono na watoto wake, basi ni rahisi kujua kama huo ni uzushi mtupu.

Lete snapshot ya hapo alipoweka Bibilia mahala pa watu wa kitabu. Kwa taarifa yako, katika uislam hatufuati mkumbo kama nyie, mkienda kanisani mnachoambiwa ndo icho icho. Sisi tunaweza kuchallenge. Sasa lete hio snapshot niione. Achilia Injili za wafuasi wa Yesu, sisi tumefundishwa kuna Injil kashushiwa Issa na Mungu. Sio injil zenu ambazo hamuna uhakika nani kaziandika.
Unamdhalilisha allah mkuu kwa maneno yako.
Yaani hana uwezo wa Kulinda vitabu vitatu na anauwezo wa kimoja tu.
Cha ajabu huyohuyo Allaha anawata muviamini, muwaulize walivyo navyo wakati huohuo havipo na wanaoviamini hamuajui. Nyie wafuasi wake nao hamna.

Mnaamini hewa mkuu.
Huoni kama allaha hapo anajichanganya.
Ukweli ni Kwamba Vipo na Nni Bibilia hiiihii unayotumia kujenga hoja kutetea uislam bila mafanikio
 
hiyo kauli ya Yesu umeitoa kwenye kitabu gani ikiwa unasema havipo.
Huoni unaonyesha udhaifu kusema Mungu hana uwezo wa Kutunza kumbukumbu zake.
Yaani unawafanya wanadamu kuwa na uwezo kumzidi Mungu.
Huyo Allah unamdhalilisha mkuu. hapo unaonaje
Kauli hio ya Yesu haikutoka kwenye Injili ya Yesu, bali kutoka kwenye vitabu vya watunzi wengine. 🙂

Hakuna mahali niliposema kuwa Mungu hana uwezo wa kutunza kumbukumbu. Mungu hakuahidi kutunza ivo vitabu. Au kama ipo hio ahadi basi tuletee tuione.
 
Suicide tu.

Sijui unasubiri usotoa shahada kuwa Allah ndie Mungu wa kweli.

Eti mwana wa Mungu. Hamujui ata mnaamini nini. Mara Yesu Mungu, Mara mwana wa Mungu, mara mtumishi. Ahahahaah wamishinari wamewavuruga kwa kweli 😀

😀 😀 😀 Mungu anakufa DUH!
Mkuu unajichanganya wewe tu, Maelezo ninayokupa ni manyoofu, yako wazi na ukiyaamini Utaokoa maisha yako, famillia yako na watakao kusikia.
Yesu ni Mwana wa Mungu ambaye ni Mungu. Uungu wote unayeye sawa na Baba yake ambaye tumekubaliana kuwa sio Yusufu bali ni yule aliyesema '' Huyu ni mwanangu mpendwa ninayependezwa naye''. Yesu kamtaja day One hadi anapaa.

Kuja kama binadamu kusikutishe,
 
Hapa cha kushangaza wewe unaabudu mungu ambae kumbe anaweza kufa, mungu ambae anamuomba mungu mwengine, huu si upofu?

Hayo majini yanakuchekeni nyie mnaowakataa kuwa viumbe wa Mungu lakini mnakubali kama wapo, mkiulizwa muumbaji wa Majini nani sijui mtajibu nini 😀?
Hakuna kitu ambacho shetani amefanikiwa kuchezesha kwasakwasa nyie kama imani hiyo ya majini.
Huelewi jini kawa mwema lini kawa mbaya nili, kasilimu au kadanganya.
Yanawafanya wengi kuwa watumwa na kushusha kabisa viwango vyao vya Kibinadamu.
Hapa yanatamani hata yaniue nisikufungue hapo yalipokufunga 😀😀

mkuu jipe moyo bana, wewe nakuaminia unauelwa mpana, usirubuniwe na concept ambazo hata mtoto mdogo anaona kabisa hapo ni mtegoni
 
Back
Top Bottom