G.Jacob
Reaction score
2,991

Profile posts Latest activity Postings About

 • Shukurani na pole kwa kuchelewa kukupa mrejesho mkuu...utakapo kwama usisite kuuliza
  Ujenzi wa aina hii hupunguza gharama kwa aslimia 6 hadi 10 ya gharama zote na wanautumia sana wajenzi wa Canada
  Ukimaliza paka gypsum powder kuziba mashimo na kureta mvuto wa ukuta kisha paka rangi kuta zako za ndani
  Tandika mbao zako na anza kusimamisha kwa kufuatana na ramani ya mgawanyo wa vyumba kisha anza kufunga gypsum board kwa kutumia screw
  Ukimaliza rudi ndani(interior sections), mahitaji: mbao 4x4, gypsum board, gypum powder, rangi, misumari 4inches, gypsum screw
  Anza kuinua ukuta ule wa nje tu(the main/superstructure wall) hadi unaumaliza kabisa usawa wa kuezeka, paua na kuezeka kabisa
  Chimba msingi kufuata mchoro/ramani uliyonaayo na ujenge hadi kufikia unapoishia kulingana na maelezo ya mchoraji wako
  Mkuu hiyo gypsum board inakuwaje? Privacy bado itakuwepo? Mi nampango Wa kujenga Nyumba za kupangisha, nawezaje kusave money kwenye ujenzi?
  Shukran
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top