Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Msenge wenu huyo Nabii Tito mwengine [emoji12][emoji12][emoji12]

'I didn't feel the need to say 'I am gay'': Christian 'Prince' has told News Corp's Balls Deep podcast that he's never came out to his famous father Richard
He further added: 'If you need to come out or you want to come out, then come out but you shouldn't have to'.

Mumeanza propaganda[emoji23][emoji23]
 
Mungu awe na fudu lililozungukwa na minywele, likamatwe na binadamu, linyofolewe govi , avalishwe Pampers, atawazishwe mavi, acheze mdako na watoto wenzake
Hivi hii ni akili gani ??

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Punguza resolution ili bandle lisiende sana[emoji23][emoji23]
 
1.Yesu ni mwana wa Mungu Na mwokozi
2. Yesu sio Mungu muweza wa yote Na utatu mtakatifu ni maneno ya watu walio vimbiwa makande maana hakuna hoja yeyote kimaandiko

Huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova walio swaaaaafiii kabisa, angalau hawa wanajimbua sanaaaa
Tutajie Mwanadamu mmoja anaeitwa MWOKOZI ZAIDI YA YESU!
allah anasema Anae Okoa ni Mmoja tu!
[emoji116][emoji116]
أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ

[ AZZUMAR - 19 ]
Je! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto?
 
Mumeanza propaganda[emoji23][emoji23]

Mungu awe na fudu lililozungukwa na minywele, likamatwe na binadamu, linyofolewe govi , avalishwe Pampers, atawazishwe mavi, acheze mdako na watoto wenzake
Hivi hii ni akili gani ??
 
Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Kama shababi tamka ufe kafiri[emoji35]
Hakupa Wepesi ufe kafiri[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Jibu unaloulizwa

Nakupa Wepesi iliufe kafiri[emoji35]

Hakuna Mkristu asiyemtambua Yesu Kristu kuwa ni Mungu,kama yupo aseme nimuonyeshe kanuni ya imani ya kanisa lake.

Ukristu umejengwa kwenye msingi wa kumtambua kuwa Yesu ni Mungu kinyume na hapo hizo ni cults tu siyo dhehebu la kikristu.

Hoja zako ni dhajfu sana, unataka kusema Mungu angetaka kuja duniani na kuishi kama binadamu angeshindwa? Kama angeweza ugumu wa kuamini kuwa alikuja upo wapi?

Jipe moyo tu

Wewe mwenyewe unajua kuwa kuamini YESU ni Mungu ni ujinga
 
Jibu unaloulizwa

Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]
HUO ndio Wepesi iliufe kafiri kuliko hicho unacho post post...[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unafata mashahidi wa Yehova sasa hivi nikuongoze katika swala ya toba???

Au bado hujakubali kristo kuwa mwokozi wako bado???
Kwani hapa ni kufata au majadiliano, jambo la msingi nimethibitisha pasi na shaka kuwa wapo wakristo ambao HAWAAMINi kuwa yesu anaweza kuwa Mungu na vile vile wapo ambao HAWAAMINI kuwa kuna utatu mtakatifu, hili jambo nimelithibitisha humu kwa ushahidi usio na shaka

D01F3FC5-08D8-431A-8B50-EAEB57E9DCCF.jpeg
 
Tutajie Mwanadamu mmoja anaeitwa MWOKOZI ZAIDI YA YESU!
allah anasema Anae Okoa ni Mmoja tu!
[emoji116][emoji116]
أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ

[ AZZUMAR - 19 ]
Je! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto?
Kumbe akili imekukaa sawa, Mashahidi wa Yehova hawana tabu na uokozi wa Yesu ni jambo la kawaida ila Uungu hana hata wa kubambikiwa , hivyo sio kila Mkristo unaweza ukamwambia Yesu ni Mungu akakubali hizo propaganda wapo timamu kama mashahidi wa Yehova ambao WAMEKATAA hata utatu mtakatifu kuwa ni UZUSHI

A9180FD6-AB92-4EDA-8E67-B77484BC095D.jpeg
 
Kwani hapa ni kufata au majadiliano, jambo la msingi nimethibitisha pasi na shaka kuwa wapo wakristo ambao HAWAAMINi kuwa yesu anaweza kuwa Mungu na vile vile wapo ambao HAWAAMINI kuwa kuna utatu mtakatifu, hili jambo nimelithibitisha humu kwa ushahidi usio na shaka

View attachment 2641704

Hakuna mkristo anayeamini huo ujinga,huo ujinga ni wa Muhamad peke yake.

Mashahidi wa Yehova wanachokataa ni Yesu kuwa Mungu kwamba Mungu aliiacha mbingu peke yake akaja huku,hicho kitu hakipo.

Wana haki ya kuukana utatu lakini as long as wanasema Yesu ni mwana wa Mungu mkombozi wao,wako pale pale,wewe unayesema Yesu si Mungu wala si mwana wa Mungu utachunwa ngozi ndipo uchomwe.

Ndio nauliza sasa unampokea kristo kupitia wasabato au mashahidi wa jehova au RC chagua moja nikuongoze ktk toba.
 
Wewe jamaa ni kichaa kumbe hawa mashahidi wa Yehova ni wahindu? wamekataa utatu mtakatifu unawalazimisha watu?
 
Kumbe akili imekukaa sawa, Mashahidi wa Yehova hawana tabu na uokozi wa Yesu ni jambo la kawaida ila Uungu hana hata wa kubambikiwa , hivyo sio kila Mkristo unaweza ukamwambia Yesu ni Mungu akakubali hizo propaganda wapo timamu kama mashahidi wa Yehova ambao WAMEKATAA hata utatu mtakatifu kuwa ni UZUSHI

View attachment 2641706
Hao ni Kama ww!

Tutajie Mwanadamu mmoja anaeitwa MWOKOZI ZAIDI YA YESU!
allah anasema Anae Okoa ni Mmoja tu!
[emoji116][emoji116]
أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ

[ AZZUMAR - 19 ]
Je! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto?

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hao ni Kama ww!

Tutajie Mwanadamu mmoja anaeitwa MWOKOZI ZAIDI YA YESU!
allah anasema Anae Okoa ni Mmoja tu!
[emoji116][emoji116]
أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ

[ AZZUMAR - 19 ]
Je! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto?

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Mashahidi wa Yehova sio waislamu ni wakristo wenzako sasa wanakuwaje kama mimi? jamani msilazimishe watu imani za kipotofu , UTATU mtakatifu ni uzushi huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova
 
Sikukazimiahi nakufundisha utatu na maana yake.

Embu nenda kaulize wanaeleza nini kuhusu roho mtakatifu halafu uje uniambie.
Umeshindwa kuwafundisha mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100 hapa duniani, ebu acha vichekesho
 
Back
Top Bottom