ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Wewe ulitaka ushahidi nimekupa lazima tukubaliane kuwa kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova, utatu mtakatifu ni jambo la mdomoni ambalo halina HOJA kimaandikoNimeandika huko juu hakuna andiko la utatu,una scrow tu???na ndio hoja yao.