Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mimi nasoma na kuelewa ,wewe unajua kusoma peke yake???

Andiko linasema Yesu sio Mungu muweza wa yote,ila ni Mungu gani??

Omba maelezo,usikatae utatu.
Mashahidi wa Yehova wanaposema “HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU” hivi kuna neno gumu hapa kueleweka !!!
 
Kweli kabisa hakuna yohana wala luka inayosema kuna utatu mtakatifu,mimi nataka nikuonyeshe ulipo utatu,ila kwa maswali.
 
Tuna kubaliana kwanza kuwa Mashahidi wa Yehova hawatambui utatu kama ushahidi ulivyo letwa?
 
Wanautambua na wanauishi,wanachotafuta ni andiko lake ndio halipo rasmi.
Mzee mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100, kwahiyo miaka 100 yote wanalitafutia wapi?ahahaha utatu ni jambo la kuunga unga halina hoja kwa mujibu wa JW
 
Wewe huutaki??basi njoo nikufundishe hata uwe mfuasi wa mashahidi wa yehova,sio lazima uwe RC wa utatu,unasemaje.
Mimi huwezi kunifundisha uzushi mzee jambo ambalo hata mashahidi wa Yehova wamethibitsha kuwa hakuna HOJA
 
Mzee mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100, kwahiyo miaka 100 yote wanalitafutia wapi?ahahaha utatu ni jambo la kuunga unga halina hoja kwa mujibu wa JW

Hata andiko la kutooa wake wengi halipo ktk biblia lakini mashahidi hawavuki 1 waulize wanatumia logic gani.

Utagundua wewe ndiye huwaelewi.
 
Mimi huwezi kunifundisha uzushi mzee jambo ambalo hata mashahidi wa Yehova wamethibitsha kuwa hakuna HOJA

Kuna uzushi zaidi ya huu kaka
IMG_2015.jpg

Yaani tuanze kufundishana uzushi tena!!!
 
Hata andiko lankutooa wake wengi halipo ktk biblia lakini mashahidi hawavuki waulize wanatumia logic gani.
Naona una puyanga tu , nimeweka kila kitu sawa kwa ushahidi kuwa wapo wakristo ambao hawaamini kuwa Yesu ni Mungu wala hawaamini utatu mtakatifu
 
Hakuna wakristo wanaoamini huo uxenge wa Muhamad na Allah aliyemtuma.

Wewe unasoma huelewi,andiko limekolezwa kwamba hawaamini katika Yesu kuwa Mungu muweza wa yote,na hakuna mkristo anayemini hilo.

Ndio maana kuna utatu mtakatifu.
 
Hawa mashahidi wa Yehova ni waislamu kumbe siku hizi

8D42690F-857F-4209-96D6-96267B5A2A1C.jpeg
 
Back
Top Bottom