Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mashahidi wa Yehova sio waislamu ni wakristo wenzako sasa wanakuwaje kama mimi? jamani msilazimishe watu imani za kipotofu , UTATU mtakatifu ni uzushi huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova

Wewe unaamini Yesu ni Mungu,mwana wa Mungu ama nabii??
 
Jibu swali basi.

Mbona unaruka ruka??si unataka kufundishwa au unataka ubaki na upumbavu wako??
Hapa tunajadili tofauti ya madhehebu sasa utanifundisha nini wakati ulikuwa ujui kuwa hata utatu ni uzushi kwa mashahidi wa Yehova, huna vigezo vya kuwa mwalimu umekariri
 
Wako karibu vip wakati wanakuona wewe mzushi Na imani yako ya utatu

Wewe unaogopwa kusemwa mzushi au unashikiria ulicho nacho[emoji23][emoji23].

Sisi mbona tunaona Allah na Muhamad ni kyande na bado umekaza huko huko???
 
Hapa tunajadili tofauti ya madhehebu sasa utanifundisha nini wakati ulikuwa ujui kuwa hata utatu ni uzushi kwa mashahidi wa Yehova, huna vigezo vya kuwa mwalimu umekariri

Si kwamba nilikuwa sijui.

Mimi najua kuliko unavyojua wewe,shida ni kwamba ninachokuelewesha ni kikubwa kuliko akili yako.
 
Wewe unaogopwa kusemwa mzushi au unashikiria ulicho nacho[emoji23][emoji23].

Sisi mbona tunaona Allah na Muhamad ni kyande na bado umekaza huko huko???
Sasa wewe shikilia ila usilazimishe kila mkristo hakubali kuwa kuna utatu huo ni uzushi kwq wengine
 
Tuna zungumzia mashahidi wa Yehova sio mimi mbona umekuwa mjinga hivyo

unasahau haraka hapa ni madhehebu sio mimi usipagawe

Wewe ndio mjinga umekomaa na mashahidi wa jehova na haukubaliani nao!!!

Mimi nakubaliana nao bado hutaki.
 
Si kwamba nilikuwa sijui.

Mimi najua kuliko unavyojua wewe,shida ni kwamba ninachokuelewesha ni kikubwa kuliko akili yako.
Huna unalo jua ndio maana ulitaka ushahidi ukijua sina , umekutana na panga la mashahidi wa Yehova sasa unaruka ruka tu
 
Sasa wewe shikilia ila usilazimishe kila mkristo hakubali kuwa kuna utatu huo ni uzushi kwq wengine

Wapi nimelazimiaha mtu kuukubali utatu umevimbiwa wewe[emoji28][emoji28][emoji28]

Si toka mwanzo nakwambia hakuna andiko la utatu!!!
 
Huna unalo jua ndio maana ulitaka ushahidi ukijua sina , umekutana na panga la mashahidi wa Yehova sasa unaruka ruka tu

Wewe sio shahidi wa yehova unajua nini kuhusu hilo andiko??

Hata nikikwambia ipi sababu ya kuwepo hilo dhehebu hujui.
 
Wewe ndio mjinga umekomaa na mashahidi wa jehova na haukubaliani nao!!!

Mimi nakubaliana nao bado hutaki.
Mimi kazi yangu ilikuwa kukuonyesha sio kila mkristo ana amini UUngu wa Yesu au nafsi tatu , elimu hii , siku nyingine kuwa na adabu ukijadiliana na walio kuzidi
 
Mashahidi wa Yehova sio waislamu ni wakristo wenzako sasa wanakuwaje kama mimi? jamani msilazimishe watu imani za kipotofu , UTATU mtakatifu ni uzushi huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova
Na wao wanakwambia ww Sio Muislamu!
Qadian Sio Wakristo ni waislamu wenzako!
Ili uwe Muislamu lazima upige shahada kama maqadian wafanyavyo....

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Wewe sio shahidi wa yehova unajua nini kuhusu hilo andiko??

Hata nikikwambia ipi sababu ya kuwepo hilo dhehebu hujui.
Mimi nimekupa msimamo wa dhehebu husika, lipo zaidi ya miaka 100 , ebu acha maswali ya kitoto
 
Back
Top Bottom