Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mungu awe na fudu lililozungukwa na minywele, likamatwe na binadamu, linyofolewe govi , avalishwe Pampers, atawazishwe mavi, acheze mdako na watoto wenzake
Hivi hii ni akili gani ??
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nakupa Wepesi ufe kafiri[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2641327
Msingi namba 3, mashahidi wa Yehova hawamtambui Yesu kama Mungu , hata huo utatu mtakatifu ni uzushi mtupu , jamaa wana jitambua sana hawaView attachment 2641327

Yes wanajitambua sana,wewe ndio umedandia treni kwa mbele hujui hata linakwenda wapi[emoji23][emoji23][emoji23].

Hawamtambui Yesu kama Mungu mweza wa yote,si ni RC wanaosema kuna utatu mtakatifu??mbona haihitaji rocket science hapa ni akili za kawaida kabia!!!
 
Mashahidi wa Yeshova kupitia andiko lao wanasema hawaamini kwamba Yesu ni Mungu mweza wa Yote,haya twende kwenye utatu mtakatifu sasa na hoja hii ya mashahidi wa yehova.

Mungu baba,Mungu mwana,roho mtakatifu.

Umeelewa maana ya utatu mtakatifu au mpaka tutumie maji ya zam zam kukutawadha???
Wewe ni kichaa wameandika hapo HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU , halafu unaleta tena habari ya Mungu mwana !!! Soma tena msingi namba 3 niendolee wazimu

0897D256-4C09-48C0-8252-E6C56B6C3FF5.png
 
Yes wanajitambua sana,wewe ndio umedandia treni kwa mbele hujui hata linakwenda wapi[emoji23][emoji23][emoji23].

Hawamtambui Yesu kama Mungu mweza wa yote,si ni RC wanaosema kuna utatu mtakatifu??mbona haihitaji rocket science hapa ni akili za kawaida kabia!!!
Wewe jitoe akili Mashahidi wa Yehova wanamtambua Yesu kama mwokozi wao na mwana wa Mungu sio vinginevyo , HAWATAMBUI UTATU wala upili wa Mungu , soma tsna
 
Attachments

  • 6CF200CB-2156-4A41-8582-D4A89D43E329.png
    6CF200CB-2156-4A41-8582-D4A89D43E329.png
    111 KB · Views: 6
Wewe ni kichaa wameandika hapo HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU , halafu unaleta tena habari ya Mungu mwana !!! Soma tena msingi namba 3 niendolee wazimu

View attachment 2641334

Kichaa mtume wako na Allah aliyemtuma.

Hakuna andiko lililoutaja hii haifanyi utatu kutokuwepo,utatu unajieleza ktk biblia ila haujatajwa,sasa shida yako ni nin!!!!
 
Umetaka ushahidi wa mashahidi wa Yehova umepewa , Yesu ni mwokozi na mwana wa Mungu sio Mungu. hawatambui Utatu wako huo usiwalazimishe mzee
 
Wewe jitoe akili Mashahidi wa Yehova wanamtambua Yesu kama mwokozi wao na mwana wa Mungu sio vinginevyo , HAWATAMBUI UTATU wala upili wa Mungu , soma tsna

Utatu hata wasabato hawautambui.

Lakini kumwita mwana wa Mungu unaunga mkono hoja ya utatu ya RC,huwezi elewa maana kichwa kimejaa uji.
 
Unawalazimisha wamekwambia HAWATAMBUI UTATU , wewe unalazimisha kitu gani lakini, kiswahili kimekuwa kigumu sana
 
Umetaka ushahidi wa mashahidi wa Yehova umepewa , Yesu ni mwokozi na mwana wa Mungu sio Mungu. hawatambui Utatu wako huo usiwalazimishe mzee

Hawa hawapingani na utatu wala uungu wa Yesu,wanasema Yesu sio Mungu muweza wa kila kitu.

Kwani si kila siku tunawaambia Yesu katika mwili hapa duniani alikuwa limited kwa baadhi ya mambo!!!

Kwa vile ni kuimbia nyimbo nzuri mbwa,hakuna feedback.
 
Sijawalazimisha nakuelewesha wewe.

Kama hutaki useme"sitaki kuelewa"
Mimi sio shahidi wa Yehova , huo ndio msimamo na imani yao kuwa Yesu sio Mungu na utatu mtakatifu ni Uzushi tu , na bahati nzuri hawa ni wakristo vile vile , waelimishe hao kwanza wafute haya maandishi ndio uje kwangu

1381DF49-A100-41B2-8016-A9FAA05773F6.jpeg
 
Hawa hawapingani na utatu wala uungu wa Yesu,wanasema Yesu sio Mungu muweza wa kila kitu.

Kwani si kila siku tunawaambia Yesu katika mwili hapa duniani alikuwa limited kwa baadhi ya mambo!!!

Kwa vile ni kuimbia nyimbo nzuri mbwa,hakuna feedback.
Wewe jamaa una shida gani hujui kusoma

3ECB0037-ECB5-42EC-B44F-8DC26EF0A8F0.jpeg
 
Mimi sio shahidi wa Yehova , huo ndio msimamo na imani yao kuwa Yesu sio Mungu na utatu mtakatifu ni Uzushi tu , na bahati nzuri hawa ni wakristo vile vile , waelimishe hao kwanza wafute haya maandishi ndio uje kwangu

View attachment 2641342

Wao wanajua,wewe ndiye nataka nikutoe kule kwa Allah na msela wake uje uchague Yesu kuwa mwokozi wako ama Mungu wako.

Uko tayari??
 
Hakupa Wepesi ufe kafiri[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
 
Wao wanajua,wewe ndiye nataka nikutoe kule kwa Allah na msela wake uje uchague Yesu kuwa mwokozi wako ama Mungu wako.

Uko tayari??
Wanajua kuwa ‘YESU SI MUNGU’ na ‘HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO LA UTATU’ na mimi najua hivi nenda kawaelekeza hawa wafute hili jambo
 
Sasa mimi nataka nikufundishe utatu kwa maandiko na mtindo wa mswali, uko tayari??
 
Back
Top Bottom