Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mungu anayeapa ni wa Biblia na Queen wake wa Heaven

The Bible's claims:

Below we'll see GOD Almighty supposedly swearing by the Pride of Jacob. But let us first look at the following verses from the Bibles:

Hebrews 6:12-14
12 We do not want you to become lazy, but to imitate those who through faith and patience inherit what has been promised.
13 When God made his promise to Abraham, since there was no one greater for him to swear by, he swore by himself,
14 saying, "I will surely bless you and give you many descendants."

Genesis 22:15-17
15 The angel of the LORD called to Abraham from heaven a second time
16 and said, "I swear by myself, declares the LORD, that because you have done this and have not withheld your son, your only son,
17 I will surely bless you and make your descendants as numerous as the stars in the sky and as the sand on the seashore. Your descendants will take possession of the cities of their enemies,

Here the Angel reveals to Abraham what GOD Almighty instructed the Angel to reveal to Abraham. GOD Almighty swore upon Himself to bless Abraham, peace be upon him.

Jeremiah 22:4-5
4 For if you are careful to carry out these commands, then kings who sit on David's throne will come through the gates of this palace, riding in chariots and on horses, accompanied by their officials and their people.
5 But if you do not obey these commands, declares the LORD, I swear by myself that this palace will become a ruin.' "

Jeremiah 44:15-18, 25-27
15 Then all the men who knew that their wives were burning incense to other gods, along with all the women who were present—a large assembly—and all the people living in Lower and Upper Egypt, said to Jeremiah,
16 "We will not listen to the message you have spoken to us in the name of the LORD!
17 We will certainly do everything we said we would:We will burn incense to the Queen of Heaven [1] and will pour out drink offerings to her just as we and our fathers, our kings and our officials did in the towns of Judah and in the streets of Jerusalem. At that time we had plenty of food and were well off and suffered no harm.
18 But ever since we stopped burning incense to theQueen of Heaven [1] and pouring out drink offerings to her, we have had nothing and have been perishing by sword and famine."
............
25 This is what the LORD Almighty, the God of Israel, says: You and your wives have shown by your actions what you promised when you said, 'We will certainly carry out the vows we made to burn incense and pour out drink offerings to the Queen of Heaven[1].'
"Go ahead then, do what you promised! Keep your vows!
26 But hear the word of the LORD, all Jews living in Egypt: 'I swear by my great name,' says the LORD, 'that no one from Judah living anywhere in Egypt will ever again invoke my name or swear, "As surely as the Sovereign LORD lives."
27 For I am watching over them for harm, not for good; the Jews in Egypt will perish by sword and famine until they are all destroyed.

Jeremiah 49:12-13
12 This is what the LORD says: "If those who do not deserve to drink the cup must drink it, why should you go unpunished? You will not go unpunished, but must drink it.
13 I swear by myself," declares the LORD, "that Bozrah will become a ruin and an object of horror, of reproach and of cursing; and all its towns will be in ruins forever."

Notes:

1- Queen of Heaven here is not referring to the virgin Mary, peace be upon her. According to Nelson's Compact Bible Commentary, ISBN 10: 0-7852-5249-5, pages 543-544:

"44:15-17 The people countered Jeremiah's words with an argument from experience. They rejected God by saying that when they worshiped the queen of heaven - that is,the goddess Ishtar or Astarte, they had plenty of food, were well off, and saw no trouble.

44:18 Queen of heaven refers to Ishtar, a goddess of war and fertility who was worshiped with explicit sexual activity. The people reasoned that when they stopped worshiping the queen of heaven in the days of Josiah's reform, their king was killed and their land was overrun and destroyed."

Amos 8:7 (RSV)

7 The Lord has sworn by the pride of Jacob: “Surely I will never forget any of their deeds
C&P tunachoka kusoma,na kibaya zaidi hu acknowledge source
 
Hapo nilipo nukuu Gavana, kamdhihaki Yesu.
Mbona sijawahi kumsikia Mwislamu akimdhihaki Isa ?

Halafu mnajifanya Isa ndio Yesu.
Mkitaka kutukana mnamtukana Yesu mkitaka kusifu mnamsifu Isa.

Halafu ngoja nikuambie kitu.
Yesu ni Mwana wa Mungu na sio Mtoto wa Mungu.

Muhammadi alishindwa kufahamu hizo tofauti.
Aliposikia neno Mwana akadhani ni Mtoto.
Ndio akashangaa na kuuliza vipi Mungu awe na Mtoto hali hana mke ?

Pia hapo alibugi vilevile, Mungu akitaka kupata mtoto sio lazima awe na mke kama Mwanadamu.
Kwani Binadamu wa kwanza Adamu na Hawa ni ni watoto wa nani ?

Muhamadi alikuwa 0 kwenye neno la Mungu. Ni 0 kabisa. Yaani Zero

Hakuna mahali kwanye Biblia
Yesu kaitwa Mtoto wa Mungu.

Muhammadi Biblia ilimchanganya sana badala ya kuuliza alijifanya mjuaji.
Kijana nimekwambia sisi hatumtukani Yesu tunatoa taarifa kila waandishi walivyo andika , maana kwa maelezo ya waandishi kuna Yesu zaidi ya mmoja sasa tumemtukana yupi? Hata mda wa kusulubiwa una tofautiana sasa hiyo shida ya Yesu au waandishi? acha kuchannga mambo
 
Kama una jibu lako mfukoni tuwekee!

MIMI NIMESHA KUJIBU KWAMBA KAMA AKITAKA KUWA HIVYO HASHINDWI!
ILA HAJATUFUNULIA!; YALE ALIYO TUFUNULIA TUNAFUNDISHA WATOTO WETU NA JAMII KWA JUHUDI![emoji123][emoji106]
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 29:29
[29] Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii.

Mungu wangu ATAKALO HUWA!
[emoji116][emoji116]
ما يريده هو
ma yuriduh hu
Atakalo huwa

Namimi Nimekubaliana na ww kwamba mungu wako hana uwézo na mimi nimekazia qauli yako kwa kuweka Ushahidi huu kuwa mungu wako hana Uwezo hadi ameomba dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi akapotezewa bado wanadunda!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
[emoji56][emoji15][emoji12]

Anaapia kwa aliye Umba dhakar na kile cha kike![emoji56][emoji2299][emoji2957]
[emoji116][emoji116]

وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ

(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!

[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ

(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!

وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ

(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kuwa hivyo vip nyoosha maelezo , Yesu anaweza kujigeuza mwanamke na kupigwa mimba na masela ?na utuambie Yesu anaweza kuwa SHOGA vile vile ukifunuliwa? acha kukimbia kimbia utaumia
 
Kuwa hivyo vip nyoosha maelezo , Yesu anaweza kujigeuza mwanamke na kupigwa mimba na masela ?na utuambie Yesu anaweza kuwa SHOGA vile vile ukifunuliwa? acha kukimbia kimbia utaumia
Nitumie lugha Gani kukujibu!
Usituletee Humu stress zako za Nikah halala[emoji849][emoji12]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kijana nimekwambia sisi hatumtukani Yesu tunatoa taarifa kila waandishi walivyo andika , maana kwa maelezo ya waandishi kuna Yesu zaidi ya mmoja sasa tumemtukana yupi? Hata mda wa kusulubiwa una tofautiana sasa hiyo shida ya Yesu au waandishi? acha kuchannga mambo
Yesu au Issa?
 
Maswali bado yapo

-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Hujaleta Aya Yesu alisema Mimi nimevaa mwili wa mwanadamu na ni mungu, unakimbia kwa kuleta swali nililokujibu😜😜😜
 
Mbona mnashindwa kupangua hoja ata moja ,

Kuna mbusu jiwe mwenzako kaisha kulaani tu
Hakuna wa kunilaaani abadani isipokua Allah na wazazi wangu na hakuna hoja ambayo siwezi kuijibu kutoka kwa mkristo yeyote duniani aliesoma hata phd ya dini.nasema hakuna...

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Uislamu una content nyingi kiasi gani hadi nisiufahamu?,Kuruhani yenu haina vitu vingi kiasi kwamba ndani ya muda mfupi naisoma na kuimaliza,tofauti na Ukristo ulisheheni utajiri wa mambo Matakatifu.
Content hizo hizo ndio maana Kwenye Quran Mungu anasema anaongea na wenye kufikiri..Hilo neno limetajwa sna Katia kitabu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna wa kunilaaani abadani isipokua Allah na wazazi wangu na hakuna hoja ambayo siwezi kuijibu kutoka kwa mkristo yeyote duniani aliesoma hata phd ya dini.nasema hakuna...

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Weka ushahidi Allah anampa Utume Muhammad kama alivyompa Musa!
Ref!;
[emoji116][emoji116]
وَهَلْ أَتَىٰكَ حَدِيثُ مُوسَىٰٓ ﴿٩﴾
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?

إِذْ رَءَا نَارًۭا فَقَالَ لِأَهْلِهِ ٱمْكُثُوٓاْ إِنِّىٓ ءَانَسْتُ نَارًۭا لَّعَلِّىٓ ءَاتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى ٱلنَّارِ هُدًۭى ﴿١٠﴾
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.

فَلَمَّآ أَتَىٰهَا نُودِىَ يَٰمُوسَىٰٓ ﴿١١﴾
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!

إِنِّىٓ أَنَا۠ رَبُّكَ فَٱخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِٱلْوَادِ ٱلْمُقَدَّسِ طُوًۭى ﴿١٢﴾
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.

وَأَنَا ٱخْتَرْتُكَ فَٱسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰٓ ﴿١٣﴾
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
 
Kwanza anza na Huu ushahidi wa kulitoa govi la ukafiri akilini mwako

Laana ya Sheria​

Paulo alikuwa na sababu nyingine kuhusiana na msimamo wake juu ya sheria ya Mwenyezi Mungu.

Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu "aliyetundikwa katika mti"--- kwa maneno mengine aliyesulubiwa "amelaaniwa na Mungu".

Ili kulinda hoja yake kuwa Yesu alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu, na kwa sababu sheria inasema aliyesulubiwa amelaaniwa, Paulo aliamua kuiponda sheria kwa kusema:

"Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na sheria, wako chini ya laana. --- Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajiliyetu; maana maandiko yasema "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa". (Wagalatia 3:10:13)

Kwa sababu Paulo aliiona sheria ya Mungu kuwa ni laana, hivyo maneno ya Mungu katika kumbukumbu la Torati 21:23 hayakuwa na maana yoyote.

Alipotosha maneno ya aya hii kwa kusema kuwa kwa sababu Yesu alipatwa na laana kwa kuwa aliuliwa kwa kusulubiwa msalabani na kwa vile yeye hakuwa na hatia, aliibeba laana hii kwa sababu ya dhambi za wengine.

Na kwa sababu hii (Yesu) hakuwa na chembe chembe zozote za aibu au udhahili unaotokana na laana.

Alilofanya Paulo hasa ni kulipa utukufu jambo ambalo awali lilikuwa linaonekana ni la aibu sana (kutundikwa msalabani) ili aweze (Paulo) kutetea imani aliyoanzisha kwamba uokovu umepatikana kwa sababu ya kusulubiwa na kufa kwa Yesu kwa kudai kuwa kutundikwa kwake msalabani (Yesu) hakukumletea aibu yoyote japo sheria haikubaliani na wazo hili.

Anis Shorrosh anasema: "Msalaba, alama ya aibu, kupitia kwa Yesu ulibadilika na kuwa changamoto. Msalaba, uliokuwa alama ya kifo, kupitia kwa Yesu, ulibadilika na kuwa alama ya uhai".

Kwa sababu ya upinzani mkali kutoka kwa wanafunzi wa Yesu, Paulo alilazimika kwenda pole pole katika utekelezaji wa jambo hili.

Alianza na kitu kimoja ambacho watu wa mataifa walikipinga sana, yaani kutahiri (tohara).

Kwa mujibu wa Paulo, Ibrahimu alikuwa mwongofu hata kabla ya kutahiriwa, sasa kwa nini watu waendelee kusumbuliwa kwa kuwataka watahiriwe?

Paulo aliuupuza ukweli kwamba Mungu alikuwa ameweka agano hili mamia ya miaka kabla ya kuja Ibrahim.

Kwa upande wake Nabii Ibrahim alipewa amri hii kutoka kwa Mungu juu ya kuwatahiri watoto wa kiume wote kuanzia wa zama zile na wote ambao watafuatia baadaye katika kitabu cha Mwanzo 17:14, Mungu aliliweka wazi jambo hili:

"Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu".

Mtu anaweza kushangaa vipi Paulo aamue kuyafuta maneno haya ya Mungu bila uoga wowote.

Ubatizo ulichukua nafasi ya tohara (kutahiri), kumwagiwa maji sasa kumefanywa kuwa ndio alama ya agano baina ya Mungu na Mkristo.

Watu wa mataifa walifurahia sana mabadiliko haya yaliyofanywa na Paulo.

Baada ya hili alianza kufanya mabadiliko katika uhalali na uharamu wa vyakula, na masuala mengine yalifuatia moja baada ya jingine.

Ndani ya muda mfupi, sheria ya Mwenyezi Mungu haikuonekana tena kuwa ni mwongozo, unaostahiki kufuatwa katika maisha ya kila siku bali lililokuwa muhimu ni tu kuwa na imani kuwa Yesu aliteswa na hatimaye kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu.

Hii ilikuwa inatosha kabisa kwa uokovu na sio kufuata sheria ya Mungu.

Kwa mujibu wa Paulo, suala la kufanya matendo mazuri kwa Mkristo linaweza tu "kuja lenyewe".

Na muhimu zaidi kwa mkristo ni kuelewa kwamba vitendo vizuri peke yake haviwezi kumfanya mtu aokoke hata kidogo.

Jambo pekee linaloweza kumfanya mtu aokoke ni imani juu ya uwezo wa Yesu wa kuokoa na kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zetu ili tupate kuokoka - imani hii peke yake inatosha kumfanya mtu aokoke na adhabu ya moto wa jahanamu.
 
Qaraa haihitajiki kufikiri Ilaha Kukariri...

Paulo Alifanikiwa kwa Kukamilisha Jambo Gani ?​

Paulo iliwapatia wakristo wapya imani ya wokovu kwa imani peke yake kwa sababu kubwa moja:

Kupata wafuasi miongoni mwa watu wa mataifa.

Watu wa mataifa walikuwa wamechunguza matendo mbali mbali ya kidini yaliyokuwa yanafanywa na Wayahudi lakini walikuwa wanasita kuukubali ukristo kwa sababu ya kuepuka miongozo na kanuni katika sheria ya Musa.

Imani na msingi huu wa mwisho yaani kuokoka kwa imani peke yake, imani ya kumwamini Yesu, ilikuwa ni imani kubwa na muhimu sana kuliko zote iliyobuniwa na Paulo.

Na japokuwa ilikuwa ni dhambi kubwa sana kufanya mabadiliko katika imani kubwa na muhimu kama hii, lakini mabadiliko haya ndiyo yaliyopelekea mafanikio makubwa aliyoyapata Paulo katika kazi yake, kwa sababu aliwapa mambo yote muhimu waliyoyataka.

Na kwa sababu hii watu wengi walimiminika makundi kwa makundi kuingia katika hii dini mpya ya Paulo yaani "Ukristo wa Paulo" sio "Ukristo wa Yesu".

Yesu hakuwa amekusudia kufundisha mafundisho tofauti na yale waliyokuwa nayo Wayahudi kutoka kwa Nabii Musa wala hakukusudia kuanzisha dini mpya, lakini kwa sababu ya Paulo, Ukristo ulizaliwa na kuenea duniani kote, shukrani ziyaendee mafundisho ya Paulo.

  • 1. Islam In Focus, p. 137 (Uchunguzi juu ya Uislamu, uk. 137).
  • 2. What Everyone Should Know About Islam and Muslims, p. 183. (Mambo yampasayo kila mmoja kuyajua juu ya uislamu na Waislamu, uk. 183).
  • 3. Islam Revealed, p. 137. (Uislamu wawekwa wazi, uk. 137).
 
Kwanza anza na Huu ushahidi wa kulitoa govi la ukafiri akilini mwako

Laana ya Sheria​

Paulo alikuwa na sababu nyingine kuhusiana na msimamo wake juu ya sheria ya Mwenyezi Mungu.

Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu "aliyetundikwa katika mti"--- kwa maneno mengine aliyesulubiwa "amelaaniwa na Mungu".

Ili kulinda hoja yake kuwa Yesu alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu, na kwa sababu sheria inasema aliyesulubiwa amelaaniwa, Paulo aliamua kuiponda sheria kwa kusema:

"Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na sheria, wako chini ya laana. --- Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajiliyetu; maana maandiko yasema "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa". (Wagalatia 3:10:13)

Kwa sababu Paulo aliiona sheria ya Mungu kuwa ni laana, hivyo maneno ya Mungu katika kumbukumbu la Torati 21:23 hayakuwa na maana yoyote.

Alipotosha maneno ya aya hii kwa kusema kuwa kwa sababu Yesu alipatwa na laana kwa kuwa aliuliwa kwa kusulubiwa msalabani na kwa vile yeye hakuwa na hatia, aliibeba laana hii kwa sababu ya dhambi za wengine.

Na kwa sababu hii (Yesu) hakuwa na chembe chembe zozote za aibu au udhahili unaotokana na laana.

Alilofanya Paulo hasa ni kulipa utukufu jambo ambalo awali lilikuwa linaonekana ni la aibu sana (kutundikwa msalabani) ili aweze (Paulo) kutetea imani aliyoanzisha kwamba uokovu umepatikana kwa sababu ya kusulubiwa na kufa kwa Yesu kwa kudai kuwa kutundikwa kwake msalabani (Yesu) hakukumletea aibu yoyote japo sheria haikubaliani na wazo hili.

Anis Shorrosh anasema: "Msalaba, alama ya aibu, kupitia kwa Yesu ulibadilika na kuwa changamoto. Msalaba, uliokuwa alama ya kifo, kupitia kwa Yesu, ulibadilika na kuwa alama ya uhai".

Kwa sababu ya upinzani mkali kutoka kwa wanafunzi wa Yesu, Paulo alilazimika kwenda pole pole katika utekelezaji wa jambo hili.

Alianza na kitu kimoja ambacho watu wa mataifa walikipinga sana, yaani kutahiri (tohara).

Kwa mujibu wa Paulo, Ibrahimu alikuwa mwongofu hata kabla ya kutahiriwa, sasa kwa nini watu waendelee kusumbuliwa kwa kuwataka watahiriwe?

Paulo aliuupuza ukweli kwamba Mungu alikuwa ameweka agano hili mamia ya miaka kabla ya kuja Ibrahim.

Kwa upande wake Nabii Ibrahim alipewa amri hii kutoka kwa Mungu juu ya kuwatahiri watoto wa kiume wote kuanzia wa zama zile na wote ambao watafuatia baadaye katika kitabu cha Mwanzo 17:14, Mungu aliliweka wazi jambo hili:

"Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu".

Mtu anaweza kushangaa vipi Paulo aamue kuyafuta maneno haya ya Mungu bila uoga wowote.

Ubatizo ulichukua nafasi ya tohara (kutahiri), kumwagiwa maji sasa kumefanywa kuwa ndio alama ya agano baina ya Mungu na Mkristo.

Watu wa mataifa walifurahia sana mabadiliko haya yaliyofanywa na Paulo.

Baada ya hili alianza kufanya mabadiliko katika uhalali na uharamu wa vyakula, na masuala mengine yalifuatia moja baada ya jingine.

Ndani ya muda mfupi, sheria ya Mwenyezi Mungu haikuonekana tena kuwa ni mwongozo, unaostahiki kufuatwa katika maisha ya kila siku bali lililokuwa muhimu ni tu kuwa na imani kuwa Yesu aliteswa na hatimaye kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu.

Hii ilikuwa inatosha kabisa kwa uokovu na sio kufuata sheria ya Mungu.

Kwa mujibu wa Paulo, suala la kufanya matendo mazuri kwa Mkristo linaweza tu "kuja lenyewe".

Na muhimu zaidi kwa mkristo ni kuelewa kwamba vitendo vizuri peke yake haviwezi kumfanya mtu aokoke hata kidogo.

Jambo pekee linaloweza kumfanya mtu aokoke ni imani juu ya uwezo wa Yesu wa kuokoa na kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zetu ili tupate kuokoka - imani hii peke yake inatosha kumfanya mtu aokoke na adhabu ya moto wa jahanamu.
Pungaza Aya makitu yanaboa ,
 
Wambie wamlete papa au mkristo yeyote aliefuzu huyo unamuonea tu...

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kumbe waisilamu ni model moja!
Ñilidhani utamkemea gavana kwa jinsi anavyo idhalilisha deen!
[emoji116][emoji116]
ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُم بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ

[ AN NAH'L - 125 ]
Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.

وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ كَذَٰلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ

[ AL - AN-A'AM - 108 ]
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
 
Jibu ni NDIYO au HAPANA
Mungu wako ana weza kuwa SHOGA? Mungu wako kila kitu anaweza sindano imefika vizuri sanaaa
Hiyo sio Hesabu! una uelewa kama piriton!
Hili Neno "AKITAKA" Unaelewa maana yake??
Eti sindano?![emoji15][emoji12]
Nimeaminj![emoji117]Harjununu fununu..[emoji56][emoji15][emoji12]
 
Back
Top Bottom