Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
hakuna hoja ambayo siwezi kuijibu kutoka kwa mkristo yeyote duniani aliesoma hata phd ya dini.nasema hakuna...
😂🤣😂 Unajibugi hoja kwa kusema maandiko ya waislamu ni uongo🤣😂😂

Sasa kama unawekewa andiko limeandikwa na waislamu alafu kupinga hoja simple tu unasema muislamu alieandika ni muongo utaweza kufanya debate na nani?
 
Weka ushahidi Allah anampa Utume Muhammad kama alivyompa Musa!
Ref!;
[emoji116][emoji116]
وَهَلْ أَتَىٰكَ حَدِيثُ مُوسَىٰٓ ﴿٩﴾
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?

إِذْ رَءَا نَارًۭا فَقَالَ لِأَهْلِهِ ٱمْكُثُوٓاْ إِنِّىٓ ءَانَسْتُ نَارًۭا لَّعَلِّىٓ ءَاتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى ٱلنَّارِ هُدًۭى ﴿١٠﴾
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.

فَلَمَّآ أَتَىٰهَا نُودِىَ يَٰمُوسَىٰٓ ﴿١١﴾
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!

إِنِّىٓ أَنَا۠ رَبُّكَ فَٱخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِٱلْوَادِ ٱلْمُقَدَّسِ طُوًۭى ﴿١٢﴾
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.

وَأَنَا ٱخْتَرْتُكَ فَٱسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰٓ ﴿١٣﴾
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.

Yaani Umetumia Maandiko Ya Qur'an Ambayo Imepokelewa Na Muhammad Kuthibitisha Kupewa Utume Mussa Alafu Unamkataa Muhammad kama mtume(S.A.W).Hii Ni ajabu
 
Je kama Isa ndio Yesu, Isa aliweza kuongea hivi ?

Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Na

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Yohana 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.

Yohana 14:3
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

Mathayo 18:20
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

Mathayo 16:21
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.

Nauliza tena, Isa aliweza kuongea hivi alivyo ongea Yesu ?
 
Pungaza Aya makitu yanaboa ,

Ndivyo dawa ya govi la ukafiri ilivyo , tulia tu upate daawa bila kusahau ule ushahidi unaoutafuta endelea kuupata

Uchunguzi Juu Ya Misingi, Mafundisho Na Imani Za Kikristo​

Wayahudi walifanikiwa kuyazimisha mafundisho ya Yesu; lakini si Wayahudi tu bali hata dini ya Ukristo tuliyo nayo leo ambayo mafundisho na imani zake zote muhimu zimeanzishwa na Paulo pia imeyafutilia mbali mafundisho na imani zote zilizofundishwa na Yesu.

Licha ya hoja zozote zinazoweza kutolewa na mkristo, hatuwezi kupata ushahidi wowote ambapo Yesu amethibitisha au kazitaja imani hizi nne (uungu wa Yesu, Utatu Mtakatifu, kufa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu, na uokovu kwa imani peke yake) katika Injili.

Maadamu Yesu hakuwa na mpango wa kuanzisha dini mpya, basi bila ya chembe ya shaka ni wazi kwamba pia hakuunda au kuanzisha misingi au imani zozote za dini, kwani kama angekuwa na nia ya kuanzisha dini mpya basi angelazimika pia kuanzisha imani na misingi mipya ya dini.

Lakini maadamu hakuanzisha wala hakuwa na nia ya kuanzisha dini yoyote mpya basi pia hakuna imani yoyote mpya ya dini aliyoianzisha.

Imani, misingi na mafundisho yote ya Ukristo ni kazi ya Paulo ambayo aliifanya kwa shabaha ya kuungwa mkono na kukubalika kwa wafuasi wapya miongoni mwa ambao hawakuwa Wayahudi wa zama zake.

Kwa kuingiza na kuchanganya imani za kipagani katika mafundisho ya Yesu, Paulo alipata mafanikio makubwa mno katika kazi yake lakini kwa kufanya hivi aliharibu na kuivunjilia mbali imani ya kuamini Mwenyezi Mungu mmoja asiye kuwa na mshirika.

Kwa kufanya hivi Paulo alifanikiwa kuyapotosha kabisa mafundisho yote ya Yesu na badala yake akaanzisha maradhi mabaya na yaliyoenea kwa haraka aliyoyatoa katika upagani - ambapo imani hizi bado tunazo mpaka leo katika ukristo.

Ni hapa kwenye kiini na kitovu cha mafundisho ya Yesu palipotoshwa na hii ndio sababu kuu ya tofauti za msingi kati ya Uislamu na Ukristo.

Inafurahisha kuona kwamba "imani na misingi ya Ukristo" ambayo Qur'an inaikubali inaweza pia kuthibitishwa kwa urahisi kabisa, kuwa ni sehemu ya mafundisho ya wanafunzi wa mwanzo kabisa wa Bwana Yesu, ambapo imani na misingi ambayo Qur'an inaikataa inaweza kuthibitishwa kuwa ni maongezo (nyongeza) yaliyoongezwa na viongozi wa juu wa kanisa au Paulo.

Waliyaongeza haya kwa sababu walipendezwa na falsafa na mifumo ya dini za Wapagani wa Kigiriki na wa Kirumi".
  • 1. Jesus in the Qur'an, p. 14. (Yesu katika Qur'an, uk. 14).
 
Je kama Isa ndio Yesu, Isa aliweza kuongea hivi ?

Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Na

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Yohana 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.

Yohana 14:3
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

Mathayo 18:20
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

Mathayo 16:21
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.

Nauliza tena, Isa aliweza kuongea hivi alivyo ongea Yesu ?

Anayeongea hapo ni nani ??? Tumia akili au tuendelee kulitoa govi akili mwako ?+ inaelekea bado limekuzidi
 
Maandiko Matakatifu Ya Kikristo​

Dini iliyofunuliwa kutoka kwa Mungu ina nguvu na inakubalika sawa sawa na vile ufunuo ulivyo na nguvu na unavyokubalika.

Kwa upande wa ukristo, msingi huu ambao ni mkubwa na mkuu kuliko yote ni dhaifu kabisa kutokana na kuingizwa mikono na akili za watu ndani ya Biblia.

Ufunuo hauna mushkeli, tatizo ni juu ya nini kilitokea baina ya muda ufunuo ulipoteremka mpaka kipindi ufunuo huu ulipoandikwa.
 
Je kama Isa ndio Yesu, Isa aliweza kuongea hivi ?

Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Na

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Yohana 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.

Yohana 14:3
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

Mathayo 18:20
😂🤣😂 Unajibugi hoja kwa kusema maandiko ya waislamu ni uongo🤣😂😂

Sasa kama unawekewa andiko limeandikwa na waislamu alafu kupinga hoja simple tu unasema muislamu alieandika ni muongo utaweza kufanya debate na nani?
Hiyo sio Hesabu! una uelewa kama piriton!
Hili Neno "AKITAKA" Unaelewa maana yake??
Eti sindano?![emoji15][emoji12]
Nimeaminj![emoji117]Harjununu fununu..[emoji56][emoji15][emoji12]

Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

Mathayo 16:21
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.

Nauliza tena, Isa aliweza kuongea hivi alivyo ongea Yesu ?

Uchunguzi Makini Juu Ya Agano Jipya​

Ambapo Agano la kale lina umuhimu mkubwa sana kwa Wayahudi, kwa Wakristo halina nafasi muhimu kiasi hicho ambapo wao wanaliona kuwa kwa sehemu kubwa ni mkusanyiko wa utabiri wa manabii juu ya kuja kwa Yesu.

Amri na mafundisho yake hayana uthabiti wala umuhimu wowote kwao.

Mapenzi ya Wakristo yapo kwenye Agano Jipya. Katika vitabu hivi 27 vya Agano Jipya kimsingi kuna maandiko ya Paulo; vitabu ambavyo vinajumuisha vitabu vinne vya Injili - ambavyo ilivyo hakuviandika kwa mkono wake japokuwa alianzisha wazo la kuviandika. Kwa asili, maelekezo yote ya kuandika vitabu hivi yalitolewa na Paulo.

Baada ya kufanya uchunguzi makini katika vitabu vyote viwili, Biblia na Qur’an, Dr. Maurice Bucaille anasema kwamba: "---- kuzisoma injili kikamilifu (vitabu vinne vya Injili) ni kama kuwayumbisha na kuwavuruga Wakristo kabisa".

Ametoa maelezo haya kwa sababu kwa mujibu wa utafiti wake, migongano, mikorogano, umyakinifu, uwingi wa makosa na upotoshaji wa maandiko: "--- vinaongezea juu ya ukweli kwamba vitabu vya Injili vina sura na vifungu ambavyo bila chembe ya shaka ni zao la fikra na ubunifu wa wanadamu".

Mifano mbalimbali juu ya migongano katika vitabu vya Injili ni:

1) Injili ya Mathayo ina mtiririko wa kizazi cha Yesu (Mathayo 1:7) ambapo unamuonyesha kutoka kwa Ibrahimu hadi kwa Suleiman, mtoto wa Daud, ambapo mtiririko wa kizazi hiki katika Injili ya Luka (3:31) unamuonyesha Yesu kutoka kwa Adam kupitia kwa Nathan ambaye ni mtoto mwingine wa Ibrahim asiyekuwa Suleiman kama ilivyo katika Mathayo.

Na hata mtu akijaribu kulinganisha majina yaliyopo katika orodha ya Mathayo na ile ya Luka hayawiani kabisa.

Nukta muhimu ya kuzingatia hapa ni kwamba aina Yoyote ya mtiririko wa kizazi chaYesu kwa Ukoo wa ubabani kupitia kwa Yosefu ni jambo la kichekesho kwa sababu Yesu hakuwa na baba wa kibailojia. Ukoo sahihi wa Yesu unaweza kuwa ni ule unaopitia kwa mama yake, Mariam - sio kwa Yosefu (Yusuf).

2) Injili ya Yohana inakhitilafiana sana na Injili nyingine tatu katika Kila upande na sura ya maisha ya Yesu na kazi yake kama vile sehemu alipozaliwa na kukua, ubatizo wake, na hata maeneo aliyofanya kazi na ukubwa wa kazi yake.

Inasemekana kwamba 92% ya maelezo na habari zilizomo katika injili ya Yohana hayamo kabisa katika zile injili nyingine tatu.

Moja ya tofauti kubwa kati ya injili ya Yohana na zile nyingine tatu ni kwamba Yohana hasemi lolote juu ya Komunio Takatifu (chakula cha Bwana yaani mkate na divai).

Katika maelezo ya Yohana juu ya Karamu (chakula) ya Mwisho, inayopatikana katika vifungu vya 13-17, Yesu anawaosha wanafunzi wake miguu na kisha anatoa hotuba ndefu ambapo sasa inaonyesha kutatanisha kidogo juu ya Mfariji atakaye kuja baada yake, hapakugusiwa hata kidogo juu ya komunio takatifu - yaani mkate (mwili wa Bwana) na divai (damu ya Bwana) ambayo ni jambo muhimu mno kwa Ukristo leo hii.

3) Mathayo na Yohana hawajazungumza lolote juu ya kupaa kwa Yesu. Luka ameandika juu ya hili katika Injili yake na pia katika kitabu chake kingine kiitwacho Matendo ya Mitume wakati na mahali vinatofautiana kuhusiana na mada hii katika vitabu hivi viwili.

Marko pia anazungumzia juu ya kupaa kwa Yesu, lakini sasa hivi wanazuoni na wasomi wa Biblia wanakubali kwamba taarifa yote juu ya tukio la kupaa mbinguni kama ilivyoandikwa katika injili ya Marko "Sio sahihi" (angalia sehemu ya mbele kuhusiana na aya zinazothibitisha hili).

Kuhusiana na "mafundisho tusiyokubaliana nayo" hebu tuichunguze imani ya kafara, (yaani kwamba Yesu aliteswa na kuuawa ili awe kafara ya dhambi za wanadamu) ambayo imejengwa juu ya msingi kwamba Yesu alikuwa kiumbe mkamilifu katika kila hali.

Mtu anaweza kushangaa, kutokana na dai hili, vipi Wakristo wanazithibitisha nukuu (aya) mbalimbali katika vitabu vya injili zinazoonyesha kuwa Yesu hakuwa mkamilifu baadhi yake ni hizi zifuatazo:

1) Katika Mathayo 16:23, Yesu anamwita Petro "Shetani" na "mtego wa hatari". Petro anapojaribu kumkinga.

2) Katika marko 11, Yesu anaulaani mti kwa sababu tu haukuwa na matunda msimu ambao haukuwa wa matunda ilipotokea kwamba alikuwa na njaa na kupitia kuangalia kama kulikuwa tunda lolote na akawa hakupata.

3) Katika Yohana 2:1- 4, Yesu anaonyesha kukosa adabu kwa mama yake.

Katika Mathayo 28:19 Yesu anawaambia wanafunzi wake waende wakawabatize watu kwa jina la Baba na Mwana na Roho matakatifu.

Ukweli kwamba maneno haya yaliongezwa baadaye katika Biblia inaweza kuthibitika kwa kusoma barua ya Paulo ambapo anasema hapo awali ubatizo ulifanyika kwa jina la Yesu peke yake.

Tunaona kwamba katika Marko, 16:15 Yesu anasema:

"Enendeni ulimwenguni kote, mkahubiri injili kwa watu wote (viumbe wote)".

Marko anazungumzia katika 16:15 tukio lile lile linalozungumziwa na Mathayo katika 28:19, sasa maneno ya ziada tunayoyaona katika Mathayo (ambayo hayapo katika Marko) yametoka wapi?
 
[emoji23][emoji1787][emoji23] Unajibugi hoja kwa kusema maandiko ya waislamu ni uongo[emoji1787][emoji23][emoji23]

Sasa kama unawekewa andiko limeandikwa na waislamu alafu kupinga hoja simple tu unasema muislamu alieandika ni muongo utaweza kufanya debate na nani?
Tofauti na Al Quran Al Hakeem andiko lolote ukilileta hapa litapimwa tu kujua chain yake authentification, Sasa sisi sio Kama nyinyi padri akitoa neno Ni Hilo Hilo halingii kwenye mizani poleni.....nawasikitikia Sana lakin bado ujachelewa ruhusu Hilo fuvu lako kuelewa unayofindishwa humu. Ujinga Ni mzigo mwenzako biblia inasisitiza Ni GoVi...shaulako

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Anayeongea hapo ni nani ??? Tumia akili au tuendelee kulitoa govi akili mwako ?+ inaelekea bado limekuzidi
1. hapa anaongea nani?

Surah An-Nisaa-u: Ayah 79
مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

2. Nabii wako Muhamadi alitahiriwa wapi nyama ya Govi lake pana sana ?

Na alimwingilia mtoto mchanga AISHA akiwa na Govi la ngozi ngumu bila aibu, hadi alipo mwambukiza ugonjwa wa Kaswende na Kisonono Kikali sana, mtoto Aisha.

Muhamadi aliishi na kufa hali akiwa na Govi gumu.
Anasimulia Aisha.

Kama una bisha lete Aya, ni wapi Mtume wa Majini Muhammadi alitahiriwa ?

Weka Aya, acha utaahira wako..

Muha-madi angeishi leo lazima angekufa na Ukimwi. Kwakuwa hakutaka kabisa kuvaa Kindomu alipo pora wake za watu.
 
Huyo ndiye aliyesema kwenye Aya ulizozileta ??
 
Uchunguzi Makini Juu ya Agano La Kale​

Wayahudi walishuhudia nyumba yao ya ibada ya Jerusalem ikiharibiwa kabisa mnamo mwaka 581 B.K.

Pamoja na tukio hili pia, Torati yenyewe halisi pia iliharibiwa na baadaye walifanikiwa kurejesha hasara iliyotokea, lakini walizifanyia mabadiliko makubwa nakala chache zilizopata bahati ya kutoharibiwa kabla ya kuandika nakala nyingi zaidi kwa ajili ya matumizi ya kila mtu.

Ukweli kwamba nakala chache za Agano la Kale zilizonusurika kuharibiwa zilizifanyiwa mabadiliko makubwa unakubalika na wasomi na wanazuoni wakubwa isipokuwa wachache.

Mabadiliko yalifanywa katika fani (style) muundo wa lugha na sarufi (grammer), ili kuzipamba habari na visa mbalimbali vilivyomo katika Biblia, na pia walithubutu hata kuviondoa kabisa vitu ambavyo wao waandishi hawakuvifurahia.

Kwa kifupi, kazi za waandishi hawa ziliathiriwa sana na wakati walioishi pamoja na hisia, maoni, na imani zao binafsi.
 
1. hapa anaongea nani?

Surah An-Nisaa-u: Ayah 79
مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

2. Nabii wako Muhamadi alitahiriwa wapi nyama ya Govi lake pana sana ?

Na alimwingilia mtoto mchanga AISHA akiwa na Govi la ngozi ngumu bila aibu, hadi alipo mwambukiza ugonjwa wa Kaswende na Kisonono Kikali sana, mtoto Aisha.

Muhamadi aliishi na kufa hali akiwa na Govi gumu.
Anasimulia Aisha.

Kama una bisha lete Aya, ni wapi Mtume wa Majini Muhammadi alitahiriwa ?

Weka Aya, acha utaahira wako..

Muha-madi angeishi leo lazima angekufa na Ukimwi. Kwakuwa hakutaka kabisa kuvaa Kindomu alipo pora wake za watu.

Mifano kadhaa ya maongezo na mapunguzo yaliyopelekea kuchafuliwa kwa agano la kale ni kama ifuatavyo​

1) Kuna aya mbili zinazotofautiana juu ya uumbaji zinazopatikana katika kitabu cha mwanzo: Katika sura ya kwanza imeandikwa kwamba uumbaji ulichukua siku sita.

Ajabu ni kwamba katika sura ya pili, imeandikwa kwamba Mungu aliifanya kazi hii kwa siku moja (2:4).

Tukiendelea na mikorogano hii iliyofanywa na waandishi ni juu ya ukweli kwamba Adam alikuwa ni kiumbe wa mwisho kuumbwa (1:27) wakati katika aya ya pili imeandikwa kwamba alikuwa ni kiumbe wa kwanza kuumbwa kabla ya kiumbe kingine chochote (2:4-9).

Tukiacha aya hizi mbili zinazotofautiana juu ya uumbaji, katika kifungu cha kwanza na cha pili pia kuna aya nyingine mbili zinazotofautiana juu ya gharika (mafuriko) katika kitabu cha mwanzo 6,7 na 8.

Katika vifungu hivi, aya mbili zinatofautiana juu ya idadi ya wanyama ambao Nuhu aliwaingiza katika Safina.

Aya nyingine mbili zinatofautiana juu ya sababu ya gharika, na aya nyingine mbili zinatofautiana juu ya muda ambao mafuriko yalidumu.

2) Katika kitabu cha Mwanzo 22:2, Mungu anatoa amri ifuatayo kwa Nabii Ibrahimu:

"Mchukue sasa mwanao, Is-haq mwanao wa pekee".

Hapa maneno "mwanao wa pekee" yeyote anaweza kukubali kwamba maneno haya yaliongezwa makusudi kwa lengo la kupotosha ukweli fulani kwa sababu wakati ule Ibrahimu alikuwa na watoto wawili Is-haq Na ndugu yake mkubwa Ismail, hakuwa Is-haq peke yake.

3) Na kama ni kweli kwamba Nabii Musa ndiye mwandishi wa kitabu cha kumbukumbu la Torati kama inavyodaiwa, inawezekanaje akaandika habari juu ya yaliyotokea wakati wa kifo chake kama inavyoonekana katika kumbukumbu la Torati kifungu cha 34?

Pia kuna suala juu ya jinsi Mungu anavyo onyeshwa katika Agano la kale kuwa ni katili na asiyekuwa na huruma hata kidogo:

1) Katika kitabu cha Hesabu 21:5-6, inaonyesha kwamba Mungu alipeleka nyoka wenye sumu kali kwa Wayahudi ambapo watu wengi waliumwa na kufa kwa sababu tu walilalamika juu ya chakula chao.

2) Katika kumbukumbu la Torati 7:2, inaonyesha kwamba Mungu aliwaamuru Wayahudi wawaue watu wote watakaowakamata kama mateka katika vita - wasionyeshe huruma na rehema hata kidogo.

3) Katika Samuel wa Pili 24:1-7, inaonyesha kwamba Wayahudi 70,000 walikufa kutokana na maradhi hatari ya kuambukiza yaliyoletwa na Mungu kwa sababu ya kutoridhishwa kwake na sensa (kuhesabu watu) iliyofanywa na Daud.

Mbali na kuonyeshwa sifa hizi za kutisha alizonazo Mwenyezi Mungu, kuna mifano mingi; inayowadhalilisha Mitume mbalimbali wa Mwenyezi Mungu:

1) Mabinti wa Luti walimnywesha pombe baba yao ili waweze kufanya naye mapenzi katika kitabu cha Mwanzo 19:30-38.

2) Inasemekana kwamba Daud alikuwa mzinifu katika Samuel wa pili 11:4-5.

3) Inasemekana Suleimani alikuwa muabudu masanamu katika Wafalme wa Pili 11:9-10.

Ndiyo, ni muhimu kujua kuwa Mitume hawa wa mwanzo walikuwa ni wanadamu katika nyanja zote, lakini kusema kuwa walifanya hayo yaliyotajwa hapo juu ni kuvuka mpaka Mno.

Haya sio yote. Katika vitabu vya Samueli, Wafalme na Mambo ya Nyakati kuna matukio mengi kama haya yaliyotokea katika historia ya mwanzo ya kiyahudi na pia ndani yake kuna idadi kubwa ya migongano na kupingana katika uelezeaji wa matukio haya.

Kitabu cha Isaya, ambacho ni kitabu kinachopendwa sana cha "utabiri" kwa Wakristo kinatofautiana na vingine kwa kuwa na mifano inayonga'a ya maovu katika Agano la kale.

Kwa mfano nukuu ya neno kwa neno, tazama Isaya 37, ambapo takribani ni nukuu ya neno kwa neno ya jitihada za mtunzi (mwandishi) wa Biblia inayopatikana katika Wafalme wa Pili 19.

Hii ni mifano michache tu inayoweza kupatikana katika Agano la Kale katika kuthibitisha tuhuma kwamba Biblia imebadilishwa mara kadhaa na kupotolewa na mikono ya watu.

Ni vigumu kuzitetea tuhuma hizi hasa kwa sababu kuna mifano mingi mno inayothibitisha tuhuma hizi katika Biblia tukiachilia ukweli kwamba hakuna maandiko ya asili (original) ya Agano la Kale yaliyopo leo hii.
 
1. hapa anaongea nani?

Surah An-Nisaa-u: Ayah 79
مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

2. Nabii wako Muhamadi alitahiriwa wapi nyama ya Govi lake pana sana ?

Na alimwingilia mtoto mchanga AISHA akiwa na Govi la ngozi ngumu bila aibu, hadi alipo mwambukiza ugonjwa wa Kaswende na Kisonono Kikali sana, mtoto Aisha.

Muhamadi aliishi na kufa hali akiwa na Govi gumu.
Anasimulia Aisha.

Kama una bisha lete Aya, ni wapi Mtume wa Majini Muhammadi alitahiriwa ?

Weka Aya, acha utaahira wako..

Muha-madi angeishi leo lazima angekufa na Ukimwi. Kwakuwa hakutaka kabisa kuvaa Kindomu alipo pora wake za watu.
Hivi hujiulizi kwanini waislam hatumtukani Yesu? mungu wako sisi Ni Muislam mwenzetu mtume wetu jifunzeni kujadiliana kwa hoja na hakuna mbora ila amchae Mwenyezi Mungu. Wew si Bora kutukana wengine dhambi zako zipo katka hesabu hivyo Hiyo Ni dalili mbaya ya kuchemka hoja weka hoja zako clear hakika tutakusaidia kutahiri GoVi la kichwa ( biblia) mmeshashindwa kutukomvisi Yesu si Issa mmebaki kutukana tu maskini

Kwanini humumwonyi Gavana, anayeanza kutukana ?
Kumtukana Yesu sana hadi nikamwuliza mbona humtukani Isa ?

Hamumtukani Yesu wakati huyo Mujahidina kamtukana sana Yesu hadi nikamwuliza mbona humtukani Isa au wewe huoni anapotukanwa Yesu ?

Kanitukana mimi binafsi wewe sijaona ukimwonya.
Mambo ya Govi kaanza Kutukana Gavana, wewe upo kimya.

Hivi kwanini Waislamu akiguswa tu Muhammadi mnakuja juu sana, wakitukanwa Manabii wengine mnashangilia kimya kimya.

Nimemtukana Mtume makusudi tu baada ya Gavana, kumtukana sana Yesu na nyinyi mkishangilia.
Mimi pia najua kutukana kama anaye ninukuu anatukana bila sababu.
Fuatilia hoja za hapo juu uone nani kaanza kutukana na ni kwanini wewe hukumwonya.
Mkiona tu Muhamadi katukanwa mnakuja juu sana. Wengine wakitukanwa mnaona sawa tu.
Subiri huyo Mujahidina atukane tena utaona nitakavyo mchamba Muhammadi kwa maandiko ya Hadithi za Waislamu.
 
Wapi namtukana Yesu, Mimi nawaletea kitu gani biblia imeandika. Ni biblia na nyinyi ndio mnamtukana Yesu
 
1. hapa anaongea nani?

Surah An-Nisaa-u: Ayah 79
مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

2. Nabii wako Muhamadi alitahiriwa wapi nyama ya Govi lake pana sana ?

Na alimwingilia mtoto mchanga AISHA akiwa na Govi la ngozi ngumu bila aibu, hadi alipo mwambukiza ugonjwa wa Kaswende na Kisonono Kikali sana, mtoto Aisha.

Muhamadi aliishi na kufa hali akiwa na Govi gumu.
Anasimulia Aisha.

Kama una bisha lete Aya, ni wapi Mtume wa Majini Muhammadi alitahiriwa ?

Weka Aya, acha utaahira wako..

Muha-madi angeishi leo lazima angekufa na Ukimwi. Kwakuwa hakutaka kabisa kuvaa Kindomu alipo pora wake za watu.
Nyani hauoni matako yake,

Hicho ulichokiandika ni kitu gani?
 
Nyani hauoni matako yake,

Hicho ulichokiandika ni kitu gani?
Wewe ukishindwa mada unaanza kusema
"hapa kasema nani"

Namimi nakuuliza hawa akina "Nasi" wanao ongea kwenye Qurani ni akina nani ?

1. Surah Al-Djini: Ayah _12

وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن نُّعۡجِزَ ٱللَّهَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَن نُّعۡجِزَهُۥ هَرَبٗا
[emoji117]Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia

2. Surah An-Nisaa-u: Ayah 79

مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. [emoji117]Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
..........

Hao akina [emoji117]Nasi. Wanaomtuma Muhamadi kueneza Uislamu ni akina nani ?

Jibu Swali wewe Jini Sharifu.
 
Kwanini humumwonyi Gavana, anayeanza kutukana ?
Kumtukana Yesu sana hadi nikamwuliza mbona humtukani Isa ?

Hamumtukani Yesu wakati huyo Mujahidina kamtukana sana Yesu hadi nikamwuliza mbona humtukani Isa au wewe huoni anapotukanwa Yesu ?

Kanitukana mimi binafsi wewe sijaona ukimwonya.
Mambo ya Govi kaanza Kutukana Gavana, wewe upo kimya.

Hivi kwanini Waislamu akiguswa tu Muhammadi mnakuja juu sana, wakitukanwa Manabii wengine mnashangilia kimya kimya.

Nimemtukana Mtume makusudi tu baada ya Gavana, kumtukana sana Yesu na nyinyi mkishangilia.
Mimi pia najua kutukana kama anaye ninukuu anatukana bila sababu.
Fuatilia hoja za hapo juu uone nani kaanza kutukana na ni kwanini wewe hukumwonya.
Mkiona tu Muhamadi katukanwa mnakuja juu sana. Wengine wakitukanwa mnaona sawa tu.
Subiri huyo Mujahidina atukane tena utaona nitakavyo mchamba Muhammadi kwa maandiko ya Hadithi za Waislamu.
Kuhusu GoVi hajatukana Ni Aya imo katika biblia na iliwekwa na mwenzenu mgen hata Mimi nilikua sijui nimesahau ila ipo humu humu hio Aya

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tofauti na Al Quran Al Hakeem andiko lolote ukilileta hapa litapimwa tu kujua chain yake authentification,
Wewe hufai kwenye debate , maana unakataa vitabu vya waislamu tena vinavyo heshimika sana , waislamu na kila mtu na sect yake kuna vitabu mnapingana kabisa
 
Back
Top Bottom