Wewe sikiliza chukua point za muhimu zoandike humuHata siku moja huwezi kusikiliza kwani ukimaliza kusikiliza kama uko neutral utawacha ukafiri leo hii
Wewe sikiliza chukua point za muhimu zoandike humuHata siku moja huwezi kusikiliza kwani ukimaliza kusikiliza kama uko neutral utawacha ukafiri leo hii
Andika hoja wewe , alafu unaweka nukuuMnabaki na copy and post , kwani mimi naandika biblia yangu ??
Hamna hoja
Anatoa historia ya ukristo unaogopa nini kuangalia? Ni kuwa wewe umeshajikubalisha na blind faithWewe sikiliza chukua point za muhimu zoandike humu
Si weka link halafu utoe makosa unaogopa kitu gani ? Hiyo tunaita fear of truthAndika hoja wewe , alafu unaweka nukuu
Una copy kitu nikichukua lote nikili search naona mpaka ulipolitoa
Sikiliza wewe alafu huo ukweli weka humu kwa maandishiSi weka link halafu utoe wakosa unaogopa kitu gani ? Hiyo tunaita fear of truth
Hofu ya kuusikia ukweli
Sasa Uislamu una content nyingi kiasi gani hadi nisiufahamu?,Kuruhani yenu haina vitu vingi kiasi kwamba ndani ya muda mfupi naisoma na kuimaliza,tofauti na Ukristo ulisheheni utajiri wa mambo Matakatifu.Anawapiga nyie ambao Ni weupe kichwani kuhusu uislam
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Endelea kukaza misuli ya ubongo.Hayo ni maneno ya Nani ?
Mbona nimeshaijibu hii zaidi ya mara 1000 humu ??
Hata hivyo kwa faida ya watu wasiosoma kama wewe nakuwekea tena kwa urefu
Mara nyengine nitakuwekea kwa kiengereza [emoji14] [emoji14]
Hapo mwanzo kulikuwa na Neno"
Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana ni Yohana 1:1 na 14,
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”
Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.
Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne.
Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:
“Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.
Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.
Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.
Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.
Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja.
Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.
Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.
Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos (Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.”
Utambulisho wa Yesu kwa logos, uliendelezwa katika kanisa la kwanza ikiwa ni tokeo la majaribio yaliyofanywa na wanatiolojia wa kwanza wa Kikristo pamoja na watetezi kuielezea imani ya Kikristo kwa istilahi ambayo ingekuwa wazi kwa ulimwengu wa Wayunani.
Zaidi ya hayo, ilikuwa ni kuwavutia wasikilizaji wao na mtazamo wao kuwa Ukristo ulikuwa unashinda, au mrithi wa wale wote waliokuwa wanafalsafa bora wa kipagani. Kwa hiyo, katika kazi zao za utetezi na ubishani, Mapadri wa Kikristo wa kwanza wameeleza kuwa Yesu alikuwa ni logos aliyekuwepo hapo kabla.
Neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika hiyo ibara ni “na Neno lilikuwa kwa Mungu,” lipo katika mtindo wa “definite form- yaani mtindo uliowazi, au unaofahamika” batheos, Linalomaanisha “Huyo Mungu, au Mungu maalum”.
Hata hivyo, katika ibara ya pili “na Neno alikuwa Mungu”, neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika ibara lipo katika mtindo wa “indefinite form- yaani mtindo usiowazi, au usiofahamika” tontheos, Linalomaanisha ‘mungu yoyote, yaani mungu asiyejulikana, au mungu yoyote asiye maalumu’.
Kwa hiyo, Yohana 1:1, kwa uwazi zaidi ilipaswa itafsiriwe, “Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno, na hilo Neno lilikuwa kwa Mungu, na hilo Neno lilikuwa mungu mwingine.”
Kwa hiyo, kama hilo neno lilikuwa mungu mwingine kwa ufahamu wa kifasihi, itamaanisha kuwa kulikuwa na miungu miwili na sio mmoja. Hata hivyo, katika lugha ya Kibiblia, neno ‘mungu – asiyefahamika’ linatumika kwa maana ya istiari ili kuashiria nguvu.
Kwa mfano, Paulo alimtaja shetani kuwa ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika 2 Wakorintho 4:4, "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
Pia, Musa alitajwa kama ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika Kutoka 7:1, "BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruna atakuwa nabii wako.
Unatafuta ubishi, Mimi sikuwekei , Kama umeridhika na dini ya Paulo , utaibeba mwenyewe msalabaSikiliza wewe alafu huo ukweli weka humu kwa maandishi
Hebu acha mahaba niue! hebu Tafakari na uchunguze! Maneno, Maisha, na Matendo ya Muham mad! Unapochunguza maisha, maneno na Mtindo wa Maisha yake hata utume wake! Huoni Kuna Shida au maradhi mahali??Anawapiga nyie ambao Ni weupe kichwani kuhusu uislam
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwani Quran ni maneno ya Nani??Hayo ni maneno ya Nani ?
Mbona nimeshaijibu hii zaidi ya mara 1000 humu ??
Hata hivyo kwa faida ya watu wasiosoma kama wewe nakuwekea tena kwa urefu
Mara nyengine nitakuwekea kwa kiengereza [emoji14] [emoji14]
Hapo mwanzo kulikuwa na Neno"
Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana ni Yohana 1:1 na 14,
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”
Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.
Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne.
Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:
“Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.
Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.
Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.
Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.
Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja.
Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.
Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.
Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos (Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.”
Utambulisho wa Yesu kwa logos, uliendelezwa katika kanisa la kwanza ikiwa ni tokeo la majaribio yaliyofanywa na wanatiolojia wa kwanza wa Kikristo pamoja na watetezi kuielezea imani ya Kikristo kwa istilahi ambayo ingekuwa wazi kwa ulimwengu wa Wayunani.
Zaidi ya hayo, ilikuwa ni kuwavutia wasikilizaji wao na mtazamo wao kuwa Ukristo ulikuwa unashinda, au mrithi wa wale wote waliokuwa wanafalsafa bora wa kipagani. Kwa hiyo, katika kazi zao za utetezi na ubishani, Mapadri wa Kikristo wa kwanza wameeleza kuwa Yesu alikuwa ni logos aliyekuwepo hapo kabla.
Neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika hiyo ibara ni “na Neno lilikuwa kwa Mungu,” lipo katika mtindo wa “definite form- yaani mtindo uliowazi, au unaofahamika” batheos, Linalomaanisha “Huyo Mungu, au Mungu maalum”.
Hata hivyo, katika ibara ya pili “na Neno alikuwa Mungu”, neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika ibara lipo katika mtindo wa “indefinite form- yaani mtindo usiowazi, au usiofahamika” tontheos, Linalomaanisha ‘mungu yoyote, yaani mungu asiyejulikana, au mungu yoyote asiye maalumu’.
Kwa hiyo, Yohana 1:1, kwa uwazi zaidi ilipaswa itafsiriwe, “Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno, na hilo Neno lilikuwa kwa Mungu, na hilo Neno lilikuwa mungu mwingine.”
Kwa hiyo, kama hilo neno lilikuwa mungu mwingine kwa ufahamu wa kifasihi, itamaanisha kuwa kulikuwa na miungu miwili na sio mmoja. Hata hivyo, katika lugha ya Kibiblia, neno ‘mungu – asiyefahamika’ linatumika kwa maana ya istiari ili kuashiria nguvu.
Kwa mfano, Paulo alimtaja shetani kuwa ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika 2 Wakorintho 4:4, "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
Pia, Musa alitajwa kama ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika Kutoka 7:1, "BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruna atakuwa nabii wako.
Ndiyo umeleta ushahidi Yesu ni mungu 😭😭
Umekariri mafunuo ya shetani! Kama Muham mad [emoji35]Nakuwekea na kwa kiengereza labda utafahamu zaidi
Let us now proceed to what these Christians have to say regarding John 1:1-18, we first start with John 1:1
John 1:1
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. (NIV)
1. It is imperative that the serious student of the Bible come to a basic understanding of logos, which is translated as “Word” in John 1:1.
Most Trinitarians believe that the word logos refers directly to Jesus Christ, so in most versions of John logos is capitalized and translated “Word” (some versions even write “Jesus Christ” in John 1:1).
However, a study of the Greek word logos shows that it occurs more than 300 times in the New Testament, and in both the NIV and the KJV it is capitalized only 7 times (and even those versions disagree on exactly when to capitalize it).
When a word that occurs more than 300 times is capitalized fewer than 10 times, it is obvious that when to capitalize and when not to capitalize is a translators’ decision based on their particular understanding of Scripture.
As it is used throughout Scripture, logos has a very wide range of meanings along two basic lines of thought. One is the mind and products of the mind like “reason,” (thus “logic” is related to logos) and the other is the expression of that reason as a “word,” “saying,” “command” etc.
The Bible itself demonstrates the wide range of meaning logos has, and some of the ways it is translated in Scripture are: account, appearance, book, command, conversation, eloquence, flattery, grievance, heard, instruction, matter, message, ministry, news, proposal, question, reason, reasonable, reply, report, rule, rumor, said, say, saying, sentence, speaker, speaking, speech, stories, story, talk, talking, teaching, testimony, thing, things, this, truths, what, why, word and words.
Any good Greek lexicon will also show this wide range of meaning (the words in italics are translated from logos):
· speaking; words you say (Rom. 15:18, “what I have said and done”).
· a statement you make (Luke 20:20 - (NASB), “they might catch him in some statement).
· a question (Matt. 21:24, “I will also ask you one question”).
· preaching (1 Tim. 5:17, “especially those whose work is preaching and teaching).
· command (Gal. 5:14, “the entire law is summed up in a single command”).
· proverb; saying (John 4:37, “thus the saying, ‘One sows, and another reaps’”).
· message; instruction; proclamation (Luke 4:32, “his message had authority”).
· assertion; declaration; teaching (John 6:60, “this is a hard teaching”).
· the subject under discussion; matter (Acts 8:21, “you have no part or share in this ministry.” Acts 15:6 (NASB), “And the apostles... came together to look into this matter”).
· revelation from God (Matt. 15:6, “you nullify the Word of God ”).
· God’s revelation spoken by His servants (Heb. 13:7, “leaders who spoke the Word of God”).
· a reckoning, an account (Matt. 12:36, “men will have to give account” on the day of judgment).
· an account or “matter” in a financial sense (Matt. 18:23, A king who wanted to settle “accounts” with his servants. Phil. 4:15, “the matter of giving and receiving”).
· a reason; motive (Acts 10:29 - NASB), “I ask for what reason you have sent for me”). [16]
The above list is not exhaustive, but it does show that logos has a very wide range of meaning.
With all the definitions and ways logos can be translated, how can we decide which meaning of logos to choose for any one verse?
How can it be determined what the logos in John 1:1 is? Any occurrence of logos has to be carefully studied in its context in order to get the proper meaning.
We assert that the logos in John 1:1 cannot be Jesus. Please notice that “Jesus Christ” is not a lexical definition of logos. This verse does not say,
“In the beginning was Jesus.” “The Word” is not synonymous with Jesus, or even “the Messiah.”
The word logos in John 1:1 refers to God’s creative self-expression-His reason, purposes and plans, especially as they are brought into action.
It refers to God’s self-expression, or communication, of Himself.
This has come to pass through His creation (Rom. 1:19 and 20), and especially the heavens (Ps. 19).
It has come through the spoken word of the prophets and through Scripture, the written Word.
Most notably and finally, it has come into being through His Son (Heb. 1:1 and 2).
It is important to note that it was “Christian teachers” who attached the idea of a “divine person” to the word logos. It is certainly true that when the word logos came to be understood as being Jesus Christ, the understanding of John 1:1 was altered substantially. Lightfoot correctly understands that the early meaning of logos concerned reason and speech, not “Jesus Christ.” Norton develops the concept of logos as “reason” and writes:
There is no word in English answering to the Greek word logos, as used here [in John 1:1].
It was employed to denote a mode of conception concerning the Deity, familiar at the time when St. John wrote and intimately blended with the philosophy of his age, but long since obsolete, and so foreign from our habits of thinking that it is not easy for us to conform our minds to its apprehension.
The Greek word logos, in one of its primary senses, answered nearly to our word Reason.
The logos of God was regarded, not in its strictest sense, as merely the Reason of God; but, under certain aspects, as the Wisdom, the Mind, the Intellect of God (p. 307).
Umekariri mafunuo ya shetani! Kama Muham mad [emoji35]
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ
[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hebu acha mahaba niue! hebu Tafakari na uchunguze! Maneno, Maisha, na Matendo ya Muham mad! Unapochunguza maisha, maneno na Mtindo wa Maisha yake hata utume wake! Huoni Kuna Shida au maradhi mahali??
Nimeani kunguru huruka pamoja!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ameweka biblia original na iliyochakachuliwa ?. Pia kaeleza namna biblia ilivyochakachuliwa.
Kwa hiyo ameweka biblia original na iliyochakachuliwa ?
Embu tuwekee original na iliyochakachuliwa
Hata muandikiwe mara bilioni hamsomi, sijui hata unakumbuka nini maana ya UislamuHivi Isa wa kwenye Qurani si mlisema alikuwa Mtume kwa wana wa Israeli tu basi.
Kumbe leo amebadilika, ni Mtume wa Waislamu na ni Mwislamu.
Waislamu wamekuwa Waisraeli tena.
Kumbe isa ni Mtume wa Waislamu na Waisraeli.
Mnavyo hangaika hadi mnasikitisha.
Dini ya utapeli lazima itaumbuka mahali flani.
Majini hayawezi kuwaacha salama.
Iko siku mtayajutia kufanya nayo undugu bandia.
Sawa vipi naweza kupata kisamvu leo jioni??Delivery mnafanya?Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Isa ni Mtume wa Uma gani ?Hata muandikiwe mara bilioni hamsomi, sijui hata unakumbuka nini maana ya Uislamu