Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Isa ana hasira tele na Misalaba na Nguruwe.
Yaani atoke mafichoni kuja kuvunja Misaraba na kuua Nguruwe tu basi.

Ila hajawekwa wazi ni Misalaba ya aina gani ana hasira nayo.
Mingine hii hapa [emoji455][emoji955][emoji271]
Inamaana atazunguka dunia nzima kuwasaka nguruwe , dah aisee
 
Mungu akupe mtihani kwa unayoshinda unayatawanya humu jf pasi na kua na elimu nayo maana wew husikilizi la mtu unamwaga tu likujialo kichwani na iwe kheri au Baina yake ukionjeshwa mtihani.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ungepangua hoja zake maana kakuwekea mpka nukuu za waislamu
 
Huna jipya kwani huo mtungo wako umeshindwa kumpa Bwana Yesu uungu 😛 😛


Iulize Biblia yako imesema nini kuhusu uchawi

Deuteronomy 18:9–12 says, “When you enter the land the Lord your God is giving you, do not learn to imitate the detestable ways of the nations there. Let no one be found among you who sacrifices their son or daughter in the fire, who practices divination or sorcery, interprets omens, engages in witchcraft, or casts spells, or who is a medium or spiritist or who consults the dead. Anyone who does these things is detestable to the Lord.”

Muhammad SAW ulimroga wewe ???

hata aibu huna kafiri wewe
Mkuu kipo kitabu kabisa kitwacho Maisha ya Mtume Muhamad (SAW) ndicho kilichobainisha hayo labda wewe ni Mwislamu wa kwanza kukataa sunna mojawapo ya sunna ya Mtume Muhamad (.saw)
 
Alikuambia mwenyewe wapi maneno hayo ??

Watu wengi hutangaza hadharani kwamba Yesu ni Munguhali hiyo hutokana na mtu kutokuwa na Elimu ya kutosha kuhusu chanzo chaYesu kuitwa Mungu katika nafsi ya Pili.

MASLAHI ya Dunia hii yamewafanya watu wengi wenye elimu kuhusu Yesu kuwa Mungu washindwe kuwaeleza watu ukweli kuhusu Umungu wa Yesu wameamua kuwadanganya makusudi.

Siri zilizomo Kanisani ambazo zinamzuwiya Kiongozi kuwafundisha watu ukweli na nidhamu ya woga iliyojengwa ndani ya Wafuasi inamfanya mtu akubali jambo bila kulielewa kabisa akiuliza husomewa Yohana 1:1-5 na kupewa tafsiri potofu lazima akubaliane na Kiongozi wake hiyo ndiyo Sera ya kudanganya watu na kweli wamedanganyika kama unavyowaona ukimwambia ukweli yuko tayari kupigana na kuuwa mtu, hata hivyo lazima ukweli tuuseme tu kwa kumuogopa Mungu. Matayo 10:26-27.

Kwa kuzingatia umuhimu wa somo hili inabidi tuligawe katika sehemu Nne ili kupata ushahidi wa fundisho la imani ya utatu wa Mungu mmoja. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo:-

Matamshi ya Yesu mwenyewe kuhusu Uungu wake. Anasemaje?

Wanafunzi wa kwanza wa Bwana Yesu walimfahamu kwamba ni Mungu au vipi?

Maaskofu waliofuata baada ya wanafunzi wa kwanza tangu Karne ya kwanza hadi karne ya tatu je? Walifundisha vipi kuhusu Yesu.

Imani ya utatu ilivyoanza hadi kuwa fundisho kamili na kanuni ya Wakristo Duniani pote.


Yesu anasemaje katika Injili yake:

Yohana 17:3 imeandikwa hivi – uzima wa milele ndiyo huu wakujue Munguwa pekee na Yesu uliyemtuma.

Katika Aya hii Yesu anasema kwamba ili kupata uzima lazima tumjue kwanza Mungu wa pekee na umjue Yesu Kristo aliyetumwa na Mungu, hapa Yesu hasemi lolote kuhusu yeye kuwa nafasi ya pili ya Mungu ila anakiri wazi yeye ametumwa na Mungu mmoja wa pekee.

Luka 2:40 imeandikwa hivi:- Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu amejaa hekima na neema ya Mungu ilikua juu yake.

Katika Aya hii tunaambiwa kwamba Yesu alijaa hekima na neema ya Mungu. Tahadhari ufikirie vizuri kwa makini sababu hapa inayonyesha kwamba bila ya Mungu kumpa neema Yesu asingelikuwa na hekima hii inaonyesha wazi Yesu ni kiumbe aliyeteuliwa na Mungu na hii ni kawaida yake Mwenyezi Mungu kwa Mitume na Manabii wake kuwapa neema na hekima.

Yohana 13:13 imeandikwa hivi:- Nanyi mwaniita Mwalimu na Bwana nanyi mwasema vema maana ndivyo nilivyo. Maneno hayo yatueleza wazi kwamba alikuwaa najua wazi kwamba yeye ni Mwalimu na Bwana ndiyo maana anawasifu wanafunzi wake, NANYI MWASEMA VEMA.

Matayo 23:9 imeandikwa:- Wala msimwite mtu Baba maana Baba yenu ni mmoja wa Mbinguni wala msiitwe Kiongozi maana Kiongozi wenu ni mmoja naye ndiye Yesu Kristo, hapa Yesu anaendelea kutuonyesha jinsi alivyo tofauti na Mungu hayuko sawa na Mungu daima Mungu ni Baba lakini Yesu ni Kiongozi tu.

Ufunuo: 1:1-2 imeandikwa hivi:- Ufunuo wa Yesu Kristo aliopewa na Mungu awaonyeshe watu wake……Naye akatuma Malaika akamuonyeshe Mtumwa wake Yohana……..Wakati ufunuo unatolewa na Mungu na kupewa Yesu wakati huo Yesu ameshatoka Duniani yuko Mbinguni, lakini bado inaonyesha Mungu ndiye mkubwa Yesu bado ni wakutumwa ili awaonyeshe watumwa kuhusu mambo yao yatakayokuja kama tulivyosoma.

Zipo Aya nyingi sana zinazoonyesha wazi alikuwa halijui kabisa fundisho la utatu.
Soma Yohane 1:1-12


Yohana 1
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.

7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.

8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.

9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.

10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.

11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.

12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
 
Mkuu kipo kitabu kabisa kitwacho Maisha ya Mtume Muhamad (SAW) ndicho kilichobainisha hayo labda wewe ni Mwislamu wa kwanza kukataa sunna mojawapo ya sunna ya Mtume Muhamad (.saw)
Kwani biblia haijaandika?
 
Roman Catholic ndio wenye siri ya uanzishwaji wa hii dini ya Islam, Papa ndiye mwenye hii siri, Wafalme wa Saudia yawezekana wanajua au hawajui na hata wakijua haina madhara kwa waanzilishi kwa kuwa ni vigumu kuitangazia Dunia jambo hili.
 
Soma Yohane 1:1-12


Yohana 1
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.

7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.

8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.

9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.

10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.

11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.

12 Bali wote waliompokea aliwapa åuwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;

Hayo ni maneno ya Nani ?


Mbona nimeshaijibu hii zaidi ya mara 1000 humu ??

Hata hivyo kwa faida ya watu wasiosoma kama wewe nakuwekea tena kwa urefu

Mara nyengine nitakuwekea kwa kiengereza 😛 😛


Hapo mwanzo kulikuwa na Neno"


Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana ni Yohana 1:1 na 14,

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”

Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.

Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne.

Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:

“Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.

Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.

Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.

Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.


Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja.

Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.

Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.

Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos (Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.”


Utambulisho wa Yesu kwa logos, uliendelezwa katika kanisa la kwanza ikiwa ni tokeo la majaribio yaliyofanywa na wanatiolojia wa kwanza wa Kikristo pamoja na watetezi kuielezea imani ya Kikristo kwa istilahi ambayo ingekuwa wazi kwa ulimwengu wa Wayunani.

Zaidi ya hayo, ilikuwa ni kuwavutia wasikilizaji wao na mtazamo wao kuwa Ukristo ulikuwa unashinda, au mrithi wa wale wote waliokuwa wanafalsafa bora wa kipagani. Kwa hiyo, katika kazi zao za utetezi na ubishani, Mapadri wa Kikristo wa kwanza wameeleza kuwa Yesu alikuwa ni logos aliyekuwepo hapo kabla.



Neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika hiyo ibara ni “na Neno lilikuwa kwa Mungu,” lipo katika mtindo wa “definite form- yaani mtindo uliowazi, au unaofahamika” batheos, Linalomaanisha “Huyo Mungu, au Mungu maalum”.

Hata hivyo, katika ibara ya pili “na Neno alikuwa Mungu”, neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika ibara lipo katika mtindo wa “indefinite form- yaani mtindo usiowazi, au usiofahamika” tontheos, Linalomaanisha ‘mungu yoyote, yaani mungu asiyejulikana, au mungu yoyote asiye maalumu’.

Kwa hiyo, Yohana 1:1, kwa uwazi zaidi ilipaswa itafsiriwe, “Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno, na hilo Neno lilikuwa kwa Mungu, na hilo Neno lilikuwa mungu mwingine.”

Kwa hiyo, kama hilo neno lilikuwa mungu mwingine kwa ufahamu wa kifasihi, itamaanisha kuwa kulikuwa na miungu miwili na sio mmoja. Hata hivyo, katika lugha ya Kibiblia, neno ‘mungu – asiyefahamika’ linatumika kwa maana ya istiari ili kuashiria nguvu.

Kwa mfano, Paulo alimtaja shetani kuwa ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika 2 Wakorintho 4:4, "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."

Pia, Musa alitajwa kama ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika Kutoka 7:1, "BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruna atakuwa nabii wako.
 
Roman Catholic ndio wenye siri ya uanzishwaji wa hii dini ya Islam, Papa ndiye mwenye hii siri, Wafalme wa Saudia yawezekana wanajua au hawajui na hata wakijua haina madhara kwa waanzilishi kwa kuwa ni vigumu kuitangazia Dunia jambo hili.

Mbona ililetwa thread kuhusu hilo na tukau crush huo upuuzi usio mashiko ??

Yaani uislamu unasema Yesu si Mungu , Yesu hajasulubiwa , Utatu mtakatifu ni kufuru , nk uwe umeanzishwa na watu wanaoamini hivyo vitu, kama si uwendawazimu uite nini ??
 
Soma Yohane 1:1-12


Yohana 1
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.

7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.

8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.

9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.

10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.

11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.

12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;

Nakuwekea na kwa kiengereza labda utafahamu zaidi


Let us now proceed to what these Christians have to say regarding John 1:1-18, we first start with John 1:1

John 1:1

In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. (NIV)



1. It is imperative that the serious student of the Bible come to a basic understanding of logos, which is translated as “Word” in John 1:1.

Most Trinitarians believe that the word logos refers directly to Jesus Christ, so in most versions of John logos is capitalized and translated “Word” (some versions even write “Jesus Christ” in John 1:1).

However, a study of the Greek word logos shows that it occurs more than 300 times in the New Testament, and in both the NIV and the KJV it is capitalized only 7 times (and even those versions disagree on exactly when to capitalize it).

When a word that occurs more than 300 times is capitalized fewer than 10 times, it is obvious that when to capitalize and when not to capitalize is a translators’ decision based on their particular understanding of Scripture.



As it is used throughout Scripture, logos has a very wide range of meanings along two basic lines of thought. One is the mind and products of the mind like “reason,” (thus “logic” is related to logos) and the other is the expression of that reason as a “word,” “saying,” “command” etc.

The Bible itself demonstrates the wide range of meaning logos has, and some of the ways it is translated in Scripture are: account, appearance, book, command, conversation, eloquence, flattery, grievance, heard, instruction, matter, message, ministry, news, proposal, question, reason, reasonable, reply, report, rule, rumor, said, say, saying, sentence, speaker, speaking, speech, stories, story, talk, talking, teaching, testimony, thing, things, this, truths, what, why, word and words.



Any good Greek lexicon will also show this wide range of meaning (the words in italics are translated from logos):


· speaking; words you say (Rom. 15:18, “what I have said and done”).

· a statement you make (Luke 20:20 - (NASB), “they might catch him in some statement).

· a question (Matt. 21:24, “I will also ask you one question”).

· preaching (1 Tim. 5:17, “especially those whose work is preaching and teaching).

· command (Gal. 5:14, “the entire law is summed up in a single command”).

· proverb; saying (John 4:37, “thus the saying, ‘One sows, and another reaps’”).

· message; instruction; proclamation (Luke 4:32, “his message had authority”).

· assertion; declaration; teaching (John 6:60, “this is a hard teaching”).

· the subject under discussion; matter (Acts 8:21, “you have no part or share in this ministry.” Acts 15:6 (NASB), “And the apostles... came together to look into this matter”).

· revelation from God (Matt. 15:6, “you nullify the Word of God ”).

· God’s revelation spoken by His servants (Heb. 13:7, “leaders who spoke the Word of God”).

· a reckoning, an account (Matt. 12:36, “men will have to give account” on the day of judgment).

· an account or “matter” in a financial sense (Matt. 18:23, A king who wanted to settle “accounts” with his servants. Phil. 4:15, “the matter of giving and receiving”).

· a reason; motive (Acts 10:29 - NASB), “I ask for what reason you have sent for me”). [16]



The above list is not exhaustive, but it does show that logos has a very wide range of meaning.

With all the definitions and ways logos can be translated, how can we decide which meaning of logos to choose for any one verse?

How can it be determined what the logos in John 1:1 is? Any occurrence of logos has to be carefully studied in its context in order to get the proper meaning.

We assert that the logos in John 1:1 cannot be Jesus. Please notice that “Jesus Christ” is not a lexical definition of logos. This verse does not say,

“In the beginning was Jesus.” “The Word” is not synonymous with Jesus, or even “the Messiah.”

The word logos in John 1:1 refers to God’s creative self-expression-His reason, purposes and plans, especially as they are brought into action.

It refers to God’s self-expression, or communication, of Himself.

This has come to pass through His creation (Rom. 1:19 and 20), and especially the heavens (Ps. 19).

It has come through the spoken word of the prophets and through Scripture, the written Word.

Most notably and finally, it has come into being through His Son (Heb. 1:1 and 2).

It is important to note that it was “Christian teachers” who attached the idea of a “divine person” to the word logos. It is certainly true that when the word logos came to be understood as being Jesus Christ, the understanding of John 1:1 was altered substantially. Lightfoot correctly understands that the early meaning of logos concerned reason and speech, not “Jesus Christ.” Norton develops the concept of logos as “reason” and writes:



There is no word in English answering to the Greek word logos, as used here [in John 1:1].

It was employed to denote a mode of conception concerning the Deity, familiar at the time when St. John wrote and intimately blended with the philosophy of his age, but long since obsolete, and so foreign from our habits of thinking that it is not easy for us to conform our minds to its apprehension.

The Greek word logos, in one of its primary senses, answered nearly to our word Reason.

The logos of God was regarded, not in its strictest sense, as merely the Reason of God; but, under certain aspects, as the Wisdom, the Mind, the Intellect of God (p. 307).
 
Mbona ililetwa thread kuhusu hilo na tukau crush huo upuuzi usio mashiko ??

Yaani uislamu unasema Yesu si Mungu , Yesu hajasulubiwa , Utatu mtakatifu ni kufuru , nk uwe umeanzishwa na watu wanaoamini hivyo vitu, kama si uwendawazimu uite nini ??
Ni kweli kabisa Issa sio Mungu, hakusulubiwa wala hakufa kwa kuwa sio Yesu.
 
Mbona mnashindwa kupangua hoja ata moja ,

Kuna mbusu jiwe mwenzako kaisha kulaani tu


Kama una ubavu isikilize hii documentary ya hao wakristo wenzako wanaokuandikia hiyo biblia yako unayoishupali na mishipa ya koo kukutoka

Hii ni documentary kutoka BBC London



 
Kama una ubavu isikilize hii documentary ya hao wakristo wenzako wanaokuandikia hiyo biblia yako unayoishupali na mishipa ya koo kukutoka

Hii ni documentary kutoka BBC London




Sikiliza wewe alafu Jenga hoja zako zilete ,
 
Back
Top Bottom