Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wewe hufai kwenye debate , maana unakataa vitabu vya waislamu tena vinavyo heshimika sana , waislamu na kila mtu na sect yake kuna vitabu mnapingana kabisa
Wewe ndio hufai Sasa maana unauchukulia uislam jujuu kitu cha uzushi Ni rahisi Sana kukigundua katka uislam na Mimi siwezi kukataa vitabu vya mashekh wetu ila shekh akinipiga kamba ntamwambia hapa hapana pako hivi anipe maelezo ya kutosha kwahio na wewe ukitaka kujenga hoja zako njoo na nyaraka unieleweshe Wala Sina tabu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ukishindwa mada unaanza kusema
"hapa kasema nani"

Namimi nakuuliza hawa akina "Nasi" wanao ongea kwenye Qurani ni akina nani ?

1. Surah Al-Djini: Ayah _12

وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن نُّعۡجِزَ ٱللَّهَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَن نُّعۡجِزَهُۥ هَرَبٗا
[emoji117]Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia

2. Surah An-Nisaa-u: Ayah 79

مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. [emoji117]Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
..........

Hao akina [emoji117]Nasi. Wanaomtuma Muhamadi kueneza Uislamu ni akina nani ?

Jibu Swali wewe Jini Sharifu.

Mimi siye niliyecopy Aya za Marko na Yohana ni Wewe , usijitie wazimu , hayo maswali yako fungua thread nitakujibu.
Usikimbie kwa hasira
 
Wewe ndio hufai Sasa maana unauchukulia uislam jujuu kitu cha uzushi Ni rahisi Sana kukigundua katka uislam na Mimi siwezi kukataa vitabu vya mashekh wetu ila shekh akinipiga kamba ntamwambia hapa hapana pako hivi anipe maelezo ya kutosha kwahio na wewe ukitaka kujenga hoja zako njoo na nyaraka unieleweshe Wala Sina tabu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Huna hadhi ya kufanya mjadala , wewe kimbilio lako ni kusema bhukari ni muongo

Mfano hapa uongo wa Bukhari upo wapi
Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261

Na hadith inaendana na aya
33. Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Allah na Muhammad na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho,

waislamu wote wanatakiwa kukupiga vita
 
Weka ushahidi wako hapa nyaraka tu mchezo wa maaandishi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ushahidi ni kutokuwepo kwa andiko linalosema muhammad alitahiriwa

Andiko la Ibrahim kujitahiri na shoka lipo , Muhammad hakutahiriwa alikuwa govinda

Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298
 
Sasa Kama andiko halipo wewe una ujasiri gani wa kuzua Jambo kwa hisia zako tuu. Hapo ndio hua nakwazana na wewe. Najua Quran nzima hakuna Aya ya kutairiwa kwa Muhammad SAW Sasa je kwa kua andiko halipo hakuna mtu dunian wakusema Kama alikua katairiwa au la..

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Huna hadhi ya kufanya mjadala , wewe kimbilio lako ni kusema bhukari ni muongo

Mfano hapa uongo wa Bukhari upo wapi
Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261

Na hadith inaendana na aya
33. Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Allah na Muhammad na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho,

waislamu wote wanatakiwa kukupiga vita
Aya hazisomwi hivyo aya zilikua haziji tu zilikua na sababu walio mpiga Vita kipindi hicho na kufanya uharibifu wa Mali, mimea na mifugo ndio hio Aya iliwahusu hivyo wakikamatwa malipo Yao ndio hayo

Kwahio Mimi sihusiki Mimi siko vitani na Allah Niko na wewe hapa nakufundisha ustaarabu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Umetumia Maandiko Ya Qur'an Ambayo Imepokelewa Na Muhammad Kuthibitisha Kupewa Utume Mussa Alafu Unamkataa Muhammad kama mtume(S.A.W).Hii Ni ajabu
Usione hatujui! Hilo jibu ndio ibn abd allah anapewa utume na Allah??
Soma hizo ayat utoke ndani ya box!
[emoji116][emoji116]

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
 
Sasa Kama andiko halipo wewe una ujasiri gani wa kuzua Jambo kwa hisia zako tuu. Hapo ndio hua nakwazana na wewe. Najua Quran nzima hakuna Aya ya kutairiwa kwa Muhammad SAW Sasa je kwa kua andiko halipo hakuna mtu dunian wakusema Kama alikua katairiwa au la..

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Weka andiko muhammad katahiriwa , la sivyo muhammad alikuwa govinda

andiko la abraham hili apa
Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298
 
Aya hazisomwi hivyo aya zilikua haziji tu zilikua na sababu walio mpiga Vita kipindi hicho na kufanya uharibifu wa Mali, mimea na mifugo ndio hio Aya iliwahusu hivyo wakikamatwa malipo Yao ndio hayo

Kwahio Mimi sihusiki Mimi siko vitani na Allah Niko na wewe hapa nakufundisha ustaarabu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Muhammad kawakata watu mikono na miguu, nimekuuliza uongo wa bukhari upo wapi apo?
 
Hiyo sio Hesabu! una uelewa kama piriton!
Hili Neno "AKITAKA" Unaelewa maana yake??
Eti sindano?![emoji15][emoji12]
Nimeaminj![emoji117]Harjununu fununu..[emoji56][emoji15][emoji12]
Mungu wako anaweza kuwa SHOGA jibu NDIO au HAPANA? Mimi wangu Allah HAPANA kazi kwako
 
Muhammad kawakata watu mikono na miguu, nimekuuliza uongo wa bukhari upo wapi apo?
Tatizo liko wapi? mbona Nabii Samuel alimkata Mfalme Hagagi vipande vipande tena mbele za Bwana, unacho shangaa wewe kipi?
 
Soma mada uelewe kwanza nini kilikuwa kinawakilishwa
Mbusu jiwe mwenzako alie dai kitabu chote cha bukhari ni uongo ndio nimempa hiyo hadith na inaendana na koran , nimemuuliza uongo wa bukhari upo wapi? msaidie kujibu
 
Wewe ndio umemsemea nataka aseme mwenyewe , ila hakuna shida yeyote Nabii Mohamadi kukata washirikina mapanga , maana walishakatwa watu mapanga kabla yeye Mohamadi hajazaliwa na Mungu wala hakukataza
 
Wewe ndio umemsemea nataka aseme mwenyewe ,
Wewe umedandia , mbusu jiwe mwenzako post za nyuma alidai kitabu Cha bukhari maandiko yake ni ya uongo

Ndio nimemuwekea abishe ilo andiko na nimemuwekea na Koran ili kuthibitisha aliyoandika bukhari ni kweli

Wewe mwenyewe nimekuuliza wiki nzima unakikubali kitabu Cha bukhari umegoma katakata kujibu

Kwa sasa kwanza nitauliza dhehebu la mbusu jiwe kwanza ndio tu dabate ,itasaidia kupunguza mda wa Kuweka andiko ambalo unakuta mbusu jiwe hakubaliana na kitabu husika
 
Kwani kuna mkristo ana ulizwa dhehebu humu ndani au unafikiri hatujui kuwa wakristo wana madhehebu zaidi ya moja? halafu hata kama mtu akikataa jambo ana hoja zako mbona hata Biblia ipo ya vitabu 73 Na 66 , huyu wa 66 ukimtolea andiko la vitabu alivyo vikataa hawezi kubali, acha utoto jambo la kawaida ebu leta vitu vya maana
 
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Waliomtuma Muhammad

Koran surah ya majini
8. Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo

Majini walimtuma muhammad Mungu akiwa shahidi , maana alikuwa anawaona yote wanayoyafanya
 
Back
Top Bottom